Uhamiaji Mkoa wa Mara yapokea Kontena kutoka Barrick North Mara
![](https://1.bp.blogspot.com/-SWEbNM-m1mQ/XpVRM5yWm0I/AAAAAAALm40/1FURc384GJ0VDBTfM56J1zJnAy_w9od7ACLcBGAsYHQ/s72-c/85f2ecd1-1313-4f77-b867-e4105a025dcb.jpg)
Katika kuendelez can a jitihada za kuunga mkono serikali katika ulinzi na usalama hapa nchini Mgodi wa Barrick North Mara Mkoani Mara umetoa kontena moja (tupu) kwa Idara ya Uhamiaji wilayani Butiama Mkoani Mara litakalotumika kama Ofisi ndogo katika Kizuizi cha Kirumi ikiwa na lengo la kurahisisha utendaji kazi katika kizuizi hicho.
Akiongea wakati akipokea kontena hilo Afisa uhamiaji Mkoa wa Mara Naibu Kamishna wa Uhamiaji DCI Albert Rwelamila aliwapongeza wakurugenzi wa Barrick North Mara...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_09b9LRMvp8/XsUzno1jNVI/AAAAAAALq_E/x2CLFUiUGpMGTvg8qZvu13yOvccRhmhCwCLcBGAsYHQ/s72-c/nemctanzania--1589979457039.jpg)
Waziri Zungu akagua bwawa la kuhifadhi tope sumu (TFS) Mgodi wa Barrick North Mara
![](https://1.bp.blogspot.com/-_09b9LRMvp8/XsUzno1jNVI/AAAAAAALq_E/x2CLFUiUGpMGTvg8qZvu13yOvccRhmhCwCLcBGAsYHQ/s640/nemctanzania--1589979457039.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-lWlgRFZXM4M/XsUznzEmz3I/AAAAAAALq_I/UZz337TFe0Mz2Ez3vuAIinP0s8-JK2k_gCLcBGAsYHQ/s640/nemctanzania--1589979457626.jpg)
Waziri Zungu ameambatana na Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Mabula, Mwenyekiti wa Bodi ya NEMC Prof. Esinati Chaggu pamoja na watendaji wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC). Wakati wa ukaguzi huo Waziri Zungu amewashauri watendaji...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-prFe0IwzjMs/VfhpmsGhVNI/AAAAAAAH5EA/CxQHt6U7i4I/s72-c/1.jpg)
MAKAMU WA RAIS AADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA MARA (MARA DAY) BUTIAMA MKOANI MARA
![](http://3.bp.blogspot.com/-prFe0IwzjMs/VfhpmsGhVNI/AAAAAAAH5EA/CxQHt6U7i4I/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-tsiZAHkOin0/VfhpxGyMqRI/AAAAAAAH5Eg/rSdPFad4r4M/s640/2.jpg)
10 years ago
MichuziMH. MAHENGE AFANYA ZIARA KATIKA MGODI WA NORTH MARA
9 years ago
Dewji Blog03 Oct
Mgodi wa North Mara watumia Bilioni 1.7 kujenga shule wa sekondari JK Nyerere
Mama Salma Kikwete akishirikiana na viongozi wa Mkoa wa Mara na wale wa Wilaya ya Tarime na wahisani waliojenga Shule ya J.K. Nyerere kukata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa Shule hiyo iliyoko katika Kijiji cha Nyamwaga.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpongeza Ndugu Jimmy Ijumba, Meneja wa ACACIA –North Mara Gold Mine mara baada ya kuzindua rasmi shule hiyo.
Mama Salma Kikwete akifurahia ngoma ya utamaduni na wananchi wa Kijiji cha Nyamwaga kilichoko katika wilaya...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hFVJpaTEVUo/VO2hV-CPUoI/AAAAAAAHFzw/2S2b-l-j-Ck/s72-c/New%2BPicture.png)
MIGODI YA DHAHABU YA GEITA, BULYANHULU, BUZWAGI NA NORTH MARA KUANZA KULIPA USHURU
![](http://1.bp.blogspot.com/-hFVJpaTEVUo/VO2hV-CPUoI/AAAAAAAHFzw/2S2b-l-j-Ck/s1600/New%2BPicture.png)
TANGAZO.
MIGODI YA DHAHABU YA GEITA, BULYANHULU, BUZWAGI NA NORTH MARA KUANZA KULIPA USHURU WA HUDUMA KWA KIWANGO CHA 0.3% YA MAPATO GHAFI KWA HALMASHAURI ZA WILAYA NA MIJI.
Wizara ya Nishati na Madini inapenda kutangazia umma kuwa mgodi wa dhahabu wa Geita unaomilikiwa na kampuni ya AngloGold Ashanti; na migodi ya Bulyanhulu, Buzwagi na North Mara inayomilikiwa na kampuni ya Acacia Mining, imeanza kulipa ushuru wa huduma kwa kiwango...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-QuPZnk4ZjOU/VREO0h5eLVI/AAAAAAAHMuY/gYSn4zd73io/s72-c/Chapman.jpg)
WAFANYAKAZI MGODI WA NORTH MARA WATUZWA KWA UMAHIRI NA UMAKINI KATIKA KAZI
![](http://1.bp.blogspot.com/-QuPZnk4ZjOU/VREO0h5eLVI/AAAAAAAHMuY/gYSn4zd73io/s1600/Chapman.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-JSvht5FNrQs/VREO0qHt9UI/AAAAAAAHMuc/94IhGIHcSv0/s1600/Chapman_Albert_Le%2Bpoer%2Btrench.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-gsPm408yCdc/XsV6qqUyhxI/AAAAAAALrB0/tbF7G1ECwMIFJdVMblbYFcuJGOZpPlkgACLcBGAsYHQ/s72-c/nemctanzania--1589979454993.jpg)
ZUNGU AKAGUA BWAWA LA KUHIFADHI TOPE SUMU (TFS) MGODI WA BARRRICK NORTH MARA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Azzan Zungu hii leo amekagua bwawa la kuhifadhia tope sumu katika Mgodi wa Dhahabu wa Barrick North Mara.
Waziri Zungu ameambatana na Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angela Mabula, Mwenyekiti wa Bodi ya NEMC Prof. Esinati Chaggu pamoja na watendaji wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC). Wakati wa ukaguzi huo Waziri Zungu amewashauri...
10 years ago
Dewji Blog05 May
Mh. Kitwanga, asikitishwa na mtindo wa “Tegesha” unaofanywa na wananchi eneo la kuzunguka mgodi wa North Mara
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga, (kushoto), akisalimiana na Meneja Uendelezaji wa kampuni ya Acacia, Asa Mwaipopo, wakati alipofika kwenye kijiji cha Nyakunguru, kilicho jirani na mgodi wa North Mara, Mara ulioko Nyamongo, wilayani Tarime mkoa wa Mara Jumatatu Mei 4, 2015, ili kufahamu jitihada za mgodi kuendeleza miradi ya kijamii na changamoto ambazo Jamii na Mgodi zinapata kutokana na shughuli za uchimbaji Wanaoshuhudia ni Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Glorious...
10 years ago
Dewji Blog24 Mar
Wafanyakazi wa mgodi wa North Mara wapewa tuzo za umahiri 2014, kwa umakini na uwajibikaji kazini
Meneja Mkuu wa Mgodi wa North Mara, Gary Chapman, akionyesha wafanyakazi wenzake wa mgodi huo, tuzo ya umahiri ya mwaka 2014, (Excellence Awards 2014), waliyonyakua kwa kuwa mgodi wenye kuzingatia usalama kwa kiwango cha juu, wakati wa utoaji tuzo hizo awamu ya pili iliyofganyika kwenye mgodi huo Jumanne usiku Machi 23, 2015.
Meneja mkuu wa mgodi wa North Mara, Gary Chapman, (kushoto), akishuhudia wakati Le Poer Trench, (katikati) na Albert Rudman, wakionyesha tuzo za umahiri za mwaka...