Twanga Pepeta kupamba utambulisho Miss Tabata SIKU YA Pasaka
Bendi ya African Stars “Twanga Pepeta” itasindikiza uzinduzi wa Redds Miss Tabata itakayofanyika Jumapili ya Pasaka katika ukumbi wa Da’ West Park, Tabata. Mratibu wa shindano hilo Joseph Kapinga amesema bendi hiyo itatambulisha nyimbo zao mpya kama zawadi yao ya Pasaka kwa wapenzi wao. Pia bendi hiyo ijulikanayo kama Wakali wa Kisigino pia watapiga nyimbo zao zote kali hadi majogoo. Mratibu huyo wa Bob Entertainment na Keen Arts alisema kuwa wapenzi wa urembo watapata fursa ya kuwaona...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
Twanga kupamba utambulisho Miss Tabata Pasaka
BENDI ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ inatarajiwa kusindikiza uzinduzi wa Redd’s Miss Tabata utakaofanyika Ukumbi wa Da’ West Park, Tabata jijini Dar es Salaam, Jumapili ya Pasaka. Mratibu wa shindano...
11 years ago
GPLTWANGA PEPETA WAKIFANYA VITU VYAO KWENYE FAINALI ZA MISS TABATA 2014
10 years ago
GPLTWANGA PEPETA WANASWA WAKIJIFUA KWA AJILI YA UTAMBULISHO WA CHOKI
11 years ago
MichuziMiss Tabata kutambulishwa Pasaka Da West
Warembo watakaoshiriki kwenye kinyang’anyiro cha kusaka malkia wa Tabata, Redds Miss Tabata 2014, watatambulishwa siku ya sikukuu Pasaka katika ukumbi wa Da West Park, Tabata.
Mratibu wa shindano hilo Joseph Kapinga amesema jana kuwa utambulisho huo utaenda sambamba na uzinduzi wa Miss Tabata 2014.
Kapinga alisema kuwa wapenzi wa urembo watapata fursa ya kuwaona warembo hao siku hiyo kabla ya kushiriki kwenye shindano la Redds Miss Tabata ambalo limepangwa kufanyika...
11 years ago
MichuziMiss Tabata kutambulishwa Pasaka Da West PARK
11 years ago
GPLMAANDALIZI YA MISS TABATA NDANI YA DA' WEST TABATA USIKU HUU
10 years ago
GPL10 years ago
MichuziTwanga Pepeta yapania Valentine Day
Mkurugenzi wa bendi hiyo Asha Baraka amesema kuwa pia onyesho hilo watatambulisha nyimbo zao mpya zilizoko kwenye chati. Pia mkurugenzi huyo alisema kuwa bendi hiyo itapiga nyimbo zao zote za zamani zilizovuma wakati huo.
Aliwataka mashabiki wa bendi hiyo kujitokeza kwa wingi kuhudhuria onyesho la aina yake ambalo...