Vifaa vya tiba vya kujikinga na Corona vya magendo vyanaswa Morocco vikipelekwa Ulaya
Vyombo vya habari vya Morocco vimeripoti kwamba, maafisa wa nchi hiyo wamenasa maelfu ya maski za masuala ya tiba zilizokuwa zikitoroshwa na kupelekwa Ulaya.
Gazeti la al Quds al Arabi linalochapishwa London limeripoti kuwa, raia mmoja wa Uingereza amekamatwa katika uwanja wa ndege wa Agadir huko kusini magharibi mwa Morocco akijaribu kutorosha maski elfu 16 na kuzipelekea Manchester kwa njia za magendo.
Vilevile maafisa wa forodha wa Morocco wamenasa shehena nyingine iliyokuwa na vifaa vya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziMKURUGENZI CCBRT AKABIDHI VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA KWA HOSPITALI, VITUO VYA AFYA 22
Lengo la CCBRT ni kuunga mkono juhudi za Serikali na wadau wengine hapa nchini katika kuwakinga wahudumu wa afya na janga la Corona.
“Tumekusudia vifaa hivi vitumike katika vitengo vya afya ya uzazi katika hospitali hizo ili kuwakinga wahudumu wa afya...
5 years ago
MichuziUVCCM WILAYA YA IRINGA WAENDELEA KUTOA EILIMU NA VIFAA VYA KUJIKINGA NA VIRUSI VYA CORONA
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi(UVCCM) Wilaya ya Iringa vijijini umeeleza kuwa zoezi la...
5 years ago
BBCSwahili06 Mar
Coronavirus: White House yakiri Marekani haina vifaa vya kutosha vya kupima virusi vya corona
5 years ago
MichuziWORLD VISION YATOA VIFAA VYA KUJIKINGA NA COVID-19 VYA MILIONI 17 KWA MKOA WA TABORA
SHIRIKA la World Vision Tanzania limekabidhi vifaa vya thamani ya shilingi milioni 17.1 vya kudhibiti virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa homa kali ya mapafu ya Covid -19 kwa Mkoa wa Tabora
Msaada huo umekabidhiwa jana mjini Nzega na Meneja wa Kanda wa Shirika World Vision John Masenza kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri.
Alitaja msaada huo unajumuisha glovu boksi 990, magauni ya wahudumu wa afya ya kuwafaa wakati wa kuwahudumia wagonjwa 80 , lita 290 ya...
5 years ago
MichuziUVCCM HANANG' WAKABIDHI VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA
JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilayani Hanang' Mkoani Manyara, kupitia kampeni yao ya mikono safi Hanang' salama wameikabidhi Serikali vifaa vya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona vya thamani ya sh. 531,000.
Makamu Mwenyekiti wa kampeni ya mikono safi Hanang' Emmanuel Gamasa akizungumza jana alisema lengo la UVCCM wilayani humo kukabidhi msaada huo wa vifaaa hivyo ni kuiunga mkono serikali katika mapambano ya kujikinga na maambukizi ya virusi...
5 years ago
MichuziWANAHABARI SHINYANGA WAPATIWA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA
Na Damian Masyenene - Shinyanga Press Club
Klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga(SPC) imegawa vifaa vya kujikinga na maambukizi ya virusi vya homa kali ya mapafu Corona kwa waandishi wa habari,ili kuwawezesha kutekeleza majukumu yao katika mazingira salama na kuepuka maambukizi.
Vifaa walivyopewa wanachama ni barakoa (masks), vitakasa mikono (sanitizers), medical gloves na sabuni za maji ‘Hand soaps’ ambapo zoezi la ugawaji vifaa hivyo limesimamiwa na Viongozi wa SPC wakiongozwa na...
5 years ago
MichuziDC NDEJEMBI APOKEA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA WILAYANI KONGWA
Charles James, Michuzi TV
KATIKA kuendeleza mapambano dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Corona Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Deo Ndejembi amepokea vifaa vya kujikinga na ugonjwa huo kutoka Taasisi ya Glaring Future Foundation (GFF).
Vifaa hivyo ambavyo ni Ndoo za kunawia na sabuni zake vimekabidhiwa kwa DC Ndejembi na Mkurugenzi wa taasisi hiyo, Aisha Msantu.
Akizungumza baada ya kukabidhiwa vifaa hivyo, DC Ndejembi ameipongeza taasisi ya GFF kwa moyo wao wa uzalendo wa kuiunga mkono serikali dhidi...
5 years ago
MichuziBARAZA LA VIJANA ZANZIBAR LATOA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA
Na Khadija Khamis –Maelezo Zanzibar
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Zanzibar Khamis Rashid Kheir amewataka vijana kuunga mkono serikali kwa kufuata maelekezo yanayotolewa na wataalamu wa afya katika kukabiliana na maradhi ya mripuko ya Corona
Hayo aliyasema wakati alipokuwa akigawa vifaa mbali mbali vya kujikinga na maradhi Corona huko Baraza la Vijana Mwanakwerekwe.
Aliwataka vijana kuwa makini katika kupambana na maradhi hayo kwani hivi sasa yamekwisha sambaa duniani kote
‘Nyinyi ndio taifa la...
5 years ago
BBCSwahili08 May
Virusi vya corona: Wanafunzi Kenya watengeneza vifaa vya kukabiliana na virusi vya corona