Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MIGODI YA DHAHABU YA GEITA, BULYANHULU, BUZWAGI NA NORTH MARA KUANZA KULIPA USHURU

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA NISHATI NA MADINI


TANGAZO.


MIGODI YA DHAHABU YA GEITA, BULYANHULU, BUZWAGI NA NORTH MARA KUANZA KULIPA USHURU WA HUDUMA KWA KIWANGO CHA 0.3% YA MAPATO GHAFI KWA HALMASHAURI ZA WILAYA NA MIJI.
Wizara ya Nishati na Madini inapenda kutangazia umma kuwa mgodi wa dhahabu wa Geita unaomilikiwa na kampuni ya AngloGold Ashanti; na migodi ya Bulyanhulu, Buzwagi na North Mara inayomilikiwa na kampuni ya Acacia Mining, imeanza kulipa ushuru wa huduma kwa kiwango...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JOPO LA MAJAJI KWA AJILI YA KUMTAFUTA MSHINDI WA TUZO YA RAIS YA HUDUMA ZA JAMII NA UWEZESHAJI YAFANYA ZIARA KATIKA MIGODI YA BULYANHULU NA BUZWAGI

Mkurugenzi Mtendaji wa mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu Gold Mine Bw. Peter Burger ( wa kwanza kushoto) akizungumza na jopo la majajaji na sekretarieti iliyotembelea mgodi huo kwa ajili ya kumtafuta mshindi wa Tuzo ya Rais ya Huduma za Jamii na Uwezeshaji. Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi ya Ibanza Bw. Dions Kagiye (katikati) akizungumza na baadhi ya majaji waliotembelea shule hiyo inayofadhiliwa na mgodi wa Bulyanhulu Gold Mine kwa ajili ya kuifanyia tathmini. Mmoja wa majaji Dkt....

 

9 years ago

Michuzi

MGODI WA DHAHABU WA BULYANHULU WAIPIGA JEKI ZAHANATI YA MWINGIRO GEITA


Maafisa wa kitengo cha Mahusiano ya Jamii katikamgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu, William Chungu (kulia) na Zuwena Senkondo (kushoto) wakikabidhi vifaa vinavyotumika wakati wakujifungulia kwa zahanati ya Mwingiro Wilayani Nyang’wale Mkoani Geita .

Zuwena Senkondo wkikabidhi vifaa vya kujifungulia kwa mmoja wa wauguzi katika zahanati ya Mwingiro Wilayani Nyang’wale Mkoani Geita

Kiongozi wa kitengo cha Mahusiano ya Jamii Mgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu Sara Ezra Teri akikabidhi Video...

 

10 years ago

Habarileo

Buzwagi kusitisha uchimbaji wa dhahabu

Dhahabu.KAMPUNI ya Acacia inayomiliki mgodi wa dhahabu wa Buzwagi mkoani Shinyanga, imesema ndani ya miaka miwili, itasitisha shughuli za uchimbaji na uzalishaji madini hayo, kutokana na soko kuzidi kushuka.

 

10 years ago

Michuzi

Halmashauri ya mji wa Kahama yapokea ushuru wa asilimia 0.3 kutoka mgodi wa Buzwagi

Kampuni ya ACACIA kupitia mgodi wake wa Buzwagi uliopo kwenye halmashauri ya mji wa Kahama,imeipatia ushuru wa asilimia 0.3 (0.3%) ya mapato ghafi halmashauri hiyo,ikiwa ni ushuru kwa kipindi cha miezi sita (Julai - Disemba,2014) ambayo ni zaidi ya shilingi za kitanzania millioni 800,uliokabidhiwa kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama.Kaimu Meneja Mkuu wa mgodi wa Buzwagi  ulio chini ya Kampuni ya ACACIA,Ing. Mutereko Muganda (wa pili kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye ...

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Nishati na Madini atembelea mgodi wa dhahabu bulyanhulu

Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia, Brad Gordon, (wapili kushoto), akimpa maelezo Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga, (watatu kushoto), alipotembelea eneo la chini ya ardhi la mgodiwa Bulyanhulu kiasi cha kilomita 1.5 chini ya bardhi, Jumamosi Aprili 11, 2015. Kushoto ni mwenyekiti wa kampiuni ya uchimbaji dhahabu ya Mlalo, Mohammed Hussein.Naibu waziri wa nishati na madini, Charles Kitwanga, (kushoto), na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya uchimbaji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge: Mgodi Bulyanhulu ushinikizwe kulipa deni

SERIKALI imetakiwa kufanya mazungumzo na mwekezaji wa mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu, ili iweze kuilipa Halmashauri ya Wilaya ya Kahama deni la dola milioni 8. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana...

 

10 years ago

Vijimambo

SIKU YA FAMILIA DAY YAFANA ,MGODI WA DHAHABU WA BUZWAGI GOLD MINE

 Moja wa  wa watoto wa wafanyakazi wa mgodi wa dhahabu Desdery kweyuna akepewa maelezo toka kwa Dr wilfred kaizerege juu ya huduma za afya kwa wafanyakazi wa mgodi huo Mkuu wa wilaya ya kahama Benson Mpesya mwenye suti akikaribishwa na meneja wa mgodi wa buzwagi Filbert Rweyemamu katika siku ya familia day ya mgodi huo.
 Afisa mahusiano wa mgodi wa dhahabu wa buzwagi blandina mughezi mweye miwa,huku meneja wa mgodi huu Filbert Rweyemamu akipokea mkuu wa wilaya ya kahama .
 Mzee karibu sana

 

5 years ago

Michuzi

Uhamiaji Mkoa wa Mara yapokea Kontena kutoka Barrick North Mara


Katika kuendelez can a jitihada za kuunga mkono serikali katika ulinzi na usalama hapa nchini Mgodi wa Barrick North Mara Mkoani Mara umetoa kontena moja (tupu) kwa Idara ya Uhamiaji  wilayani Butiama Mkoani Mara litakalotumika kama Ofisi ndogo katika Kizuizi cha Kirumi ikiwa na lengo la kurahisisha utendaji kazi katika kizuizi hicho.

Akiongea wakati akipokea kontena hilo Afisa uhamiaji Mkoa wa Mara Naibu Kamishna wa Uhamiaji DCI Albert Rwelamila aliwapongeza wakurugenzi wa Barrick North Mara...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Migodi ya dhahabu yakusanya mrabaha tril. 2/-

JUMLA ya sh trilioni 2.07 zimekusanywa kama kodi na mrabaha kutoka kwa wamiliki wa migodi mikubwa ya dhahabu nchini. Fedha hizo ni sawa na asilimia 9.3 ya mapato yote ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani