Shangwe za Mwaka Mpya na Twanga Pepeta – Dar Live
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi9 years ago
Global Publishers29 Dec
Twanga Pepeta kufungua mwaka Dar Live
Na Mwandishi Wetu
BENDI kongwe ya muziki wa Dansi nchini, The African Stars International ‘Twanga Pepeta’ Januari 1 ambayo pia ni Sikukuu ya Mwaka Mpya, wanatarajiwa kufungua mwaka kwa kishindo ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.
Akizungumza na gazeti hili, Meneja wa Dar Live, Juma Mbizo alisema kuwa siku zote ukumbi huo hauishi kwa burudani na safari hii katika Sikukuu ya Mwaka Mpya wamewaandalia bendi isiyoshikika Bongo ya Twanga Pepeta ambayo...
9 years ago
Michuzi01 Jan
Dar Live na Shangwe za Kuukaribisha Mwaka Mpya 2016, Christian Bella Aweka Rekodi Mpya!
10 years ago
GPLTWANGA PEPETA WAKIWASHA MOTO KATIKA UZINDUZI WA YAMOTO BAND NDANI YA DAR LIVE USIKU HUU
9 years ago
Global Publishers01 Jan
9 years ago
Global Publishers01 Jan
9 years ago
Global Publishers02 Jan
Usiku wa Masebene Dar Live… Twanga pepeta acha kabisa!
Ally Choki akiimbaWaimbaji Kalala Jr. (Kushoto), Jumanne Ramadhani na Haji wakiimba kwa pamoja.Kalala na Luiza Mbutu.Mpiga gitaa la besi, Oseya akiserebuka na mnenguaji wa bendi hiyo.Wanenguaji, Maria Salome na Haji wakifanya yao.Wanenguaji wa Twanga Pepeta wakipagawisha.Oseya na Kalala Jr wakitimiza wajibu wao jukwaani.Wanenguaji wakionesha umahili wao kwa staili ya mgongomgongo.
Na Issa Mnally
USIKU wa masebene ndiyo tunaweza kusema hivyo baada ya Bendi ya Muziki wa dansi ya African Stars...