Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105

POPULAR ON YOUTUBE

MGODI WA BARRICK BUZWAGI WAKABILIANA NA VIRUSI VYA CORONA KWA KUTOA MATENKI SHINYANGA

Na Marco Maduhu- Malunde 1 BlogMKUU wa wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko amekabidhi Matanki ya kuoshea mikono ‘washing container’ yaliyotolewa na Kampuni ya Uchimbaji wa madini ya dhahabu ya Barrick kupitia mgodi wa Buzwagi uliopo wilayani Kahama ili kuendeleza mapambano ya kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Corona katika halmashauri ya wilaya ya Shinyanga na manispaa ya Shinyanga.
Zoezi la kukabidhi matenki hayo mawili ya maji limefanyika kwenye Ofisi za mkuu wa wilaya ya Shinyanga...

Michuzi

Read more

Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KATIKA KUKABILIANA NA CORONA, MGODI WA BARRICK BUZWAGI WATOA MSAADA WA VIFAA SHINYANGA

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack akiishukuru Kampuni ya Barrick kwa kuiunga mkono serikali katika kukabiliana na ugonjwa wa Corona. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Afya na Usalama mgodi wa Barrick Buzwagi, Dkt. Antoinette George.
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Dhahabu ya Barrick kupitia Mgodi wa Buzwagi uliopo wilayani Kahama imetoa msaada vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni 48 kwa ajili ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya homa kali ya mapafu...

5 years ago

CCM Blog

BARRICK BUZWAGI YATOA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA VYENYE THAMANI YA SH. MILIONI 48

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack akiishukuru Kampuni ya Barrick kwa kuiunga mkono serikali katika kukabiliana na ugonjwa wa Corona. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Afya na Usalama mgodi wa Barrick Buzwagi, Dkt. Antoinette George.(PICHA NA MALUNDE-MALUNDE 1 BLOG)
Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Dhahabu ya Barrick kupitia Mgodi wa Buzwagi uliopo wilayani Kahama imetoa msaada vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni 48 kwa ajili ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya homa kali ya mapafu...

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Marekani yarekodi vifo vingi zaidi vya virusi vya corona kwa siku

Marekani imerekodi vifo vingi vya ugonjwa wa virusi vya corona kwa siku huku watu 1,736 wakifariki siku ya Jumanne.

5 years ago

Michuzi

UWASWATA kutoa msaada wa Sabuni kwa ajili ya kupambana na virusi vya Corona.

Umoja wa wazalishaji sabuni wadogo Tanzania (UWASWATA) unatarajia  kuungana na serikali katika mapambano  Virusi vya Corona kwa kutoa mchango wao wa Sabuni kwa ajili ya Hospitali Jijini Dar es Salaam.

Sabuni hizo zitatolewa kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ambaye atatoa sabuni hizo kutokana na uhitaji wa hospitali.

Akizungumza na Michuzi  TV Katibu wa Umoja huo Maria Lucas amesema kuwa hawawezi kuiachia serikali peke yake katika mapambano ya Virusi vya Corona.

Amesema Wana sabuni...

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Mabenki Tanzania yaelekezwa kutoa ahueni kwa wakopaji wao

Benki Kuu ya Tanzania imetoa maelekezo kwa mabenki na makampuni ya simu juu ya namna ya kutoa unafuu wa masuala ya kifedha kwa wateja wao

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je virusi vya corona ni majaribu kiasi gani kwa Afrika?

Ongezeko la visa vya ugonjwa wa Covid-19 ni changamoto kubwa kwa sekta za Afya barani Afrika.

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Kwa nini ni muhimu kupima virusi vya corona?

Kila nchi imeonekana ikikabiliana na mlipuko wa virusi vya corona kwa namna yake ,lakini yawezekana kuwa suala la kila mtu kupima virusi vya corona ni muhimu na kila nchi kuzingatia hilo.

5 years ago

Michuzi

UVCCM WILAYA YA IRINGA WAENDELEA KUTOA EILIMU NA VIFAA VYA KUJIKINGA NA VIRUSI VYA CORONA

Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Makala Mapesah akizungumzia msaada wa ndoo maalum za kusaidia kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona.Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Makala Mapesah akionyesha ndoo maalum za msaada kwa ajili ya wananchi kujitakasa na kujikinga na virusi vya Corona
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi(UVCCM) Wilaya ya Iringa vijijini umeeleza kuwa zoezi la...

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani