Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSHINDI WA MILIONI 10 KUPATIKANA LEO

Na Lucy Mgina
IMETIMIA! Ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wasomaji wa Gazeti la Championi kujinyakulia shilingi milioni 10 taslimu, sasa imetimia kwani leo kwenye Viwanja vya Mbagala Zakhem jijini Dar ndiyo itafanyika droo hiyo ya mwisho. Hii ni droo ya mwisho ambapo awali katika droo zilizopita walipatikana washindi mbalimbali wa sofa seti, friji, flat screen na dekoda yake, dinner seti na nyinginezo kibao. Meneja wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

AIRTEL YAKABIDHI MILIONI 50 KWA MSHINDI WA PROMOSHENI YA MIMI NI BINGWA LEO

Afisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa makabidhiano ya hundi kwa Mshindi  wa Promosheni  ya Mimi ni Bingwa, aliyejishindia Shilingi Milioni 50, Bw. Kagombo Rashind Jacob (kushoto). Pembeni ni Meneja Masoko wa Airtel , Upendo Nkini. Meneja Masoko  wa Airtel , Upendo Nkini (kushoto) akikabidhi hundi kwa Mshindi  wa… ...

 

10 years ago

GPL

KUTANA NA MSHINDI WA MILIONI 50 ZA TMT

Mshindi wa shilingi milioni 50 za shindano la Tanzania Movie Talents (TMT), Mwanaafa Mwinzago akifanyiwa 'Exclsive Interview' katika studio za Global TV Online baada ya kushinda kitita hicho.

 

10 years ago

GPL

MWANAAFA NDIYE MSHINDI WA MILIONI 50 ZA TMT

Mshindi wa milioni 50 za TMT, Mwanaafa Mwinzago. Mshiriki kutoka Kanda ya Kusini, Mwanaafa Mwinzago amefanikiwa kuibuka kidedea na kutwaa shilingi milioni 50 za shindano la Tanzania Movie Talents (TMT).…

 

10 years ago

Mwananchi

Miss Ilala kupatikana leo

Mashindano ya kumsaka mnyange wa Ilala yamepangwa kufanyika leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Kilimanjaro Kenpisk jijini hapa.

 

9 years ago

Habarileo

Mufti Tanzania kupatikana leo

SASA ni rasmi kwamba, Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa kumpata Mufti wa Tanzania unatarajiwa kufanyika leo mjini hapa ukishirikisha wagombea wanne, akiwemo Kaimu Mufti, Shehe Abubakar Zuberi.

 

11 years ago

Mwananchi

Oxfam kuzawadia mshindi wa Maisha Plus Sh20 milioni

Shirika la Oxfam linalojishughulisha kusaidia kilimo, limesema litawezesha wakulima vijana waweze kujihudumia kuendesha maisha yao ikiwamo kuendesha shindano ambalo mshindi wake wa Maisha Plus 2014 atapata Sh20 milioni.

 

9 years ago

Mtanzania

Miss Albino kupatikana leo usiku

ISHA MASHAUZIIIINA GEORGE KAYALA

KUNDI la Mashauzi Classic Modern Taarab linatarajiwa kutoa burudani kali ya kukonga nyoyo za mashabiki watakaoshuhudia shindano la kumsaka mrembo wa watu wenye ulemavu wa ngozi ‘Miss Albino’, linalofanyika katika Ukumbi wa Msasani Club, jijini Dar es Salaam leo usiku.

Tamasha hilo limeandaliwa na shirika lisilo la kiserikali la Save Vulnerable Foundation (SVF) kupitia Baraza la Sanaa nchini (Basata).

Mratibu wa tamasha hilo, Fredy Kaula, ambaye pia ni Mwenyekiti wa shirika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani