Twanga Pepeta kuzindua ukumbi wake Ijumaa
![](http://2.bp.blogspot.com/-b05b-vcN6I0/U2pAsZFHmwI/AAAAAAAFgIs/Y47f2fyg8DY/s72-c/002.jpg)
Bendi ya muziki wa dansi ya The African Stars ‘wana twanga pepeta’ ijumaa itazindua ukumbi wa kisasa wa burudani na mikutano wa Machinga Lounge uliopo maeneo ya uwanja wa mpira wa wa miguu wa Karume jijini.
Ukumbi huo unamilikiwa na kampuni ya African Stars Entertainment Tanzania (ASET), umetengenezwa kisasa zaidi kwa lengo la kuwapa burudani mashabiki wa Manispaa ya Ilala, Temeke na Kinondoni kwa mujibu wa mkurugenzi wa Twanga Pepeta, Asha Baraka.
Asha alisema kuwa kwa muda mrefu sasa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 May
Twanga kuzindua ukumbi wake Machinga Complex
KAMPUNI ya The African Stars Entertainment (ASET), inayomiliki bendi ya Twanga Pepeta, kesho inatarajiwa kuzindua ukumbi wake mpya wa kisasa utakaojulikana kwa jina la ‘Business Lounge’ ndani ya jengo la...
10 years ago
Mwananchi20 Sep
Twanga Pepeta: Miaka 20 ya uhai wake ikikuza vipaji, kuibua vipya
10 years ago
GPL11 years ago
Mwananchi14 Feb
Twanga Pepeta kutumbuiza ‘Valentine Day’
10 years ago
MichuziTwanga Pepeta yapania Valentine Day
Mkurugenzi wa bendi hiyo Asha Baraka amesema kuwa pia onyesho hilo watatambulisha nyimbo zao mpya zilizoko kwenye chati. Pia mkurugenzi huyo alisema kuwa bendi hiyo itapiga nyimbo zao zote za zamani zilizovuma wakati huo.
Aliwataka mashabiki wa bendi hiyo kujitokeza kwa wingi kuhudhuria onyesho la aina yake ambalo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
AMIGOLAS WA TWANGA PEPETA AFARIKI DUNIA
11 years ago
GPL9 years ago
Global Publishers29 Dec
Twanga Pepeta kufungua mwaka Dar Live
Na Mwandishi Wetu
BENDI kongwe ya muziki wa Dansi nchini, The African Stars International ‘Twanga Pepeta’ Januari 1 ambayo pia ni Sikukuu ya Mwaka Mpya, wanatarajiwa kufungua mwaka kwa kishindo ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.
Akizungumza na gazeti hili, Meneja wa Dar Live, Juma Mbizo alisema kuwa siku zote ukumbi huo hauishi kwa burudani na safari hii katika Sikukuu ya Mwaka Mpya wamewaandalia bendi isiyoshikika Bongo ya Twanga Pepeta ambayo...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-9py7Yh2XwUM/Uvu3mUAYRYI/AAAAAAAFMqM/DAsgfO7gl-I/s72-c/4.jpg)
T.B.L YALIBORESHA BONANZA LA TWANGA PEPETA LEADERS CLUB.
![](http://1.bp.blogspot.com/-9py7Yh2XwUM/Uvu3mUAYRYI/AAAAAAAFMqM/DAsgfO7gl-I/s1600/4.jpg)
KAMPUNI ya Bia (T.B.L) kupitia Brand ya KILIMANJARO imeamua kuliboresha Bonanza la Twanga Pepeta la kila Jumapili linalofanyika katika viwanja vya Leaders Club.
Maboresho hayo ni kutoa Bia moja ya Kilimanjaro kwa kila atakayelipa kiingilio. Licha ya kupewa Bia moja ya Kilimanjaro, kiingilio cha mlangoni kimepunguzwa sana mpaka kufikia Tshs 2,500. Kwa kawaida kiingilio cha Leaders huwa ni Tshs 5,000/= lakini TBL imeamua kukipunguza mpaka Tsh 2,500 kwa kuwa italipia mapungufu. TBL...