Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA AMIGOLAS WA TWANGA PEPETA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Profesa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara kuomboleza kifo cha Mwanamuziki Muasisi wa Bendi Maarufu ya Twanga Pepeta, na baadaye Kiongozi wa Bendi ya Ruvu Star, Khamisi Kayumbu maarufu kama Amigolas (pichani).

“Nimehuzunishwa na kusikitishwa na taarifa za kifo cha MwanamuzikiKhamisi Kayumbu kilichotokea tarehe 9 Novemba, 2014 katika Hospitali...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MWANDISHI WA TBC -DYAULI

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz               Fax: 255-22-2113425

PRESIDENT’S OFFICE,      STATE HOUSE,               1BARACK OBAMA ROAD,   11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Bw. Clement Mshana,...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA CHIFU KINGALU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amepokea kwa mshtuko na majonzi taarifa ya kifo cha Chifu wa Waluguru, Chifu Kingalu Mwanabanzi ambacho kimetokea asubuhi ya leo, Jumatano, Julai Mosi, 2015 Kitengo cha Moyo cha Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam.
Katika salamu zake kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mheshimiwa Dkt. Rajabu Lutengwe, Rais Kikwete amesema kuwa amepokea taarifa cha kifo cha Chifu Kingalu kwa mshtuko na majonzi.
  ”Nimeshtushwa na taarifa za kifo cha Chifu Kingalu ambaye...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA BW. JOHN NYERERE


Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salama za rambirambi kwa mama Maria Nyerere na familia yake kwa kuondokewa na mmoja wa wana familia yake, Bw. John Nyerere aliyefariki Jumamosi Mei 9,2015 katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Pamoja na salamu hizi, Rais Kikwete ambaye yuko nchini Alrgeria kwa ziara ya kikazi, amefanya mawasiliano binafsi na Mama Maria na kumpa pole kwa kuondokewa na kijana wake.
“Hakuna mzazi anayependa kuondokewa na mwanae, ni kitu kigumu sana  kwa mzazi...

 

9 years ago

Michuzi

Rais Magufuli atuma salamu za Rambirambi kufuatia kifo cha Askofu Nkalanga

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAKURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU
Simu: 255-22-2114512, 2116898E-mail: press@ikulu.go.tzTovuti : www.ikulu.go.tz              Faksi: 255-22-2113425
OFISI YA RAIS,      IKULU, 1 BARABARA YA BARACK OBAMA,  11400 DAR ES SALAAM.Tanzania. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa kufuatia kifo cha Askofu Mstaafu Plasdus Gervas Nkalanga...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MBUNGE WA UKONGA





THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz               Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE,      STATE HOUSE,               1 BARACK OBAMA ROAD,   11400 DAR ES SALAAM.Tanzania. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea kwa mshutuko na masikitiko taarifa za kifo cha mbunge wa Jimbo la Ukonga, Dar es...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA JAJI LEWIS MAKAME

Marehemu Jaji Mstaafu, Lewis Makame enzi za uhai wake. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, National Electoral Commission (NEC) kufuatia taarifa za kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume hiyo, Jaji Mstaafu, Mheshimiwa Lewis Makame kilichotokea katika Hospitali ya AMI Trauma Centre Jijini Dar es Salaam tarehe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani