DIAMOND PLATNUMZ, MZEE YUSUF: TUTAFANYA MAAJABU DAR LIVE
WAKALI wa muziki nchini Diamond Platnumz na Mzee Yusuf wameahidi kufanya shoo ya nguvu katika Sikukuu ya Krismasi kwenye Ukumbi wa Kisasa wa Dar Live katika Tamasha la Wafalme.
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLDIAMOND PLATNUMZ, MZEE YUSUF WAAHIDI KUANGUSHA SHOO YA KUFA MTU DAR LIVE SIKUKUU YA X-MAS
10 years ago
Mwananchi21 Dec
Diamond na Mzee Yusuf kuumana Dar Live
10 years ago
Vijimambo21 Dec
10 years ago
GPL
DIAMOND NA MZEE YUSUF KUWASHA MOTO DAR LIVE KRISMAS
10 years ago
GPLTAMASHA LA WAFALME: DIAMOND, MZEE YUSUF WAWEKA HISTORIA DAR LIVE
10 years ago
Dewji Blog29 Dec
VIDEO Tamasha la Wafalme: Diamond, Mzee Yusuf waweka historia Dar Live
MFALME wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ usiku wa Krismasi amewadhihirishia mashabiki wake kuwa ni mfalme baada ya kufanya makamuzi ya hatari katika Ukumbi wa Dar Live, Mbagala-Zakhem, jijini Dar kwenye Tamasha la Wafalmelililodhaminiwa na VODACOM pamoja na COCACOLA.
Staa huyo aligonga ngoma zake zote na kuzikonga vilivyo nyoyo za mashabiki waliofurika katika uwanja huo wa burudani.
Mbali na Diamond, Mfalme wa Taarab nchini, Mzee Yusuf naye alifanya shoo kali na kuwapagawisha...
10 years ago
Michuzi
Diamond na Mzee Yusuf kuwasha moto Dar Live Krismas katika tamasha la wafalme chini ya Vodacom Tanzania, Moto mwingine wa burudani utakuwa Coco beach

10 years ago
GPLMZEE YUSUF KUACHIA MPYA DAR LIVE
10 years ago
GPL