Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond: Njooni Dar Live X-mass, sitawaangusha!

Funga Mwaka Concert 2015 (7)

Funga Mwaka Concert 2015 (9)

Diamond Platnumz akiwasalimia mashabiki wake waliofurika katika eneo la Karume leo kwenye mkutano na wanahabari kuhusu shoo yake itakayofanyika Dar Live kwenye Sikukuu ya Krismasi.

Funga Mwaka Concert 2015 (10)

Diamond akiimba wimbo wake mpya wa Utanipenda sambamba na mashabiki waliofurika Karume leo.

Funga Mwaka Concert 2015 (8)

Mashabiki wakiwa wamepagawa wakati Diamond akiimba wimbo wake mpya wa Utanipenda.

Funga Mwaka Concert 2015 (1)

Meneja Masoko wa Global Publishers na Dar Live, Innocent Mafuru (mwenye tisheti nyeupe aliyesimama kulia) akiwakaribisha wanahabari,...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Diamond: Njooni Dar Live X-mas, sitawaangusha!

Funga Mwaka Concert 2015 (7)Funga Mwaka Concert 2015 (9)

Diamond Platnumz akiwasalimia mashabiki wake waliofurika katika eneo la Karume leo kwenye mkutano na wanahabari kuhusu shoo yake itakayofanyika Dar Live kwenye Sikukuu ya Krismasi.

Funga Mwaka Concert 2015 (10)

Diamond akiimba wimbo wake mpya wa Utanipenda sambamba na mashabiki waliofurika Karume leo.

Funga Mwaka Concert 2015 (8)

Mashabiki wakiwa wamepagawa wakati Diamond akiimba wimbo wake mpya wa Utanipenda.

Funga Mwaka Concert 2015 (1)

Meneja Masoko wa Global Publishers na Dar Live, Innocent Mafuru (mwenye tisheti nyeupe aliyesimama kulia) akiwakaribisha wanahabari,...

 

9 years ago

Global Publishers

Watoto wajiachia X-Mass ndani ya Dar Live!

Dar Live (1)Watoto wakibembeaDar Live (2)…wakiendesha baiskeli za watotoDar Live (3) Dar Live (4) Dar Live (5)…wakizidi kupata burudani.
Dar Live (6) Dar Live (7) Dar Live (8)watoto dar live (1)…watoto ni full kujiahia.watoto dar live (4)…watoto wakijiachia kwenye ndege ya watoto.
watoto dar live (3)…watoto wakijiachia kwenye bembea la kuselelekawatoto dar live (6)…bembea likinoga.watoto dar live (7)watoto dar live (8)watoto dar live (9)…wakishindana kuogelea.

PICHA NA DENIS MTIMA/GPL

 

10 years ago

GPL

Kiba: Njooni muone jinsi ninavyopiga na ‘live’ bendi

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ali Saleh ‘Kiba’. Said Ally, Dar es Salaam
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ali Saleh ‘Kiba’, ametamka wazi kuwa, amejipanga vya kutosha kuhakikisha anawapagawisha mashabiki wake watakaojitokeza katika shoo ya Mwana Dar Live ambayo itaunguruma katika Sikukuu ya Pasaka, Aprili 5, mwaka huu. Akizungumza na Championi Jumatano, Kiba alisema amejipanga vya...

 

9 years ago

Global Publishers

Diamond kuwasha moto Dar Live

ymCTBkpDiamond Platinumz.

KWENYE bodaboda, bajaj zote za town, redioni, luningani na kwenye mitandao mingi inazungumziwa pini mpya ya Utanipenda, kitu kipya cha Diamond Platinumz maarufu mitaani kama Baba Tiffah.

Wakati hayo yakiendelea, mwishoni mwa wiki iliyopita, yeye na mpenziwe, Zarinah Hassan au Mama Tiffah, wakafanikiwa kujiongezea tuzo nyingine ya ASFA 2015 katika kipengele cha Best Couple ya Afrika Mashariki, zilizotolewa Uganda.

Ukiachana na hiyo tuzo na nyingine nyingi alizokomba na...

 

10 years ago

GPL

LIVE KUTOKA DAR LIVE: BURUDANI ZA MWANZO KABLA YA SHOO YA MWANA DAR LIVE

Waimbaji wa Mashauzi Classic wakiwa stejini. Msanii wa Bongo Fleva, Aisha Amsha Popo akifanya vitu vyake katika steji ya Dar Live usiku huu.…

 

10 years ago

Mwananchi

Diamond na Mzee Yusuf kuumana Dar Live

 Wapenzi wa burudani ya muziki wa kizazi kipya na muziki wa taarabu watapata burudani ya funga mwaka kutoka kwa gwiji wa muziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz na mfalme wa muziki wa taarabu, Mzee Yusuf watapanda jukwaa moja katika ‘Tamasha Wafalme’ litakalofanyika katika Ukumbi wa Dar Live, Mbagala.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani