Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UVCCM WILAYA YA IRINGA WAENDELEA KUTOA EILIMU NA VIFAA VYA KUJIKINGA NA VIRUSI VYA CORONA

Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Makala Mapesah akizungumzia msaada wa ndoo maalum za kusaidia kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona.Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Makala Mapesah akionyesha ndoo maalum za msaada kwa ajili ya wananchi kujitakasa na kujikinga na virusi vya Corona
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi(UVCCM) Wilaya ya Iringa vijijini umeeleza kuwa zoezi la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

UVCCM IRINGA WAENDELEA KUTOA ELIMU YA KUJIKINGA NA CORONA

Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Makala Mapesah akizungumzia msaada wa ndoo maalum za kusaidia kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona.Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Makala Mapesah akionyesha ndoo maalum za msaada kwa ajili ya wananchi kujitakasa na kujikinga na virusi vya Corona
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi(UVCCM) Wilaya ya Iringa vijijini umeeleza kuwa zoezi la...

 

5 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI MKOA WA IRINGA AMEPOKEA VIFAA VYA KUJIKINGA NA VIRUSI VYA COVID 19 KUTOKA KAMPUNI YA AGORA WOOD PRODUCT



Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Kamishna Msaidi wa Polisi (ACP), Juma Bwire kulia(kulia) akipokea vifaa vya kujikinga dhidi ya Virusi ya Covid 19 kutoka Kampuni ya Agora Wood Product vyenye thamani Tsh Milioni 6. 5 kuwasaidia askari Polisi kujilinda afya zao. (Picha na Datus Mahendeka wa Jeshi la Polisi)

 

5 years ago

Michuzi

UVCCM HANANG' WAKABIDHI VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA


JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilayani Hanang' Mkoani Manyara, kupitia kampeni yao ya mikono safi Hanang' salama wameikabidhi Serikali vifaa vya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona vya thamani ya sh. 531,000. 
Makamu Mwenyekiti wa kampeni ya mikono safi Hanang'  Emmanuel Gamasa akizungumza jana alisema lengo la UVCCM wilayani humo  kukabidhi msaada huo wa vifaaa hivyo ni kuiunga mkono serikali katika mapambano ya kujikinga na maambukizi ya virusi...

 

5 years ago

Michuzi

TAASISI YA GFF YAKABIDHI VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA WILAYA YA MPWAPWA

Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Jabir Shekimweri akipokea msaada wa Vikinga Uso (Face shields) kutoka kwa Taasisi ya GFF ambayo imefika ofisini kwake kutoa msaada wa vifaa vya kujikinga na Corona. Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Jabir Shekimweri akiwa katika kikao cha pamoja na wadau wa maendeleo Taasisi ya GFF ambayo imefika ofisini kwake kukabidhi msaada wao wa vifaa vya kujikinga na Corona.Mkurugenzi wa Taasisi ya GFF, Aisha Msantu akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa vya kujikinga na Corona kwa...

 

5 years ago

Michuzi

Vifaa vya tiba vya kujikinga na Corona vya magendo vyanaswa Morocco vikipelekwa Ulaya

Vyombo vya habari vya Morocco vimeripoti kwamba, maafisa wa nchi hiyo wamenasa maelfu ya maski za masuala ya tiba zilizokuwa zikitoroshwa na kupelekwa Ulaya.

Gazeti la al Quds al Arabi linalochapishwa London limeripoti kuwa, raia mmoja wa Uingereza amekamatwa katika uwanja wa ndege wa Agadir huko kusini magharibi mwa Morocco akijaribu kutorosha maski elfu 16 na kuzipelekea Manchester kwa njia za magendo.

Vilevile maafisa wa forodha wa Morocco wamenasa shehena nyingine iliyokuwa na vifaa vya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wanafunzi Kenya watengeneza vifaa vya kukabiliana na virusi vya corona

Virusi vya corona: Wanafunzi wa Kenya wanaotengeneza vifaa vya kukabiliana na virusi vya corona

 

5 years ago

Michuzi

DK MSUYA ASADIA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA WILAYA YA MWANGA, AWAOMBA WANANCHI KUCHUKUA TAHADHARI

Charles James, Michuzi TVKATIKA kuunga mkono mapambano dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Corona, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Dk Ombeni Msuya amekabidhi mashine za kunawa wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro.
Dk Msuya amekabidhi mashine mbili katika Zahanati ya Mamba iliyopo Ugweno Mwanga pamoja na Mashine zingine mbili katika soko la Kikweni lililopo ndani ya Tarafa hiyo.
Akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa hivyo, Dk Msuya amewataka wananchi hao wa Mwanga kuendelea kuchukua...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Ubalozi wa Marekani Tanzania waendelea kutoa tahadhari juu ya maambukizi

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umetoa tahadhari mpya ya afya na kusisitiza kuwa hatari ya maambukizi ya virusi vya corona bado ipo juu jijini Dar es Salaam.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: White House yakiri Marekani haina vifaa vya kutosha vya kupima virusi vya corona

New York imetoa wito kwa serikali kutuma vifaa zaidi vya kupima virusi vya corona katika jimbo hilo huku visa vya maambukizi vikiongezeka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani