MISS TABATA KUPATIKANA LEO DA’ WEST PARK
![](http://api.ning.com:80/files/vKR8mtf*1cpBUNci31pzKxaXe14sk1YfBIbf6uH3pSUUiGZ8y6YivIZmjnm5NazTMOMTPD*U9ZATib6m27*I75Anhs2rLMPS/misstbt.jpg?width=650)
Warembo 16 leo watawania taji la Miss Tabata 2014 kwenye shindano ambalo litafanyika katika ukumbi wa Da’ West Park, Tabata. Mratibu wa shindano hilo Joseph Kapinga amesema kuwa mrembo atakayeshinda atamrithi Dorice Mollel ambaye pia anashikilia taji la Miss Ilala. Mratibu huyo amesema mshindi huyo atazadiwa 500,000/- wakati mshindi wa pili atapata 300,000/- na watatu 200,000/-. Mshindi wa tatu na wa nne kila moja atapata...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-2qz6Y4Bfth0/U5BBXR8phkI/AAAAAAAFnzI/0I8Zk9hk2bg/s72-c/unnamed+(32).jpg)
Miss Tabata kupatikana leo Da’ West Park
![](http://3.bp.blogspot.com/-2qz6Y4Bfth0/U5BBXR8phkI/AAAAAAAFnzI/0I8Zk9hk2bg/s1600/unnamed+(32).jpg)
11 years ago
GPLNANI KUTWAA TAJI LA MISS TABATA LEO DA’ WEST PARK
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/--xCNfzzvLm0/U0VlTnnU1fI/AAAAAAAFZhE/twzYocL5fw8/s72-c/Miss-Tabata-2012.jpg)
Miss Tabata kutambulishwa Pasaka Da West PARK
![](http://1.bp.blogspot.com/--xCNfzzvLm0/U0VlTnnU1fI/AAAAAAAFZhE/twzYocL5fw8/s1600/Miss-Tabata-2012.jpg)
11 years ago
MichuziWAREMBO WANAOSHINDANIA MISS TABATA 2014 WAENDLEA KUJINOA KWENYE UKUMBI WA DAR WEST PARK
11 years ago
Dewji Blog29 May
Warembo wanaoshindania Miss Tabata 2014 waendelea kujinoa kwenye ukumbi wa Dar West Park
11 years ago
Dewji Blog29 May
Warembo wanaowania taji la Miss Tabata 2014 waendelea kujinoa ukumbi wa Dar West Park
Warembo wanaoshindania miss Tabata 2014 wakiwa kwenye pozi wakati wa mazoezi ya shindano hilo na fainali itakalofanyika siku ya Ijumaa tarehe 06/06/ 2014. Mashindano haya ya Miss Tabata 2014 yatafanyika kwenye ukumbi wa Dar West Park.
Mwalimu Pasilida Mandari anayewanoa warembo watakaochuana vikali kwenye shindano la Miss Tabata 2014 akizungumza na warembo hao wakati wa mazoezi.
Warembo watakaochuana vikali kwenye shindano la Miss Tabata 2014 wakiwa watokelezea kwenye pozi...
11 years ago
GPLWAREMBO WANAOSHINDANIA MISS TABATA 2014 WAENDLEA KUJINOA KWENYE UKUMBI WA DAR WEST PARK
11 years ago
GPLMAANDALIZI YA MISS TABATA NDANI YA DA' WEST TABATA USIKU HUU
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-NzQi1Ro_eo4/U0VdyPc2rKI/AAAAAAAFZfE/ueBdpd75hGI/s72-c/Misstabata.jpg)
Miss Tabata kutambulishwa Pasaka Da West
![](http://1.bp.blogspot.com/-NzQi1Ro_eo4/U0VdyPc2rKI/AAAAAAAFZfE/ueBdpd75hGI/s1600/Misstabata.jpg)
Warembo watakaoshiriki kwenye kinyang’anyiro cha kusaka malkia wa Tabata, Redds Miss Tabata 2014, watatambulishwa siku ya sikukuu Pasaka katika ukumbi wa Da West Park, Tabata.
Mratibu wa shindano hilo Joseph Kapinga amesema jana kuwa utambulisho huo utaenda sambamba na uzinduzi wa Miss Tabata 2014.
Kapinga alisema kuwa wapenzi wa urembo watapata fursa ya kuwaona warembo hao siku hiyo kabla ya kushiriki kwenye shindano la Redds Miss Tabata ambalo limepangwa kufanyika...