Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Harambee yakusanya sh20 milioni

Jumla ya Sh20 milioni zimepatikana katika harambee ya kuchangia mfuko wa Umoja wa Wanasegerea Mjimwema (Uwasemji) ambao ulizinduliwa rasmi wiki iliyopita ukiwa na lengo la kuwajengea uwezo kiuchumi wakazi wa eneo hilo na kutatua changamoto tofauti zinazowakabili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Harambee ya Bugadea yakusanya mil. 8/-

SHILINGI milioni 8.8 zimekusanywa katika harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha Afya cha Buganguzi, wilayani Muleba iliyoratibiwa na Umoja wa Maendeleo ya Buganguzi (Bugadea). Akizungumza katika harambee hiyo iliyofanyika...

 

10 years ago

Habarileo

Harambee ya Amref yakusanya bil. 1.9/-

HARAMBEE ya mfuko wa kampeni ya ‘Jitolee kwa ajili ya akina mama wa Afrika’, iliyoongozwa na Makamu wa Rais Dk Mohammed Gharib Bilal juzi, imewezeshakupatikanaSh bilioni 1.9, ikiwa ni zaidi ya lengo la Sh bilioni moja lililowekwa na Shirika linalojihusisha na masuala ya afya la Amref.

 

11 years ago

Mwananchi

Oxfam kuzawadia mshindi wa Maisha Plus Sh20 milioni

Shirika la Oxfam linalojishughulisha kusaidia kilimo, limesema litawezesha wakulima vijana waweze kujihudumia kuendesha maisha yao ikiwamo kuendesha shindano ambalo mshindi wake wa Maisha Plus 2014 atapata Sh20 milioni.

 

10 years ago

Michuzi

ACACIA YAKUSANYA SHILINGI MILIONI 800 ZA KUSAIDIA SEKTA YA ELIMU, BAADA YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO

 MKUU wa wilaya ya Tarime Mkoani Mara, Glorious Luoga, (Katikati), akinyanyua juu mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 800, baada ya kukabidhiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampouni ya Acacia, Brad Gordon, (kushoto), katika hafla fupi iliyofanyika kwenye lango la kushukia kutyoka kilele cha  Mlima Kilimanjaro, Mweka, Juni 28, 2015.  Fedha hizo ambazo ni kwa ajili ya kusaidia sekta ya eli kwa watoto kutoka familia duni, zimetokana na wafanyakazi wa Acacia na familia zao pamoja na...

 

9 years ago

Michuzi

BANK OF AFRIKA TANZANIA YAKUSANYA ZAIDI YA MILIONI 210 KUSAIDIA MATIBABU YA WATOTO WANAOZALIWA NA MIGUU ILIYOPINDA

  Mkurugenzi Mkuu wa Bank of Africa nchini Bw. Ammishadai Owusu-Amoah akimkabidhi Ofisa Mtendaji Mkuu wa hospitali ya CCBRT mfano wa hundi wenye ya dola za kimarekani 100,000 kwa ajili ya matibabu ya watoto wanaozaliwa na miguu iliyopinda. Nyuma ni Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe. Ali Hassani Mwinyi na Mwenyekiti wa Bodi ya Bank of Afrika Mwanaidi Majaar.  Balozi Mwanaidi Majaar,Mwenyekiti wa Bodi Bank of Afrika akihutubia wadau mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo. Balazo anasema...

 

11 years ago

Michuzi

MILIONI 319 ZAPATIKANA KATIKA HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA KATOLIKI LA MAKONGO JUU JIJINI DAR

 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka (katikati), akizungumza katika harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa Katoliki la Makongo Juu  iliyofanyika kanisani hapo Juni 29-2014 jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kushoto ni Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, James Rugemalira, Mrs Rugemalira, Paroko wa Parokia ya Makongo Juu, Joseph Masenge, Mwakilishi wa Mkombozi Commecial Benki, Edina Lupembe na Respius Didace. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Balozi Seif Idd ashiriki harambee chuo cha CBE, afanikisha kukusanya shilingi milioni 540.8

Picha no 1

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ally Idd akikabidhi mchango wake wa shilingi milioni 3 kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uongozi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Prof. Mathew Luhanga (katikati)  kusaidia uboreshaji wa miundombinu ya chuo hicho jana usiku wakati wa harambee  maalum ya ukusanyaji wa fedha iliyofanyika  Hoteli ya Serena jijini Dar es salam.Kulia ni Mkuu wa Chuo hicho Prof. Emanuel Mjema.

Picha no 2

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ally Idd akisoma majumuisho...

 

10 years ago

Michuzi

Zaidi ya sh. Milioni 100 zapatikana katika harambee ya kuchangia Mfuko wa Bonnah Education Trust Fund jijini dar

 Mgeni Rasmi katika hafla ya Chakula cha jioni cha kuchangia Mfuko wa Bonnah Education Trust Fund,Mwenyekiti wa CCM Mkoawa Dar es Salaam,Ndg. Ramadhan Madabida akitoa hotuba yake kabla ya kuanza kuendesha harambee hiyo,iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.Zaidi ya sh. Milioni 100 zilipatikana katika harambee hiyo. Mwenyekiti Mwanzilishi wa Bonnah Education Trust Fund,Bonnah Kaluwa akitoa hotuba yake kwa wageni wa mbali mbali (hawapo pichani)...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA HARAMBEE KUWASAIDIA WAANDISHI WA HABARI YAKABIDHI MILIONI 20 KWA WAANDISHI WENYE MAHITAJI YA MATIBABU

 Mwenyekiti wa Kamati ya Harambee ya Kuwasaidia waandishi wanaougua maradhi mbali mbali, Bw. Benjamin Thompson akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani), ndani ya Idara ya Habari MAELEZO,mapema leo jijini Dar kuhusiana na matokeo ya harambee ya Media Car Wash for Cancer Campaign, inayoendelea nchini.  Mwenyekiti wa Kamati ya Harambee ya Kuwasaidia waandishi wanaougua maradhi mbali mbali, Bw. Benjamin Thompson akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani