Dar Live: Funga mwaka Consert siku ya X-Mass na Diamond Platinumz
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers15 Dec
9 years ago
Global Publishers23 Dec
9 years ago
Michuzi17 Dec
9 years ago
Michuzi26 Dec
Funga Mwaka Concert na Diamond Ndani ya Dar Live.....
![IMG_7348](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/12/IMG_7348.jpg)
![IMG_7989](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/12/IMG_7989.jpg)
![IMG_7359](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/12/IMG_7359.jpg)
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
9 years ago
Global Publishers26 Dec
Diamond afunika usiku wa Funga Mwaka Concert Dar Live
Mfalme wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akifanya yake usiku huu Dar Live.
9 years ago
Global Publishers25 Dec
9 years ago
Global Publishers24 Dec
10 years ago
GPL01 Jan
9 years ago
Dewji Blog22 Dec
Diamond: Njooni Dar Live X-mass, sitawaangusha!
Diamond Platnumz akiwasalimia mashabiki wake waliofurika katika eneo la Karume leo kwenye mkutano na wanahabari kuhusu shoo yake itakayofanyika Dar Live kwenye Sikukuu ya Krismasi.
Diamond akiimba wimbo wake mpya wa Utanipenda sambamba na mashabiki waliofurika Karume leo.
Mashabiki wakiwa wamepagawa wakati Diamond akiimba wimbo wake mpya wa Utanipenda.
Meneja Masoko wa Global Publishers na Dar Live, Innocent Mafuru (mwenye tisheti nyeupe aliyesimama kulia) akiwakaribisha wanahabari,...