Twanga Pepeta: Miaka 20 ya uhai wake ikikuza vipaji, kuibua vipya
Kuzaliwa na kufa siyo tukio linalojitokeza katika maisha ya binadamu pekee bali hata kwa makundi mbalimbali ya kijamii hata burudani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-b05b-vcN6I0/U2pAsZFHmwI/AAAAAAAFgIs/Y47f2fyg8DY/s72-c/002.jpg)
Twanga Pepeta kuzindua ukumbi wake Ijumaa
![](http://2.bp.blogspot.com/-b05b-vcN6I0/U2pAsZFHmwI/AAAAAAAFgIs/Y47f2fyg8DY/s1600/002.jpg)
Ukumbi huo unamilikiwa na kampuni ya African Stars Entertainment Tanzania (ASET), umetengenezwa kisasa zaidi kwa lengo la kuwapa burudani mashabiki wa Manispaa ya Ilala, Temeke na Kinondoni kwa mujibu wa mkurugenzi wa Twanga Pepeta, Asha Baraka.
Asha alisema kuwa kwa muda mrefu sasa...
10 years ago
Vijimambo30 Dec
ONYESHO LA MIAKA 16 YA LUIZER MBUTU NDANI YA TWANGA PEPETA SASA NI JANUARI 31
![](http://www.saluti5.com/media/k2/items/cache/410c9434c4dba55fe75434212a73bf09_L.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I0PaAyo4W*ZpF4kec7xVd2L7H1hp1-exOCtZojfXG*XZvwka5H0wHwTNZndhCm2jl6ehgKVj6J9QSGei2vWR-X1GCyT3Qudy/TWANGAPEPETA5.jpg?width=650)
ONYESHO LA KUMPONGEZA LUIZA MBUTU KUTIMIZA MIAKA 16 NDANI YA TWANGA PEPETA LAFANA MANGO GARDEN JIJINI DAR
Rapa wa bendi hiyo, Frank Kabatano akifanya vitu vyake stejini. Waziri akimmwagia sifa Luiza Mbutu. Baadhi ya wageni waalikwa wakiserebuka.…
11 years ago
Tanzania Daima13 Jul
Barrick watakiwa kuibua vipaji
KAMPUNI ya African Barrick Gold Mine Ltd inayomiliki mgodi wa dhahabu wa Buzwagi wa mjini hapa, imetakiwa kuanzisha mashindano ya michezo kuibua vipaji kwa vijana. Wito huo ulitolewa juzi na...
10 years ago
GPL10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
AMIGOLAS WA TWANGA PEPETA AFARIKI DUNIA
Mwimbaji wa zamani wa Twanga Pepeta, Hamis Kayumbu 'Amigolas' enzi za uhai wake. Mwimbaji wa zamani wa Twanga Pepeta, Hamis Kayumbu 'Amigolas'Â amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kulazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa siku kadhaa. Amigo alilazwa Muhimbili kwa matatizo ya moyo ambapo taratibu za kufanyiwa upasuaji zilikuwa zikiandaliwa lakini mauti yakamkuta kabla ya lolote kufanyika. Mwimbaji huyu ambaye hadi...
11 years ago
Mwananchi14 Feb
Twanga Pepeta kutumbuiza ‘Valentine Day’
Dar es Salaam. Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ usiku wa leo itafanya onyesho maalum kusherekea siku ya wapendanao ‘Valentine Day’, kwenye ukumbi wa Mzalendo Pub, Kijitonyama, Dar es Salaam.
10 years ago
MichuziTwanga Pepeta yapania Valentine Day
Mkurugenzi wa bendi hiyo Asha Baraka amesema kuwa pia onyesho hilo watatambulisha nyimbo zao mpya zilizoko kwenye chati. Pia mkurugenzi huyo alisema kuwa bendi hiyo itapiga nyimbo zao zote za zamani zilizovuma wakati huo.
Aliwataka mashabiki wa bendi hiyo kujitokeza kwa wingi kuhudhuria onyesho la aina yake ambalo...
11 years ago
Mwananchi17 Jun
Umisseta itumike kuibua vipaji, kujenga umoja
Michezo ya Umoja wa Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA) inaendelea kwenye viwanja vya Shirika la Elimu Kibaha mkoani Pwani na inatarajiwa kumalizika wiki ijayo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania