Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AMIGOLAS WA TWANGA PEPETA AFARIKI DUNIA

Mwimbaji wa zamani wa Twanga Pepeta, Hamis Kayumbu 'Amigolas' enzi za uhai wake. Mwimbaji wa zamani wa Twanga Pepeta, Hamis Kayumbu 'Amigolas'  amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kulazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa siku kadhaa. Amigo alilazwa Muhimbili kwa matatizo ya moyo ambapo taratibu za kufanyiwa upasuaji zilikuwa zikiandaliwa lakini mauti yakamkuta kabla ya lolote kufanyika. Mwimbaji huyu ambaye hadi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MWANAMUZIKI MKONGWE WA TWANGA PEPETA,AMIGOLAS AFARIKI DUNIA


Mwanamuziki Mkongwe kutoka bendi ya muziki wa dansi ya Twanga Pepeta,pichani kulia enzi za uhai wake akiwa kazini,ajulikanae kwa jina la Amigolas amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo,katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar.
Taarifa za awali ambazo chumba cha habari cha Globu ya Jamii imezipata kutoka kwa vyanzo vya kuaminika,zinaeleza kuwa Marehemu Amigolas alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya Moyo mpaka kufariki kwake.
Tutaendelea kupeana taarifa zaidi kuhusiana na msiba huu kwa...

 

11 years ago

GPL

MSIBA: MCD WA TWANGA PEPETA AFARIKI DUNIA!

Sudi Mohamed, 'MCD' (pichani, juu na chini) ambaye ni mpinga tumba maarufu nchini Tanzania amefariki dunia usiku huu akiwa Moshi ambako alikwenda kwa ajili ya matiabu zaidi yapata miezi mitatu iliyopita. Kwa mujibu wa kiongozi mmoja wa Bendi ya Twanga Pepeta, Meneja Hassani, MCD alipelekewa nauli ya kurudi jijini Dar esalaam leo ili arejee kesho lakini mauti yakamfika usiku mida ya saa tano na nusu. MCD amewahi kupiga katika...

 

10 years ago

Michuzi

JK ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA AMIGOLAS WA TWANGA PEPETA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Profesa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara kuomboleza kifo cha Mwanamuziki Muasisi wa Bendi Maarufu ya Twanga Pepeta, na baadaye Kiongozi wa Bendi ya Ruvu Star, Khamisi Kayumbu maarufu kama Amigolas (pichani).

“Nimehuzunishwa na kusikitishwa na taarifa za kifo cha MwanamuzikiKhamisi Kayumbu kilichotokea tarehe 9 Novemba, 2014 katika Hospitali...

 

10 years ago

Michuzi

MWANAMUZIKI MKONGWE WA TWANGA PEPETA,AMIGOLAS AZIKWA MAKUBURI YA KISUTU JIJINI DAR LEO



Waombolezaji wakiuswalia mwili wa marehemu Hamis Zayumba, maarufu kama AMIGOLAS, kabla ya mazishi yake yaliyofanyika leo Jumatatu kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Amigolas ambaye alikuwa mtunzi na mwimbaji mashuhuri wa bvendi ya muziki wa dansi ya Twanga Pepeta, alifariki Jumapili jijini.Mwimbaji na mtuzni, Ali Choki, akiwa na uso wa huzuni wakati wa mazishi ya AMIGOLAS, ambaye kipindi gulani walikuwa bendi moja ya Twanga PepetaWaombolezaji wakiwemo wasanii maarufu,...

 

11 years ago

Mwananchi

Twanga Pepeta kutumbuiza ‘Valentine Day’

Dar es Salaam. Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ usiku wa leo itafanya onyesho maalum kusherekea siku ya wapendanao ‘Valentine Day’, kwenye ukumbi wa Mzalendo Pub, Kijitonyama, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

Twanga Pepeta yapania Valentine Day

BENDI ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ usiku wa kesho itafanya onyesho maalum ya kusherekea siku ya wapendanao ‘Valentine Day’, kwenye ukumbi wao wa nyunmbi Mango Garden, Kinondoni.
Mkurugenzi wa bendi hiyo Asha Baraka amesema kuwa pia onyesho hilo watatambulisha nyimbo zao mpya zilizoko kwenye chati. Pia mkurugenzi huyo alisema kuwa bendi hiyo itapiga nyimbo zao zote za zamani zilizovuma wakati huo.
Aliwataka mashabiki wa bendi hiyo kujitokeza kwa wingi kuhudhuria onyesho la aina yake ambalo...

 

11 years ago

Michuzi

Twanga Pepeta kuzindua ukumbi wake Ijumaa

Bendi ya muziki wa dansi ya The African Stars ‘wana twanga pepeta’ ijumaa itazindua ukumbi wa kisasa wa burudani na mikutano wa Machinga Lounge uliopo maeneo ya uwanja wa mpira wa wa miguu wa Karume jijini.
Ukumbi huo unamilikiwa na kampuni ya African Stars Entertainment Tanzania (ASET), umetengenezwa  kisasa zaidi kwa lengo la kuwapa burudani mashabiki wa Manispaa ya Ilala, Temeke na Kinondoni kwa mujibu wa mkurugenzi wa Twanga Pepeta, Asha Baraka.
Asha alisema kuwa kwa muda mrefu sasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani