Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Twanga Pepeta kufungua mwaka Dar Live

Ali Choki - Twanga_6 Na Mwandishi Wetu
BENDI kongwe ya muziki wa Dansi nchini, The African Stars International ‘Twanga Pepeta’ Januari 1 ambayo pia ni Sikukuu ya Mwaka Mpya, wanatarajiwa kufungua mwaka kwa kishindo ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.

Ali Choki -Twanga_5Akizungumza na gazeti hili, Meneja wa Dar Live, Juma Mbizo alisema kuwa siku zote ukumbi huo hauishi kwa burudani na safari hii katika Sikukuu ya Mwaka Mpya wamewaandalia bendi isiyoshikika Bongo ya Twanga Pepeta ambayo...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

11 years ago

GPL

TWANGA PEPETA WAKIWASHA MOTO KATIKA UZINDUZI WA YAMOTO BAND NDANI YA DAR LIVE USIKU HUU

Msafiri Diouf 'Lewandowsky' wa Twanga Pepeta akifanya vitu vyake jukwaani kwenye uzinduzi wa Yamoto Band ndani ya Dar Live usiku huu.…

 

9 years ago

Global Publishers

Usiku wa Masebene Dar Live… Twanga pepeta acha kabisa!

Twanga (1)Ally Choki akiimbaTwanga (2)Waimbaji Kalala Jr. (Kushoto), Jumanne Ramadhani na Haji wakiimba kwa pamoja.Twanga (3)Kalala na Luiza Mbutu.Twanga (4)Mpiga gitaa la besi, Oseya akiserebuka na mnenguaji wa bendi hiyo.Twanga (5)Wanenguaji, Maria Salome na Haji wakifanya yao.Twanga (6)Wanenguaji wa Twanga Pepeta wakipagawisha.Twanga (7)Oseya na Kalala Jr wakitimiza wajibu wao jukwaani.Twanga (8)Wanenguaji wakionesha umahili wao kwa staili ya mgongomgongo.

Na Issa Mnally

USIKU wa masebene ndiyo tunaweza kusema hivyo baada ya Bendi ya Muziki wa dansi ya African Stars...

 

11 years ago

Vijimambo

TWANGA PEPETA WAFANYA SHOO YA NGUVU CLUB YA MAISHA JIJINI DAR

  Waimbaji wa Twanga Pepeta wakitoa burudani kwenye shoo yao iliyofanyika club ya Maisha jijini Dar usiku wa kuamkia leo.  Kiongozi na mwimbaji  wa bendi ya 'Twanga Pepeta, Luiza Mbutu akiimba  moja ya nyimbo zao kwenye shoo hiyo iliyofanyika club maisha jijini Dar. Mwimbaji wa bendi ya 'Twanga Pepeta, Msafiri Diouf akitoa burudani ya nguvu kwenye shoo iliyofanyika club maisha jijini dar.
Wacheza shoo wa Twanga Pepeta wakifanya ya kwao kwenye club ya Maisha jijini...

 

11 years ago

GPL

TWANGA PEPETA WAFANYA SHOO YA NGUVU CLUB YA MAISHA JIJINI DAR‏


Waimbaji wa Twanga Pepeta wakitoa burudani kwenye shoo yao iliyofanyika club ya Maisha jijini Dar usiku wa kuamkia leo.
Kiongozi na mwimbaji  wa bendi ya 'Twanga Pepeta, Luiza Mbutu akiimba  moja ya nyimbo zao kwenye shoo hiyo iliyofanyika club maisha jijini Dar.
 Mwimbaji wa bendi ya 'Twanga Pepeta, Msafiri Diouf akitoa burudani ya nguvu kwenye shoo iliyofanyika club… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani