Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miss Tabata kutambulishwa Pasaka Da West

Na Mwandishi Wetu
Warembo watakaoshiriki kwenye kinyang’anyiro cha kusaka malkia wa Tabata, Redds Miss Tabata 2014, watatambulishwa  siku ya sikukuu Pasaka katika ukumbi wa Da West Park, Tabata.
Mratibu wa shindano hilo Joseph Kapinga amesema jana kuwa utambulisho huo utaenda sambamba na uzinduzi wa Miss Tabata 2014.
Kapinga alisema kuwa wapenzi wa urembo watapata fursa ya kuwaona warembo hao siku hiyo kabla ya kushiriki kwenye shindano la Redds Miss Tabata ambalo limepangwa kufanyika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Miss Tabata kutambulishwa Pasaka Da West PARK

Warembo watakaoshiriki kwenye kinyang’anyiro cha kusaka malkia wa Tabata, Redds Miss Tabata 2014, watatambulishwa siku ya sikukuu Pasaka katika ukumbi wa Da West Park, Tabata.  Mratibu wa shindano hilo Joseph Kapinga amesema jana kuwa utambulisho huo utaenda sambamba na uzinduzi wa Miss Tabata 2014. Kapinga alisema kuwa wapenzi wa urembo watapata fursa ya kuwaona warembo hao siku hiyo kabla ya kushiriki kwenye shindano la Redds Miss Tabata ambalo limepangwa kufanyika mwishoni wa mwezi...

 

11 years ago

GPL

MAANDALIZI YA MISS TABATA NDANI YA DA' WEST TABATA USIKU HUU

Mabango ya Global Publishers ambao ni mojawapo ya wadhamini wa Miss Tabata 2014 yakiwa ndani ya Da' West, Tabata. Baadhi ya wananchi walioanza kuingia ukumbini kwa ajili ya kumshuhudia Miss Tabata 2014 usiku huu.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Twanga kupamba utambulisho Miss Tabata Pasaka

BENDI ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ inatarajiwa kusindikiza uzinduzi wa Redd’s Miss Tabata utakaofanyika Ukumbi wa Da’ West Park, Tabata jijini Dar es Salaam, Jumapili ya Pasaka. Mratibu wa shindano...

 

11 years ago

Michuzi

Miss Tabata kupatikana leo Da’ West Park

 Warembo 16 leo watawania taji la Miss Tabata 2014 kwenye shindano ambalo litafanyika katika ukumbi wa Da’ West Park, Tabata. Mratibu wa shindano hilo Joseph Kapinga amesema kuwa mrembo atakayeshinda atamrithi Dorice Mollel ambaye pia anashikilia taji la Miss Ilala. Mratibu huyo amesema mshindi huyo atazadiwa 500,000/- wakati mshindi wa pili atapata 300,000/- na watatu 200,000/-. Mshindi wa tatu na wa nne kila moja atapata 150,000/-. Bali na zawadi ya pesa taslim pia kila mshiriki atapata...

 

11 years ago

Michuzi

Twanga Pepeta kupamba utambulisho Miss Tabata SIKU YA Pasaka

 Bendi ya African Stars “Twanga Pepeta” itasindikiza uzinduzi wa Redds Miss Tabata itakayofanyika Jumapili ya Pasaka katika ukumbi wa Da’ West Park, Tabata. Mratibu wa shindano hilo Joseph Kapinga amesema bendi hiyo itatambulisha nyimbo zao mpya kama zawadi yao ya Pasaka kwa wapenzi wao. Pia bendi hiyo ijulikanayo kama Wakali wa Kisigino pia watapiga nyimbo zao zote kali hadi majogoo. Mratibu huyo wa Bob Entertainment na Keen Arts alisema kuwa wapenzi wa urembo watapata fursa ya kuwaona...

 

11 years ago

GPL

MISS TABATA KUPATIKANA LEO DA’ WEST PARK

Warembo 16 leo watawania taji la Miss Tabata 2014 kwenye shindano ambalo litafanyika katika ukumbi wa Da’ West Park, Tabata. Mratibu wa shindano hilo Joseph Kapinga amesema kuwa mrembo atakayeshinda atamrithi Dorice Mollel ambaye pia anashikilia taji la Miss Ilala. Mratibu huyo amesema mshindi huyo atazadiwa 500,000/- wakati mshindi wa pili atapata 300,000/- na watatu 200,000/-. Mshindi wa tatu na wa nne kila moja atapata...

 

11 years ago

GPL

NANI KUTWAA TAJI LA MISS TABATA LEO DA’ WEST PARK

 Husna Ibrahim  Evodia Mdemu  Happiness Wilson…

 

11 years ago

Dewji Blog

Warembo wanaowania taji la Miss Tabata 2014 waendelea kujinoa ukumbi wa Dar West Park

DSC_0037

Warembo wanaoshindania miss Tabata 2014 wakiwa kwenye pozi wakati wa mazoezi ya shindano hilo na fainali itakalofanyika siku ya Ijumaa tarehe 06/06/ 2014. Mashindano haya ya Miss Tabata 2014 yatafanyika kwenye ukumbi wa Dar West Park.

DSC_0030

Mwalimu Pasilida Mandari anayewanoa warembo watakaochuana vikali kwenye shindano la Miss Tabata 2014 akizungumza na warembo hao wakati wa mazoezi.

DSC_0028

DSC_0033

DSC_0024

DSC_0042

Warembo watakaochuana vikali kwenye shindano la Miss Tabata 2014 wakiwa watokelezea kwenye pozi...

 

11 years ago

Dewji Blog

Warembo wanaoshindania Miss Tabata 2014 waendelea kujinoa kwenye ukumbi wa Dar West Park

 Warembo wanaoshindania miss Tabata 2014 wakiwa kwenye pozi wakati wa mazoezi ya shindano hilo na fainali itakalofanyika siku ya Ijumaa tarehe 06/06/ 2014. Mashindano haya ya Miss Tabata 2014 yatafanyika kwenye ukumbi wa Dar West Park.  Mwalimu Pasilida Mandari anayewanoa warembo watakaochuana vikali kwenye shindano la Miss Tabata 2014 akizungumza na warembo hao wakati wa mazoezi.  Warembo watakaochuana vikali kwenye shindano la Miss Tabata 2014 wakiwa watokelezea kwenye pozi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani