Twanga Pepeta yapania Valentine Day
BENDI ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ usiku wa kesho itafanya onyesho maalum ya kusherekea siku ya wapendanao ‘Valentine Day’, kwenye ukumbi wao wa nyunmbi Mango Garden, Kinondoni.
Mkurugenzi wa bendi hiyo Asha Baraka amesema kuwa pia onyesho hilo watatambulisha nyimbo zao mpya zilizoko kwenye chati. Pia mkurugenzi huyo alisema kuwa bendi hiyo itapiga nyimbo zao zote za zamani zilizovuma wakati huo.
Aliwataka mashabiki wa bendi hiyo kujitokeza kwa wingi kuhudhuria onyesho la aina yake ambalo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi14 Feb
Twanga Pepeta kutumbuiza ‘Valentine Day’
11 years ago
GPL11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Ra3yIR5rpfQ/UvuX3g8rdOI/AAAAAAAFMmA/8as_mi_hrYQ/s72-c/unnamed.jpg)
10 years ago
GPL10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
AMIGOLAS WA TWANGA PEPETA AFARIKI DUNIA
10 years ago
GPLTWANGA PEPETA NA FM ACADEMIA KUFANYA SHOO MACHI 28
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-9py7Yh2XwUM/Uvu3mUAYRYI/AAAAAAAFMqM/DAsgfO7gl-I/s72-c/4.jpg)
T.B.L YALIBORESHA BONANZA LA TWANGA PEPETA LEADERS CLUB.
![](http://1.bp.blogspot.com/-9py7Yh2XwUM/Uvu3mUAYRYI/AAAAAAAFMqM/DAsgfO7gl-I/s1600/4.jpg)
KAMPUNI ya Bia (T.B.L) kupitia Brand ya KILIMANJARO imeamua kuliboresha Bonanza la Twanga Pepeta la kila Jumapili linalofanyika katika viwanja vya Leaders Club.
Maboresho hayo ni kutoa Bia moja ya Kilimanjaro kwa kila atakayelipa kiingilio. Licha ya kupewa Bia moja ya Kilimanjaro, kiingilio cha mlangoni kimepunguzwa sana mpaka kufikia Tshs 2,500. Kwa kawaida kiingilio cha Leaders huwa ni Tshs 5,000/= lakini TBL imeamua kukipunguza mpaka Tsh 2,500 kwa kuwa italipia mapungufu. TBL...
11 years ago
Tanzania Daima05 Jul
Mfungo wafuta maonyesho Extra, Twanga Pepeta
KATIKA kuheshimu mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, baadhi ya bendi zimesitisha maonyesho yake zikitumia nafasi hiyo kujipanga zaidi kwa lengo la kuongeza makali yao. Kwa upande wa bendi ya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-dM203vpOrZ8/XqfxvCsCPsI/AAAAAAALodE/1nPxFUCahYsVv7h9-Yv0nYvAgx6bZBwxwCLcBGAsYHQ/s72-c/choki%252Bpic.jpg)
JANGA LA CORONA LASABABISHA UKATA TWANGA PEPETA
![](https://1.bp.blogspot.com/-dM203vpOrZ8/XqfxvCsCPsI/AAAAAAALodE/1nPxFUCahYsVv7h9-Yv0nYvAgx6bZBwxwCLcBGAsYHQ/s640/choki%252Bpic.jpg)
Yassir Simba, Michuzi Tv MMILIKI na Mkurugenzi wa bendi ya muziki wa dansi nchini ya Twanga Pepeta, Asha Baraka amedai bendi yake sasa haiko sawa kiuchumi kutokana na janga la Corona.
Mkurugenzi wa bendi hiyo ameyasema hayo katika mahojiano yake na kipindi cha clouds 360 kinachorushwa na clouds TV.
Asha Baraka amedai kwamba kutokana na janga hilo la Corona kumesababishwa kufungwa kwa baadhi ya kumbi za starehe na kupelekea bendi hiyo kukosa maonyesho ambapo amedai amesaidia kuwalipa msharaha...