Usiku wa Masebene Dar Live… Twanga pepeta acha kabisa!
Ally Choki akiimba
Waimbaji Kalala Jr. (Kushoto), Jumanne Ramadhani na Haji wakiimba kwa pamoja.
Kalala na Luiza Mbutu.
Mpiga gitaa la besi, Oseya akiserebuka na mnenguaji wa bendi hiyo.
Wanenguaji, Maria Salome na Haji wakifanya yao.
Wanenguaji wa Twanga Pepeta wakipagawisha.
Oseya na Kalala Jr wakitimiza wajibu wao jukwaani.
Wanenguaji wakionesha umahili wao kwa staili ya mgongomgongo.
Na Issa Mnally
USIKU wa masebene ndiyo tunaweza kusema hivyo baada ya Bendi ya Muziki wa dansi ya African Stars...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog26 Dec
Funga Mwaka Concert na Diamond Ndani ya Dar Live… Acha Kabisa!
Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leo
Diamond akicheza na mashabiki wake waliofurika Dar Live.
Akicheza na wacheza shoo wake wa kike.
Nyomi ya kufa mtu ndani ya Dar Live wakiendelea kumshangilia Diamond.
Wacheza shoo wa kike wa Diamond wakifanya yao.
Diamond akiwachombeza mashabiki.
Diamond akicheza na wacheza shoo wake wa kiume.
Akiongea na mashabiki.
Diamond akifanya yake na wacheza shoo wake.
Diamond baada ya kuwakonga nyoyo mashabiki wake...
10 years ago
Dewji Blog26 Sep
Twanga Pepeta wafanya shoo ya nguvu Maisha Club usiku wa kuamkia leo jijini Dar
Kiongozi na mwimbaji wa bendi ya ‘Twanga Pepeta, Luiza Mbutu (wa pili kutoka kulia), akiwa na Kalala Junior (wa pili kutoka kushoto) pamoja na Haji Ramadhani (wa kwanza kulia) wakitoa burudani kwa mashabiki wao kwenye shoo iliyofanyika club ya Maisha jijini Dar
Waimbaji wa Twanga Pepeta wakitoa burudani kwenye shoo iliyofanyika kwenye club ya Maisha jijini Dar usiku wa kuamkia leo.
Kiongozi na mwimbaji wa bendi ya ‘Twanga Pepeta, Luiza Mbutu akicheza moja ya nyimbo zao kwenye...
10 years ago
GPLTWANGA PEPETA WAKIWASHA MOTO KATIKA UZINDUZI WA YAMOTO BAND NDANI YA DAR LIVE USIKU HUU
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Twanga Pepeta kufungua mwaka Dar Live
Na Mwandishi Wetu
BENDI kongwe ya muziki wa Dansi nchini, The African Stars International ‘Twanga Pepeta’ Januari 1 ambayo pia ni Sikukuu ya Mwaka Mpya, wanatarajiwa kufungua mwaka kwa kishindo ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.
Akizungumza na gazeti hili, Meneja wa Dar Live, Juma Mbizo alisema kuwa siku zote ukumbi huo hauishi kwa burudani na safari hii katika Sikukuu ya Mwaka Mpya wamewaandalia bendi isiyoshikika Bongo ya Twanga Pepeta ambayo...
9 years ago
Global Publishers31 Dec
9 years ago
Global Publishers24 Dec
Bella kuonjesha Acha Kabisa Dar Live
Christian Bella ‘Obama’.
Andrew carlos
KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ anatarajiwa kuonjesha ngoma yake mpya aliyomshirikisha mkongwe wa muziki kutoka Kongo (DRC), Koffi Olomide siku ya mkesha wa Mwaka Mpya ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, Dar.
Akizungumza na Vijstori f’lani hivi, Bella anayebamba na Ngoma ya Nashindwa na Amerudi akiwa na Malaika Music Band, alisema kuwa siku hiyo mashabiki wake watapata bahati ya kuzisikia pia nyimbo...
10 years ago
VijimamboTWANGA PEPETA WAFANYA SHOO YA NGUVU CLUB YA MAISHA JIJINI DAR
10 years ago
GPLTWANGA PEPETA WAFANYA SHOO YA NGUVU CLUB YA MAISHA JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog29 Aug
Yaliyojiri katika shoo ya Twanga Pepeta kwenye Club ya Maisha jijini Dar
![1](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/08/128.jpg)
Mwimbaji wa Twanga Pepeta, Salehe Kupaza akiimba kwa hisia kubwa kwa mashabiki wao waliofika kutizama shoo yao ya nguvu kulia ni Kiongozi na mwimbaji wa bendi ya ‘Twanga Pepeta, Luiza Mbutu.