Harambee ya Amref yakusanya bil. 1.9/-
HARAMBEE ya mfuko wa kampeni ya ‘Jitolee kwa ajili ya akina mama wa Afrika’, iliyoongozwa na Makamu wa Rais Dk Mohammed Gharib Bilal juzi, imewezeshakupatikanaSh bilioni 1.9, ikiwa ni zaidi ya lengo la Sh bilioni moja lililowekwa na Shirika linalojihusisha na masuala ya afya la Amref.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima24 Apr
Harambee ya Bugadea yakusanya mil. 8/-
SHILINGI milioni 8.8 zimekusanywa katika harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha Afya cha Buganguzi, wilayani Muleba iliyoratibiwa na Umoja wa Maendeleo ya Buganguzi (Bugadea). Akizungumza katika harambee hiyo iliyofanyika...
11 years ago
Mwananchi25 Dec
Harambee yakusanya sh20 milioni
11 years ago
Tanzania Daima27 Feb
PSPF yakusanya bil. 516/-
MFUKO wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) umepata mafanikio kwa mwaka wa fedha 2013 kwa kukusanya sh bilioni 516.5. Akizungumzia utendaji wa mfuko huo katika mkutano mkuu wa tatu...
10 years ago
Dewji Blog04 May
Halmashauri ya Singida yakusanya mapato ya sh bil 11/-
Makamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Singida vijijini, Elia Digha, akitoa taarifa ya mapato na matumizi kwa kipindi cha kuanzia Julai mwaka jana hadi Machi 30 mwaka huu mbele ya kikao cha kawaiada cha madiwani. Digha alisema kuwa halmashauri hiyo ilikusanya zaidi yashilingi bilioni 11.4 ikiwa ni sawa na asilimia 49 ya lengo la kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 22.1.
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Singida vijijini, Iddi Mnyampanda, akizungumza kwenye ufunguzi wa kikao...
10 years ago
Habarileo25 Aug
Taasisi Benjamin Mkapa yakusanya bil. 1/-
TAASISI ya Benjamini Mkapa HIV/AIDS Foundation (BMAF) imekusanya zaidi ya Sh bilioni 1.3 ikiwa ni fedha taslimu pamoja na ahadi katika harambee iliyofanyika jijini hapa kwa ajili ya mradi wa kuimarisha huduma za afya.
5 years ago
CCM BlogWAZIRI BITEKO:SEKTA YA MADINI YAONGOZA KWA UKUAJI NCHINI. MAKUSANYO YAPAA KUTOKA BIL. 39 HADI BIL.58 APRILI
Nuru Mwasampeta na Tito Mselem,WM- Dodoma
WAZIRI wa Madini, Doto Biteko amesema ukuaji na mchango wa Sekta ya Madini kwenye pato la taifa unakua kwa kasi na kuwa mwaka 2019 mchango huo umeongezeka na kufikia asilimia 17.7 kutoka ukuaji wa asilimia 1.5 kwa mwaka 2018.
Amesema, kwa ukuaji huo sekta ya madini imeongoza sekta zote kwa ukuaji ikifuatiwa na sekta ya ujenzi ikiwa na ukuaji wa asilimia 14.1.
Ameongeza kuwa, wizara yake imekuwa ikikusanya kiasi cha wastani wa shilingi bilioni 39 kwa...
11 years ago
Tanzania Daima05 Jul
Amref yabadili jina, nembo
SHIRIKA la kimataifa lisilokuwa la kiserikali la Afrika Medical and Research Foundation (Amref) limezindua rasmi jina na nembo yake mpya ambapo sasa litajulikana kama Amref Health Africa Tanzania. Uzinduzi huo...
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
AMREF kusomesha wanafunzi wa uuguzi
WANAFUNZI 100 wa fani za uuguzi na ukunga, wanatarajia kupata ufadhili wa masomo kutoka Shirika la Utafiti wa Tiba na Afya barani Afrika (AMREF) kuanzia mwaka ujao wa masomo. Ufadhili...
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
Uchumi wasaini makubaliano na AMREF
DUKA la kujihudumia la Uchumi limeingia katika makubaliano maalumu na Mfuko wa Matibabu na Utafiti wa Kiafrika (AMREF) ili kuhakikisha michango yake inakuwa na matokeo makubwa kwa walengwa. Meneja wa...