Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Oxfam kuzawadia mshindi wa Maisha Plus Sh20 milioni

Shirika la Oxfam linalojishughulisha kusaidia kilimo, limesema litawezesha wakulima vijana waweze kujihudumia kuendesha maisha yao ikiwamo kuendesha shindano ambalo mshindi wake wa Maisha Plus 2014 atapata Sh20 milioni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Harambee yakusanya sh20 milioni

Jumla ya Sh20 milioni zimepatikana katika harambee ya kuchangia mfuko wa Umoja wa Wanasegerea Mjimwema (Uwasemji) ambao ulizinduliwa rasmi wiki iliyopita ukiwa na lengo la kuwajengea uwezo kiuchumi wakazi wa eneo hilo na kutatua changamoto tofauti zinazowakabili.

 

11 years ago

Dewji Blog

Mkurugenzi Mkazi wa OXFAM Tanzania Jane Foster atembelea kijiji cha Maisha Plus na kujionea kazi za ujasiriamali

Untitled

Wanakijiji wa Kijiji cha Maisha Plus ambao ni Vijana wa Maisha Plus pamoja na Mama shujaa wa Chakula wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Oxfam Tanzania Jane Foster ambaye hayupo.

Untitled 1

 Kutoka Kulia ni Mkurugenzi wa Oxfam Tanzania Jane Foster, Mkamiti Mgawe wa Oxfam na Babu kutoka kijiji cha Maisha Plus Rajabu Msumi  wakiongea na washiriki wa Maisha Plus na Mama Shujaa wa Chakula.

Untitled 2

Mkamiti Mgawe wa tatu kutoka kushoto akimtambulisha Malkia wa Kijiji cha Maisha Plus kwa Mkurugenzi wa Oxfam...

 

11 years ago

GPL

MSHINDI WA MILIONI 10 KUPATIKANA LEO

Na Lucy Mgina
IMETIMIA! Ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wasomaji wa Gazeti la Championi kujinyakulia shilingi milioni 10 taslimu, sasa imetimia kwani leo kwenye Viwanja vya Mbagala Zakhem jijini Dar ndiyo itafanyika droo hiyo ya mwisho. Hii ni droo ya mwisho ambapo awali katika droo zilizopita walipatikana washindi mbalimbali wa sofa seti, friji, flat screen na dekoda yake, dinner seti na nyinginezo kibao. Meneja wa...

 

10 years ago

GPL

KUTANA NA MSHINDI WA MILIONI 50 ZA TMT

Mshindi wa shilingi milioni 50 za shindano la Tanzania Movie Talents (TMT), Mwanaafa Mwinzago akifanyiwa 'Exclsive Interview' katika studio za Global TV Online baada ya kushinda kitita hicho.

 

10 years ago

GPL

MWANAAFA NDIYE MSHINDI WA MILIONI 50 ZA TMT

Mshindi wa milioni 50 za TMT, Mwanaafa Mwinzago. Mshiriki kutoka Kanda ya Kusini, Mwanaafa Mwinzago amefanikiwa kuibuka kidedea na kutwaa shilingi milioni 50 za shindano la Tanzania Movie Talents (TMT).…

 

9 years ago

GPL

AIRTEL YATANGAZA MSHINDI WA MILIONI 50 WA PROMOSHENI YA JIONGEZE NA MSHIKO


Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (katikati) akiongea na mshindi wa droo ya promosheni ya "Jiongeze na Mshiko", Sylvester Kucas Boyo, mwanafunzi na mkazi wa Shinyanga alijishindia mil. 50 na Juma Sekele Maruka, Mwalimu mkazi wa Nyakato, Mwanza wateja wawili wa Airtel waliibuka washindi, (kushoto) ni Mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya KJubahatisha, Humudi Abdul Hussein na Ofisa huduma za ziada Airtel, Fabian...

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA MILIONI 100 ZA JAYMILLIONS KUKABIDHIWA KITITA CHAKE

Mshindi wa Milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions  inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Uwezo Magedenge (22) akiwa nyumbani kwao kijiji cha Pamilini Kilolo Mkoa wa Iringa  akiendelea na shughuri zake za nyumbani wakati alipotembelewa na maofisa  wa Vodacom Tanzania  kijijini hapo kwa  ajili ya kumchukua na kumpeleka jijini Dar es Salaam kwa makabidhiano rasmi ya kitita chake hivi karibuni.
Meneja...

 

5 years ago

Press

M-PAWA INAZIDI KUWATAJIRISHA WATANZANIA MSHINDI WA PILI WA MILIONI 20 APATIKANA

01

Vodacom Tanzania wakishirikiana na Benki ya CBA, ilizindua promosheni kubwa inayojulikana kama “Jiongeze na M-Pawa” ambayo inawawezesha watumiaji wa huduma ya M-Pawa kujishindia zawadi ya fedha taslimu. Jumla ya shilingi milioni 300 zimetengwa kwa ajili ya promosheni hiyo na mshindi mmoja wa droo kubwa atajishindia kitita cha shilingi milioni 100. Washindi wa wiki watazawadiwa shilingi milioni 20 na washindi wa siku watazawadiwa shilingi milioni moja. Promosheni hiyo ambayo ilianza mwanzoni...

 

10 years ago

Michuzi

Mshindi mwingine wa milioni 100 za Jaymillions akabidhiwa kitita chake

 Mshindi wa kitita cha shilingi milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Hamisi Khalid (kushoto) mkazi wa Mtwara akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhiwa hundi yake na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (kulia) baada ya kuibuka mshindi wa kitita hicho kupitia promosheni hiyo hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya kampuni hiyo Mlimani City jijini Dar es Salaam....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani