UVCCM HANANG' WAKABIDHI VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-SEceDJZ9m1c/Xr4ymqY4lCI/AAAAAAALqTg/bkP-Ewg3n-sNNlnWzTe-AIFYM4vc77m7ACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200513-WA0078.jpg)
JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilayani Hanang' Mkoani Manyara, kupitia kampeni yao ya mikono safi Hanang' salama wameikabidhi Serikali vifaa vya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona vya thamani ya sh. 531,000.
Makamu Mwenyekiti wa kampeni ya mikono safi Hanang' Emmanuel Gamasa akizungumza jana alisema lengo la UVCCM wilayani humo kukabidhi msaada huo wa vifaaa hivyo ni kuiunga mkono serikali katika mapambano ya kujikinga na maambukizi ya virusi...
Michuzi