Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAHAZI, TWANGA PEPETA WAFUNIKA KANUMBA DAY

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Twanga Pepeta yapania Valentine Day

BENDI ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ usiku wa kesho itafanya onyesho maalum ya kusherekea siku ya wapendanao ‘Valentine Day’, kwenye ukumbi wao wa nyunmbi Mango Garden, Kinondoni.
Mkurugenzi wa bendi hiyo Asha Baraka amesema kuwa pia onyesho hilo watatambulisha nyimbo zao mpya zilizoko kwenye chati. Pia mkurugenzi huyo alisema kuwa bendi hiyo itapiga nyimbo zao zote za zamani zilizovuma wakati huo.
Aliwataka mashabiki wa bendi hiyo kujitokeza kwa wingi kuhudhuria onyesho la aina yake ambalo...

 

11 years ago

Mwananchi

Twanga Pepeta kutumbuiza ‘Valentine Day’

Dar es Salaam. Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ usiku wa leo itafanya onyesho maalum kusherekea siku ya wapendanao ‘Valentine Day’, kwenye ukumbi wa Mzalendo Pub, Kijitonyama, Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

TUNDAMAN, SNURA, BONGO MUVI WAFUNIKA KANUMBA DAY

Msanii wa kundi la Tip Top Connection Khalid Ramadhan 'Tundaman' akiwapagawisha mashabiki katika Kanumba Day. Snura Mushi 'Mamaa Majanga' akifanya yake stejini usiku huu ndani ya Dar Live.…

 

10 years ago

GPL

AMIGOLAS WA TWANGA PEPETA AFARIKI DUNIA

Mwimbaji wa zamani wa Twanga Pepeta, Hamis Kayumbu 'Amigolas' enzi za uhai wake. Mwimbaji wa zamani wa Twanga Pepeta, Hamis Kayumbu 'Amigolas'  amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kulazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa siku kadhaa. Amigo alilazwa Muhimbili kwa matatizo ya moyo ambapo taratibu za kufanyiwa upasuaji zilikuwa zikiandaliwa lakini mauti yakamkuta kabla ya lolote kufanyika. Mwimbaji huyu ambaye hadi...

 

11 years ago

GPL

JAHAZI MODERN TAARAB WAFUNIKA DAR LIVE SIKUKUU YA IDD MOSI

Waimbaji wa kundi la Jahazi Morden Taarab wakiwa jukwaani wakati wakifanya yao katika sikukuu ya Idd, Dar Live. Mashabiki kibao wakiwa wamejazana mbele ya steji…

 

9 years ago

Mtanzania

Hassan Rehani awajibu walioikimbia Twanga Pepeta

dogoNA MWALI IBRAHIM

BAADA ya baadhi ya wanamuziki wa bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Ramadhani Athumani na Salehe Kupaza kueleza sababu iliyowafanya waikimbie bendi hiyo na kuhamia Double M Sound Plus ni maslai na madeni yao wanayoidai Twanga Pepeta, meneja wa bendi hiyo, Hassan Rehani, ameibuka na kukana madai hayo.

Wanamuziki hao tayari wameshatambulishwa rasmi kwenye bendi ya Double M Sound Plus iliyopo chini ya Mwinjuma Muumini ‘Kocha wa Dunia’, wamedaiwa kutumia maneno ya kudai...

 

9 years ago

Global Publishers

Twanga Pepeta kufungua mwaka Dar Live

Ali Choki - Twanga_6 Na Mwandishi Wetu
BENDI kongwe ya muziki wa Dansi nchini, The African Stars International ‘Twanga Pepeta’ Januari 1 ambayo pia ni Sikukuu ya Mwaka Mpya, wanatarajiwa kufungua mwaka kwa kishindo ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.

Ali Choki -Twanga_5Akizungumza na gazeti hili, Meneja wa Dar Live, Juma Mbizo alisema kuwa siku zote ukumbi huo hauishi kwa burudani na safari hii katika Sikukuu ya Mwaka Mpya wamewaandalia bendi isiyoshikika Bongo ya Twanga Pepeta ambayo...

 

11 years ago

GPL

MSIBA: MCD WA TWANGA PEPETA AFARIKI DUNIA!

Sudi Mohamed, 'MCD' (pichani, juu na chini) ambaye ni mpinga tumba maarufu nchini Tanzania amefariki dunia usiku huu akiwa Moshi ambako alikwenda kwa ajili ya matiabu zaidi yapata miezi mitatu iliyopita. Kwa mujibu wa kiongozi mmoja wa Bendi ya Twanga Pepeta, Meneja Hassani, MCD alipelekewa nauli ya kurudi jijini Dar esalaam leo ili arejee kesho lakini mauti yakamfika usiku mida ya saa tano na nusu. MCD amewahi kupiga katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani