Halmashauri ya mji wa Kahama yapokea ushuru wa asilimia 0.3 kutoka mgodi wa Buzwagi
Kampuni ya ACACIA kupitia mgodi wake wa Buzwagi uliopo kwenye halmashauri ya mji wa Kahama,imeipatia ushuru wa asilimia 0.3 (0.3%) ya mapato ghafi halmashauri hiyo,ikiwa ni ushuru kwa kipindi cha miezi sita (Julai - Disemba,2014) ambayo ni zaidi ya shilingi za kitanzania millioni 800,uliokabidhiwa kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama.Kaimu Meneja Mkuu wa mgodi wa Buzwagi ulio chini ya Kampuni ya ACACIA,Ing. Mutereko Muganda (wa pili kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-Y6SApilAnvg/Vd1uowHRHII/AAAAAAAAUU4/GX6WAkR_mbU/s72-c/unnamed.jpg)
MGODI WA BUZWAGI WAZINDUA LIGI YA MAHUSIANO-KAHAMA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-Y6SApilAnvg/Vd1uowHRHII/AAAAAAAAUU4/GX6WAkR_mbU/s640/unnamed.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-nzBtT76HSSE/Vd1ugw45l-I/AAAAAAAAUT0/x5viSAzdroY/s640/2.jpg)
10 years ago
Mtanzania24 Apr
Mgodi wa Buzwagi kufungwa
Na Fredrick Katulanda, Mwanza
MAKAMU wa Rais wa Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Acacia, Deo Mwanyika, amesema mgodi wa dhahabu wa Buzwagi uliopo wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga utafungwa kutokana na uzalishaji kushuka.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mwanyika alisema mashapo ya dhahabu ya mgodi wa Buzwagi yana uwezo wa kutoa Ounce 900,000 ya dhahabu yenye ubora wa gramu 1.35 kwa tani hivyo kudumu kwa kipindi cha miaka mitano.
Alisema kutoka na hali hiyo, uongozi wa Kampuni ya...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hFVJpaTEVUo/VO2hV-CPUoI/AAAAAAAHFzw/2S2b-l-j-Ck/s72-c/New%2BPicture.png)
MIGODI YA DHAHABU YA GEITA, BULYANHULU, BUZWAGI NA NORTH MARA KUANZA KULIPA USHURU
![](http://1.bp.blogspot.com/-hFVJpaTEVUo/VO2hV-CPUoI/AAAAAAAHFzw/2S2b-l-j-Ck/s1600/New%2BPicture.png)
TANGAZO.
MIGODI YA DHAHABU YA GEITA, BULYANHULU, BUZWAGI NA NORTH MARA KUANZA KULIPA USHURU WA HUDUMA KWA KIWANGO CHA 0.3% YA MAPATO GHAFI KWA HALMASHAURI ZA WILAYA NA MIJI.
Wizara ya Nishati na Madini inapenda kutangazia umma kuwa mgodi wa dhahabu wa Geita unaomilikiwa na kampuni ya AngloGold Ashanti; na migodi ya Bulyanhulu, Buzwagi na North Mara inayomilikiwa na kampuni ya Acacia Mining, imeanza kulipa ushuru wa huduma kwa kiwango...
10 years ago
MichuziKamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira yaumwagia sifa Mgodi wa Buzwagi
Rai hiyo imetolewa na mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Mheshimiwa James Lembeli, wakati kamati hiyo ilipotembelea mgodi huo tarehe 30 Oktoba 2014 .
Mhe.Lembeli alisema kuwa kamati yake ilifuatilia kwa kina utekelezaji wa maagizo na maelekezo ya Baraza la Taifa la Mazingira (NEMC) kwa migodi...
10 years ago
VijimamboSIKU YA FAMILIA DAY YAFANA ,MGODI WA DHAHABU WA BUZWAGI GOLD MINE
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Uzvj5Lh3y4U/VUyvA0uxJ6I/AAAAAAAATU8/J15-BlSrBaE/s72-c/Brad-%2BMpesya.jpg)
DC MPESYA AWAMWAGIA SIFA WAFANYAKAZI MGODI WA BUZWAGI, NI KATIKA SHEREHE ZA KUWAPATIA TUNZO
![](http://4.bp.blogspot.com/-Uzvj5Lh3y4U/VUyvA0uxJ6I/AAAAAAAATU8/J15-BlSrBaE/s640/Brad-%2BMpesya.jpg)
Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Benson Mpesya, (kushoto), akitoa maelezo wakati wa kumpatia zawadi za kimila, Shuka ya rubega, mkuki na ngao, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Acacia, Brad Gordon, (kulia), wakati wa hafla ya kuwatunuku wafanyakazi waliohudumu kwa muda mrefu kwenye kampuni hiyo, na wengine 10 walizawadiwa kwa kufanya kazi kwa kuzingatia sera mpya ya Acacia ya tabia sita (six desired behavior), kama kipimo cha utendaji bora wa kazi ambapo ni pamoja na kushirikiana...
5 years ago
CCM BlogKATIKA KUKABILIANA NA CORONA, MGODI WA BARRICK BUZWAGI WATOA MSAADA WA VIFAA SHINYANGA
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Dhahabu ya Barrick kupitia Mgodi wa Buzwagi uliopo wilayani Kahama imetoa msaada vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni 48 kwa ajili ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya homa kali ya mapafu...
5 years ago
MichuziKATIKA KUKABILIANA NA CORONA, MGODI WA BARRICK BUZWAGI WATOA MSAADA WA VIFAA SHINYANGA
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Dhahabu ya Barrick kupitia Mgodi wa Buzwagi uliopo wilayani Kahama imetoa msaada vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni 48 kwa ajili ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya homa kali ya mapafu...
5 years ago
MichuziMGODI WA BARRICK BUZWAGI WAKABILIANA NA VIRUSI VYA CORONA KWA KUTOA MATENKI SHINYANGA
Zoezi la kukabidhi matenki hayo mawili ya maji limefanyika kwenye Ofisi za mkuu wa wilaya ya Shinyanga...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10