Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Twanga Pepeta kutumbuiza ‘Valentine Day’

Dar es Salaam. Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ usiku wa leo itafanya onyesho maalum kusherekea siku ya wapendanao ‘Valentine Day’, kwenye ukumbi wa Mzalendo Pub, Kijitonyama, Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Twanga Pepeta yapania Valentine Day

BENDI ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ usiku wa kesho itafanya onyesho maalum ya kusherekea siku ya wapendanao ‘Valentine Day’, kwenye ukumbi wao wa nyunmbi Mango Garden, Kinondoni.
Mkurugenzi wa bendi hiyo Asha Baraka amesema kuwa pia onyesho hilo watatambulisha nyimbo zao mpya zilizoko kwenye chati. Pia mkurugenzi huyo alisema kuwa bendi hiyo itapiga nyimbo zao zote za zamani zilizovuma wakati huo.
Aliwataka mashabiki wa bendi hiyo kujitokeza kwa wingi kuhudhuria onyesho la aina yake ambalo...

 

10 years ago

GPL

AMIGOLAS WA TWANGA PEPETA AFARIKI DUNIA

Mwimbaji wa zamani wa Twanga Pepeta, Hamis Kayumbu 'Amigolas' enzi za uhai wake. Mwimbaji wa zamani wa Twanga Pepeta, Hamis Kayumbu 'Amigolas'  amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kulazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa siku kadhaa. Amigo alilazwa Muhimbili kwa matatizo ya moyo ambapo taratibu za kufanyiwa upasuaji zilikuwa zikiandaliwa lakini mauti yakamkuta kabla ya lolote kufanyika. Mwimbaji huyu ambaye hadi...

 

11 years ago

GPL

MSIBA: MCD WA TWANGA PEPETA AFARIKI DUNIA!

Sudi Mohamed, 'MCD' (pichani, juu na chini) ambaye ni mpinga tumba maarufu nchini Tanzania amefariki dunia usiku huu akiwa Moshi ambako alikwenda kwa ajili ya matiabu zaidi yapata miezi mitatu iliyopita. Kwa mujibu wa kiongozi mmoja wa Bendi ya Twanga Pepeta, Meneja Hassani, MCD alipelekewa nauli ya kurudi jijini Dar esalaam leo ili arejee kesho lakini mauti yakamfika usiku mida ya saa tano na nusu. MCD amewahi kupiga katika...

 

9 years ago

Mtanzania

Hassan Rehani awajibu walioikimbia Twanga Pepeta

dogoNA MWALI IBRAHIM

BAADA ya baadhi ya wanamuziki wa bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Ramadhani Athumani na Salehe Kupaza kueleza sababu iliyowafanya waikimbie bendi hiyo na kuhamia Double M Sound Plus ni maslai na madeni yao wanayoidai Twanga Pepeta, meneja wa bendi hiyo, Hassan Rehani, ameibuka na kukana madai hayo.

Wanamuziki hao tayari wameshatambulishwa rasmi kwenye bendi ya Double M Sound Plus iliyopo chini ya Mwinjuma Muumini ‘Kocha wa Dunia’, wamedaiwa kutumia maneno ya kudai...

 

5 years ago

Michuzi

JANGA LA CORONA LASABABISHA UKATA TWANGA PEPETA


Yassir Simba, Michuzi Tv MMILIKI na Mkurugenzi wa bendi ya muziki wa dansi nchini ya Twanga Pepeta, Asha Baraka amedai bendi yake sasa haiko sawa kiuchumi kutokana na janga la Corona. 
Mkurugenzi wa bendi hiyo ameyasema hayo katika mahojiano yake na kipindi cha clouds 360 kinachorushwa na clouds TV.
Asha Baraka amedai kwamba kutokana na janga hilo la Corona kumesababishwa kufungwa kwa baadhi ya kumbi za starehe na kupelekea bendi hiyo kukosa maonyesho ambapo amedai amesaidia  kuwalipa msharaha...

 

10 years ago

GPL

TWANGA PEPETA NA FM ACADEMIA KUFANYA SHOO MACHI 28

Mkurugenzi wa Bendi ya Twanga Pepeta Asha Baraka, akizungumza jambo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani