Diamond na Mzee Yusuf kuwasha moto Dar Live Krismas katika tamasha la wafalme chini ya Vodacom Tanzania, Moto mwingine wa burudani utakuwa Coco beach
![](http://3.bp.blogspot.com/-K_LkjDc3Rd0/VJUsyVBQWNI/AAAAAAAG4l8/9flQfWR5gQE/s72-c/DIAMONDNAMZEEYUSUF.jpg)
Wapenzi wa burudani ya muziki wa kizazi kipya na muziki wa taarabu watapata burudani ya funga mwaka kutoka kwa gwiji wa muziki wa kizazi kipya ambaye anatamba kwa vipao mbalimbali vipya Diamond Platnumz na mfalme wa muziki wa taarabu Mzee Yusuf na kundi lake la Jahazi Modern Taarab watapanda jukwaa moja katika”Tamasha Wafalme”litakalofanyika katika ukumbi wa Dar Live,Mbagala jijini Dar es Salaam.Tamasha hili la wafalme ambalo limeanza kuwa gumzo la jiji kutokana na kuwa na burudani za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XCoElX7q3j2KSSmqIR64kd1-sNce3oYpuB2y-Ep-gJGTzt-5QqDsfi4xAZZDDf5V3BHCJTmrX2QcIQv3OJXWLhd6qTqJ2AIZ/SHOOYAWAFALME.jpg)
DIAMOND NA MZEE YUSUF KUWASHA MOTO DAR LIVE KRISMAS
10 years ago
Vijimambo21 Dec
10 years ago
GPLTAMASHA LA WAFALME: DIAMOND, MZEE YUSUF WAWEKA HISTORIA DAR LIVE
10 years ago
Dewji Blog29 Dec
VIDEO Tamasha la Wafalme: Diamond, Mzee Yusuf waweka historia Dar Live
MFALME wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ usiku wa Krismasi amewadhihirishia mashabiki wake kuwa ni mfalme baada ya kufanya makamuzi ya hatari katika Ukumbi wa Dar Live, Mbagala-Zakhem, jijini Dar kwenye Tamasha la Wafalmelililodhaminiwa na VODACOM pamoja na COCACOLA.
Staa huyo aligonga ngoma zake zote na kuzikonga vilivyo nyoyo za mashabiki waliofurika katika uwanja huo wa burudani.
Mbali na Diamond, Mfalme wa Taarab nchini, Mzee Yusuf naye alifanya shoo kali na kuwapagawisha...
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/Madee-crop-1.gif)
IDD MOSI HII DAR LIVE | MADEE, NATURE, MZEE YUSUF KUWASHA MOTO
10 years ago
GPLTAMASHA LA WAFALME: MZEE YUSUF AFANYA KWELI, NYOMI YAPAGAWA DAR LIVE
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-eUG6_-zkZ1w/VR5VazHewII/AAAAAAAHPE8/vlgvgYecouM/s72-c/unnamed.jpg)
Moto wa burudani kuwaka ufukweni Coco Beach Pasaka
![](http://1.bp.blogspot.com/-eUG6_-zkZ1w/VR5VazHewII/AAAAAAAHPE8/vlgvgYecouM/s1600/unnamed.jpg)
Akiongea juu ya tamasha hili kubwa ambalo hivi sasa limeanza kuwa gumzo ya jiji,Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu alisema mipango yote kuhusiana na tamasha hilo imekamilika kinachongojewa ni kuwasha moto wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f3Cpy2Teci3SgOfg*sph7CW7GhMhp-5nZW30ADCtCN2GoBeqPzBgxeMsxlL96d70tmRPk87rvxKWKbpNtkdZhtWs95coOrCk/20151.jpg?width=650)
MOTO WA BURUDANI KUWAKA COCO BEACH MWAKA MPYA
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Diamond kuwasha moto Dar Live
Diamond Platinumz.
KWENYE bodaboda, bajaj zote za town, redioni, luningani na kwenye mitandao mingi inazungumziwa pini mpya ya Utanipenda, kitu kipya cha Diamond Platinumz maarufu mitaani kama Baba Tiffah.
Wakati hayo yakiendelea, mwishoni mwa wiki iliyopita, yeye na mpenziwe, Zarinah Hassan au Mama Tiffah, wakafanikiwa kujiongezea tuzo nyingine ya ASFA 2015 katika kipengele cha Best Couple ya Afrika Mashariki, zilizotolewa Uganda.
Ukiachana na hiyo tuzo na nyingine nyingi alizokomba na...