Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miss Ilala kupatikana leo

Mashindano ya kumsaka mnyange wa Ilala yamepangwa kufanyika leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Kilimanjaro Kenpisk jijini hapa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Miss Albino kupatikana leo usiku

ISHA MASHAUZIIIINA GEORGE KAYALA

KUNDI la Mashauzi Classic Modern Taarab linatarajiwa kutoa burudani kali ya kukonga nyoyo za mashabiki watakaoshuhudia shindano la kumsaka mrembo wa watu wenye ulemavu wa ngozi ‘Miss Albino’, linalofanyika katika Ukumbi wa Msasani Club, jijini Dar es Salaam leo usiku.

Tamasha hilo limeandaliwa na shirika lisilo la kiserikali la Save Vulnerable Foundation (SVF) kupitia Baraza la Sanaa nchini (Basata).

Mratibu wa tamasha hilo, Fredy Kaula, ambaye pia ni Mwenyekiti wa shirika...

 

11 years ago

Michuzi

Miss Tabata kupatikana leo Da’ West Park

 Warembo 16 leo watawania taji la Miss Tabata 2014 kwenye shindano ambalo litafanyika katika ukumbi wa Da’ West Park, Tabata. Mratibu wa shindano hilo Joseph Kapinga amesema kuwa mrembo atakayeshinda atamrithi Dorice Mollel ambaye pia anashikilia taji la Miss Ilala. Mratibu huyo amesema mshindi huyo atazadiwa 500,000/- wakati mshindi wa pili atapata 300,000/- na watatu 200,000/-. Mshindi wa tatu na wa nne kila moja atapata 150,000/-. Bali na zawadi ya pesa taslim pia kila mshiriki atapata...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Redd’s Miss Tanzania 2014 kupatikana leo Dar

WASICHANA 30 wanaowania taji la Redd’s Miss Tanzania 2014, jioni ya leo watapanda jukwaani kujaribu bahati katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam. Warembo hao waliopo kambini kwa...

 

11 years ago

GPL

MISS TABATA KUPATIKANA LEO DA’ WEST PARK

Warembo 16 leo watawania taji la Miss Tabata 2014 kwenye shindano ambalo litafanyika katika ukumbi wa Da’ West Park, Tabata. Mratibu wa shindano hilo Joseph Kapinga amesema kuwa mrembo atakayeshinda atamrithi Dorice Mollel ambaye pia anashikilia taji la Miss Ilala. Mratibu huyo amesema mshindi huyo atazadiwa 500,000/- wakati mshindi wa pili atapata 300,000/- na watatu 200,000/-. Mshindi wa tatu na wa nne kila moja atapata...

 

11 years ago

Michuzi

Miss morogoro 2014 kupatikana leo nashera hotel ya mji kasoro bahari

 Na John Nditi WAREMBO 15 wamejitosa katika kinyang’anyiro cha kuwania  kunyakua taji la Miss Morogoro 2014 litakalofanyika  leo Juni 13,   kwenye  ukumbi wa Hoteli ya Nashera ya Mjini Morogoro. Katika kinyang’anyiro hicho, Msanii wa Bongo Fleva, Khalid Ramadhan ‘Tundaman’ anatarajia kupanda jukwaani kutoa burdani wakati wa kumsaka malikia wa  Redd’s Miss Morogoro wa mwaka huu. Warembo hao  wamejitokeza kuwania taji hilo linaloshikiliwa na Msomi wa  Chuo cha Usimamizi wa Fedha ( IFM) ,...

 

9 years ago

Mtanzania

Miss Albino kupatikana Septemba 4

AlbinoJULIET MORI, TUDARCO

SHINDANO la kumsaka mrembo wa watu wenye ulemavu wa ngozi ‘Miss Albino’ linatarajiwa kufanyika Septemba 4 katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

Tamasha hilo limeandaliwa na shirika lisilo la kiserikali la Save Vulnerable Foundation (SVF) kupitia Baraza la Sanaa nchini (Basata).

Mratibu wa tamasha hilo, Fatuma Mjungu, amesema tamasha hilo linalenga kuibua na kutambua vipaji, kujenga ujasiri, kuwawezesha kufikia malengo yao, kuwajenga kiafya, kiuchumi na...

 

9 years ago

Mtanzania

Miss Albino Arusha kupatikana Desemba 18

MISS ALBINONA GEORGE KAYALA

SHINDANO la kumsaka mrembo wa watu wenye ulemavu wa ngozi ‘Miss Albino Tanzania’ linalofanywa kikanda linaendelea Desemba 18, mwaka huu katika Jiji la Arusha.

Shindano hilo linatarajiwa kufanyika katika Ukumbi wa Triple A huko Arusha ambapo wasichana kadhaa watashindanishwa kumpata Miss Albino Kanda ya Kaskazini.

Mratibu wa shindano hilo, Alexander Matowo, alisema shindano hilo litafanyika kanda zote kisha washindi wa kila kanda watashindanishwa kwa ajili ya kumpata Miss...

 

11 years ago

Michuzi

MISS MANYARA 2014 KUPATIKANA JUNI 14 MJINI BABATI

Kinyanganyiro cha kuwania taji la Miss Manyara 2014, kinatarajia kufanyika Juni 14 mwaka huu katika ukumbi wa CCM Mkoa, mjini Babati, ambapo warembo kumi wanatarajia kuchuana.
Mkurugenzi wa Mirerani Entertainment, Akon Clement ambaye ni Mratibu wa mashindano hayo alisema mgeni rasmi wa mashindano hayo anatarajiwa kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mary Nagu.
Akon alisema msanii maarufu wa kizazi kipya, Bob Junior kutoka jijini Dar es salaam anatarajiwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Silaa awafunda warembo Miss Ilala

MSTAHIKI Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa, amewataka warembo wanaowania katika taji la Miss Ilala 2014, kuhakikisha wanatambua urembo ni ajili, hivyo waweze kuthamini uwepo wao katika shindano hilo....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani