Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND NA MZEE YUSUF KUWASHA MOTO DAR LIVE KRISMAS‏

 Moto mwingine wa burudani utakuwa Coco beach Wapenzi wa burudani  ya muziki wa kizazi kipya na muziki wa taarabu watapata burudani ya funga mwaka kutoka kwa gwiji wa muziki wa kizazi kipya ambaye anatamba kwa vipao mbalimbali vipya Diamond Platnumz na mfalme wa muziki wa taarabu Mzee Yusuf  na kundi lake la Jahazi Modern Taarab watapanda jukwaa moja katika”Tamasha Wafalme”litakalofanyika katika ukumbi wa Dar...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Diamond na Mzee Yusuf kuwasha moto Dar Live Krismas katika tamasha la wafalme chini ya Vodacom Tanzania, Moto mwingine wa burudani utakuwa Coco beach

Wapenzi wa burudani  ya muziki wa kizazi kipya na muziki wa taarabu watapata burudani ya funga mwaka kutoka kwa gwiji wa muziki wa kizazi kipya ambaye anatamba kwa vipao mbalimbali vipya Diamond Platnumz na mfalme wa muziki wa taarabu Mzee Yusuf  na kundi lake la Jahazi Modern Taarab watapanda jukwaa moja katika”Tamasha Wafalme”litakalofanyika katika ukumbi wa Dar Live,Mbagala jijini Dar es Salaam.Tamasha hili  la wafalme ambalo limeanza kuwa gumzo la  jiji kutokana na kuwa na burudani za...

 

10 years ago

GPL

IDD MOSI HII DAR LIVE | MADEE, NATURE, MZEE YUSUF KUWASHA MOTO

Hamad Ally' Madee' WAFALME kunako Hip Hop na Taarab, Hamad Ally ‘Madee’, Juma Kassim ‘Nature’ pamoja na Mzee Yusuf wanatarajiwa kuangusha bonge la shoo Idd Mosi hii ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar. Mastaa hao walizungumza na Uwazi Mizengwe kuhusiana na shoo hiyo ambapo kila mmoja aliahidi kufanya makubwa ambayo hayajawahi kutokea katika tasnia ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Diamond na Mzee Yusuf kuumana Dar Live

 Wapenzi wa burudani ya muziki wa kizazi kipya na muziki wa taarabu watapata burudani ya funga mwaka kutoka kwa gwiji wa muziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz na mfalme wa muziki wa taarabu, Mzee Yusuf watapanda jukwaa moja katika ‘Tamasha Wafalme’ litakalofanyika katika Ukumbi wa Dar Live, Mbagala.

 

11 years ago

GPL

MZEE YUSUF NA JAHAZI WAWASHA MOTO DAR LIVE SIKUKUU YA KRISMASI

Mzee Yusuf akiwapagawisha mashabiki wa taarab Dar Live.…

 

9 years ago

Global Publishers

Diamond kuwasha moto Dar Live

ymCTBkpDiamond Platinumz.

KWENYE bodaboda, bajaj zote za town, redioni, luningani na kwenye mitandao mingi inazungumziwa pini mpya ya Utanipenda, kitu kipya cha Diamond Platinumz maarufu mitaani kama Baba Tiffah.

Wakati hayo yakiendelea, mwishoni mwa wiki iliyopita, yeye na mpenziwe, Zarinah Hassan au Mama Tiffah, wakafanikiwa kujiongezea tuzo nyingine ya ASFA 2015 katika kipengele cha Best Couple ya Afrika Mashariki, zilizotolewa Uganda.

Ukiachana na hiyo tuzo na nyingine nyingi alizokomba na...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ, MZEE YUSUF: TUTAFANYA MAAJABU DAR LIVE

WAKALI wa muziki nchini Diamond Platnumz na Mzee Yusuf wameahidi kufanya shoo ya nguvu katika Sikukuu ya Krismasi kwenye Ukumbi wa Kisasa wa Dar Live katika Tamasha la Wafalme.

 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA WAFALME: DIAMOND, MZEE YUSUF WAWEKA HISTORIA DAR LIVE

Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leo. Diamond akiwachombeza mashabiki.…

 

10 years ago

Dewji Blog

VIDEO Tamasha la Wafalme: Diamond, Mzee Yusuf waweka historia Dar Live

TAMASHALAWAFALME26

MFALME wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ usiku wa Krismasi amewadhihirishia mashabiki wake kuwa ni mfalme baada ya kufanya makamuzi ya hatari katika Ukumbi wa Dar Live, Mbagala-Zakhem, jijini Dar kwenye Tamasha la Wafalmelililodhaminiwa na VODACOM pamoja na COCACOLA.

Staa huyo aligonga ngoma zake zote na kuzikonga vilivyo nyoyo za mashabiki waliofurika katika uwanja huo wa burudani.

Mbali na Diamond, Mfalme wa Taarab nchini, Mzee Yusuf naye alifanya shoo kali na kuwapagawisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani