Funga Mwaka Concert na Diamond Ndani ya Dar Live… Acha Kabisa!
Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leo
Diamond akicheza na mashabiki wake waliofurika Dar Live.
Akicheza na wacheza shoo wake wa kike.
Nyomi ya kufa mtu ndani ya Dar Live wakiendelea kumshangilia Diamond.
Wacheza shoo wa kike wa Diamond wakifanya yao.
Diamond akiwachombeza mashabiki.
Diamond akicheza na wacheza shoo wake wa kiume.
Akiongea na mashabiki.
Diamond akifanya yake na wacheza shoo wake.
Diamond baada ya kuwakonga nyoyo mashabiki wake...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi26 Dec
Funga Mwaka Concert na Diamond Ndani ya Dar Live.....
![IMG_7348](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/12/IMG_7348.jpg)
![IMG_7989](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/12/IMG_7989.jpg)
![IMG_7359](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/12/IMG_7359.jpg)
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
9 years ago
MillardAyo26 Dec
Ni headlines za Diamond Platnumz Dec 25 kwenye show ya Funga Mwaka Dar Live…..(+Picha)
Christmas ya mwaka 2015 itabakia kuwa na historia kubwa kwenye dunia ya burudani, 88.5 usiku wa Dec 25 wamepokea shangwe za burudani kutoka kwa Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz kwenye viwanja vya Dar Live, Mbagala Dar es Salaam. Hapa nimekusogezea picha 20 uone jinsi kilivyohappen Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na […]
The post Ni headlines za Diamond Platnumz Dec 25 kwenye show ya Funga Mwaka Dar Live…..(+Picha) appeared first on...
9 years ago
Global Publishers26 Dec
Diamond afunika usiku wa Funga Mwaka Concert Dar Live
Mfalme wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akifanya yake usiku huu Dar Live.
9 years ago
Global Publishers23 Dec
9 years ago
Global Publishers15 Dec
9 years ago
Global Publishers02 Jan
Usiku wa Masebene Dar Live… Twanga pepeta acha kabisa!
Ally Choki akiimba
Waimbaji Kalala Jr. (Kushoto), Jumanne Ramadhani na Haji wakiimba kwa pamoja.
Kalala na Luiza Mbutu.
Mpiga gitaa la besi, Oseya akiserebuka na mnenguaji wa bendi hiyo.
Wanenguaji, Maria Salome na Haji wakifanya yao.
Wanenguaji wa Twanga Pepeta wakipagawisha.
Oseya na Kalala Jr wakitimiza wajibu wao jukwaani.
Wanenguaji wakionesha umahili wao kwa staili ya mgongomgongo.
Na Issa Mnally
USIKU wa masebene ndiyo tunaweza kusema hivyo baada ya Bendi ya Muziki wa dansi ya African Stars...
9 years ago
Global Publishers24 Dec
9 years ago
Global Publishers15 Dec
9 years ago
Michuzi17 Dec