Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond na Mzee Yusuf kuumana Dar Live

 Wapenzi wa burudani ya muziki wa kizazi kipya na muziki wa taarabu watapata burudani ya funga mwaka kutoka kwa gwiji wa muziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz na mfalme wa muziki wa taarabu, Mzee Yusuf watapanda jukwaa moja katika ‘Tamasha Wafalme’ litakalofanyika katika Ukumbi wa Dar Live, Mbagala.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ, MZEE YUSUF: TUTAFANYA MAAJABU DAR LIVE

WAKALI wa muziki nchini Diamond Platnumz na Mzee Yusuf wameahidi kufanya shoo ya nguvu katika Sikukuu ya Krismasi kwenye Ukumbi wa Kisasa wa Dar Live katika Tamasha la Wafalme.

 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA WAFALME: DIAMOND, MZEE YUSUF WAWEKA HISTORIA DAR LIVE

Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leo. Diamond akiwachombeza mashabiki.…

 

10 years ago

GPL

DIAMOND NA MZEE YUSUF KUWASHA MOTO DAR LIVE KRISMAS‏

 Moto mwingine wa burudani utakuwa Coco beach Wapenzi wa burudani  ya muziki wa kizazi kipya na muziki wa taarabu watapata burudani ya funga mwaka kutoka kwa gwiji wa muziki wa kizazi kipya ambaye anatamba kwa vipao mbalimbali vipya Diamond Platnumz na mfalme wa muziki wa taarabu Mzee Yusuf  na kundi lake la Jahazi Modern Taarab watapanda jukwaa moja katika”Tamasha Wafalme”litakalofanyika katika ukumbi wa Dar...

 

10 years ago

Dewji Blog

VIDEO Tamasha la Wafalme: Diamond, Mzee Yusuf waweka historia Dar Live

TAMASHALAWAFALME26

MFALME wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ usiku wa Krismasi amewadhihirishia mashabiki wake kuwa ni mfalme baada ya kufanya makamuzi ya hatari katika Ukumbi wa Dar Live, Mbagala-Zakhem, jijini Dar kwenye Tamasha la Wafalmelililodhaminiwa na VODACOM pamoja na COCACOLA.

Staa huyo aligonga ngoma zake zote na kuzikonga vilivyo nyoyo za mashabiki waliofurika katika uwanja huo wa burudani.

Mbali na Diamond, Mfalme wa Taarab nchini, Mzee Yusuf naye alifanya shoo kali na kuwapagawisha...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ, MZEE YUSUF WAAHIDI KUANGUSHA SHOO YA KUFA MTU DAR LIVE SIKUKUU YA X-MAS

Wanamuziki Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' na Mzee Yusuf (kushoto) wakipozi baada ya kufanya mahojiano na wanahabari leo. Wanamuziki hao wakionyesha mbwebwe zao mbele ya wanahabari (hawapo pichani).…

 

10 years ago

Michuzi

Diamond na Mzee Yusuf kuwasha moto Dar Live Krismas katika tamasha la wafalme chini ya Vodacom Tanzania, Moto mwingine wa burudani utakuwa Coco beach

Wapenzi wa burudani  ya muziki wa kizazi kipya na muziki wa taarabu watapata burudani ya funga mwaka kutoka kwa gwiji wa muziki wa kizazi kipya ambaye anatamba kwa vipao mbalimbali vipya Diamond Platnumz na mfalme wa muziki wa taarabu Mzee Yusuf  na kundi lake la Jahazi Modern Taarab watapanda jukwaa moja katika”Tamasha Wafalme”litakalofanyika katika ukumbi wa Dar Live,Mbagala jijini Dar es Salaam.Tamasha hili  la wafalme ambalo limeanza kuwa gumzo la  jiji kutokana na kuwa na burudani za...

 

10 years ago

GPL

MZEE YUSUF KUACHIA MPYA DAR LIVE

Mfalme wa muziki wa taarab Mzee Yusuf. MFALME Mzee Yusuf amerudi tena ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar ambapo Aprili 25, mwaka huu anatarajia kuachia ngoma mpya. Akizungumza na Over The Weekend, Mzee Yusuf anayebamba kunako miondoko ya Taarab alisema kuwa anawashukuru mashabiki kwa kuweza kumudu kwenye muziki kwa muda mrefu na zawadi kubwa atakayoitoa siku hiyo ni wimbo mpya uitwao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani