Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Buzwagi kusitisha uchimbaji wa dhahabu

Dhahabu.KAMPUNI ya Acacia inayomiliki mgodi wa dhahabu wa Buzwagi mkoani Shinyanga, imesema ndani ya miaka miwili, itasitisha shughuli za uchimbaji na uzalishaji madini hayo, kutokana na soko kuzidi kushuka.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SIKU YA FAMILIA DAY YAFANA ,MGODI WA DHAHABU WA BUZWAGI GOLD MINE

 Moja wa  wa watoto wa wafanyakazi wa mgodi wa dhahabu Desdery kweyuna akepewa maelezo toka kwa Dr wilfred kaizerege juu ya huduma za afya kwa wafanyakazi wa mgodi huo Mkuu wa wilaya ya kahama Benson Mpesya mwenye suti akikaribishwa na meneja wa mgodi wa buzwagi Filbert Rweyemamu katika siku ya familia day ya mgodi huo.
 Afisa mahusiano wa mgodi wa dhahabu wa buzwagi blandina mughezi mweye miwa,huku meneja wa mgodi huu Filbert Rweyemamu akipokea mkuu wa wilaya ya kahama .
 Mzee karibu sana

 

10 years ago

Michuzi

MIGODI YA DHAHABU YA GEITA, BULYANHULU, BUZWAGI NA NORTH MARA KUANZA KULIPA USHURU

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA NISHATI NA MADINI


TANGAZO.


MIGODI YA DHAHABU YA GEITA, BULYANHULU, BUZWAGI NA NORTH MARA KUANZA KULIPA USHURU WA HUDUMA KWA KIWANGO CHA 0.3% YA MAPATO GHAFI KWA HALMASHAURI ZA WILAYA NA MIJI.
Wizara ya Nishati na Madini inapenda kutangazia umma kuwa mgodi wa dhahabu wa Geita unaomilikiwa na kampuni ya AngloGold Ashanti; na migodi ya Bulyanhulu, Buzwagi na North Mara inayomilikiwa na kampuni ya Acacia Mining, imeanza kulipa ushuru wa huduma kwa kiwango...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Shanta ya uchimbaji wa dhahabu yakabidhi hundi ya milioni 41.5 kwa kikundi cha Aminika Gold Mine cha Sambaru

gm

Meneja mkuu wa shanta akizungumza kwenye mkutano wa makabidhiano ya hundi hiyo jana.

Na Hillary Shoo, IKUNGI

KAMPUNI ya uchimbaji wa Madini ya dhahabu ya Shanta mining Limited iliyopo katika kijiji cha Sambaru Kata ya Mang’onyi  Wilayani Ikungi, imekabidhi hundi yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 4.23 kwa kikundi cha Aminika .

Msaada huo umekabidhiwa kwa bodi ya Wakurugenzi wa kikundi hicho cha Aminika jana na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Shanta, Zone Swanepoel katika kijiji cha...

 

11 years ago

Dewji Blog

Shanta yatoa leseni, Mtaji, huku Tan Discovery yakabidhi vifaa kwa kikundi cha uchimbaji wa Dhahabu cha Aminika Singida

DC

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Manju Msambya akizungumza na wananchi wa kijiji cha Sambaru kwenye hafla hiyo ya makabidhiano ya leseni tatu.

Na Hillary Shoo,

KAMPUNI ya uchimbaji wa madini ya dhahabu ya Shanta Mining Ltd, imetoa leseni tatu na mtaji wa shilingi milioni 40 kwa kikundi cha wachimbaji wadogo cha Aminika cha kijiji cha Mang’onyi  Wilayani Ikungi Mkoani Singida.

Kikundi hicho Aminika Gold Mine Co- Operative Society Ltd Mang’onyi kimekabidhiwa leseni hizo jana na Naibu...

 

10 years ago

Mtanzania

Mgodi wa Buzwagi kufungwa

Na Fredrick Katulanda, Mwanza

MAKAMU wa Rais wa Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Acacia, Deo Mwanyika, amesema mgodi wa dhahabu wa Buzwagi uliopo wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga utafungwa kutokana na uzalishaji kushuka.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mwanyika alisema mashapo ya dhahabu ya mgodi wa Buzwagi yana uwezo wa kutoa Ounce 900,000 ya dhahabu yenye ubora wa gramu 1.35 kwa tani hivyo kudumu kwa kipindi cha miaka mitano.
Alisema kutoka na hali hiyo, uongozi wa Kampuni ya...

 

11 years ago

Habarileo

Buzwagi kufungwa miaka 2 ijayo?

MGODI wa dhahabu wa Buzwagi uliopo Kahama mkoani Shinyanga, huenda ukafungwa ndani ya miaka miwili ijayo ili kuiepushia hasara kampuni inayochimba dhababu katika eneo hilo, African Barrick Gold.

 

9 years ago

Michuzi

BUZWAGI YAWAZAWADIA WAFANYAKAZI BORA WA MWAKA.

Meneja wa Idara ya Maboresho ya Biashara wa Mgodi wa Buzwagi Bwana Richard Ojendo wa kwanza kushoto akipokea tuzo ya heshima ya utumishi uliotukuka ya meneja wa mgodi, “General Manager Prestegious award” kutoka kwa mkuu wa wilaya ya Kahama Bwana Benson Mpesya,(katikati) anaeshuhudia upande wa kulia ni Eng. Philbert Rweyemamu Meneja Mkuu wa Mgodi wa Buzwagi.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii kanda ya Kaskazini aliyekuwa Shinyanga.Meneja wa Idara ya Maboresho ya Biashara wa Mgodi wa Buzwagi...

 

9 years ago

Vijimambo

MGODI WA BUZWAGI WAZINDUA LIGI YA MAHUSIANO-KAHAMA.

Baadhi ya Maafisa kutoka Mgodi wa Buzwagi wakifatilia mashindano hayo wakati wa ufunguzi, kutoka kushoto ni Bwana, Jamal Rwambol, (Security Operations Section Leader), George Mkanza-(Sustainability Manager), Amos John – (Commercial Manager and Acting Mine General Manager), Bahati Mwambene-Community relations section Leader na Magesa Magesa-(Stakeholder engagement & communications officer) Bwana Jamal Rwambol Security Operations Section Leader wa mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi akizungumza wakati...

 

10 years ago

Michuzi

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira yaumwagia sifa Mgodi wa Buzwagi

Migodi ya dhahabu nchini imetakiwa kuiga mfano wa mgodi wa Buzwagi wilayani Kahama katika kutunza na kuweka mazingira ya uzalishaji salama kwa binadamu na viumbe wengine.
 Rai hiyo imetolewa  na mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili  na Mazingira Mheshimiwa James Lembeli, wakati kamati hiyo ilipotembelea mgodi huo tarehe 30 Oktoba 2014 . 
Mhe.Lembeli alisema kuwa kamati yake ilifuatilia kwa kina utekelezaji wa maagizo na maelekezo ya Baraza la Taifa la Mazingira (NEMC)  kwa migodi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani