Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Barrick watakiwa kuibua vipaji

KAMPUNI ya African Barrick Gold Mine Ltd inayomiliki mgodi wa dhahabu wa Buzwagi wa mjini hapa, imetakiwa kuanzisha mashindano ya michezo kuibua vipaji kwa vijana. Wito huo ulitolewa juzi na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Umisseta itumike kuibua vipaji, kujenga umoja

Michezo ya Umoja wa Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA) inaendelea kwenye viwanja vya Shirika la Elimu Kibaha mkoani Pwani na inatarajiwa kumalizika wiki ijayo.

 

10 years ago

Mwananchi

UWEKEZAJI SOKA: Real Madrid, NSSF kuibua vipaji

>Real Madrid na Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wamesaini mkataba wa miaka 18 wa kujenga kituo cha michezo kwa gharama ya Sh16 bilioni kwa lengo la kuibua na kuendeleza vipaji vya soka kwa vijana Tanzania.

 

10 years ago

Michuzi

Vodacom, EATV wafagiliwa kuibua vipaji Dance 100%

Hassan Tofi mmoja wa washiriki wa Shindano la Dance 100% wa Kundi la Best Boys la Kigamboni jijini Dar es Salaam,akiwaongoza wenzake katika mazoezi yao yanayofanyika katika Viwanja vya Don Bosco Upanga ikiwa ni sehemu ya kujindaa na fainali ya shindano hilo litakalofanyika hivi karibuni. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
WADAU wa muziki nchini wamewapongeza waratibu wa shindano la Dance 100% ambalo limefikia hatua ya fainali, baada ya makundi matano...

 

11 years ago

Tanzania Daima

JAFFARY NDAME: Mbabe wa ndondi aliyeamua kuibua vipaji

NDONDI ni mchezo unaopendwa na wengi, lakini kutokana na jinsi unavyochezwa, watu wengi wanaukimbia. Hii kwa sababu wanahofia kupigwa na kuumizwa. Mbali ya kukimbiwa, ndondi imekuwa silaha ya kujihami kupambana...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL TRACE MUSIC STAR KUIBUA VIPAJI VYA KUIMBA

Ommy Dimpoz akiwa katika pozi na bendi ya Yamoto. Yamoto wakitumbuiza. Raia wa…

 

10 years ago

GPL

VODACOM NA EATV WAFAGILIWA KUIBUA VIPAJI DANCE 100%‏

Washiriki wa shindano la dance 100% wa kundi la ”The Winners Crew” la jijini Dar es Salaam, wakionesha umahiri wao wa kudansi wakati wa mchuano wa nusu fainali ya shindano hilo linaloadaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lililofanyika  kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay. WADAU wa muziki nchini wamewapongeza waratibu wa shindano la Dance 100% ambalo limefikia hatua ya fainali, baada ya makundi...

 

10 years ago

Mwananchi

Twanga Pepeta: Miaka 20 ya uhai wake ikikuza vipaji, kuibua vipya

Kuzaliwa na kufa siyo tukio linalojitokeza katika maisha ya binadamu pekee bali hata kwa makundi mbalimbali ya kijamii hata burudani.

 

10 years ago

Michuzi

JKT YAZIDI KUIBUA MIRADI

  Kaimu Mkurugenzi wa habari na Mahusiano Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Kaptaini Javan Bwai akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika uzinduzi wa baadhi ya miradi ya Jeshi hilo. Kushoto ni  Afisa  Mteule daraja la kwanza, Injinia Fredrick Kaaya, Msemaji wa  wizara ya ulinzi na usalama Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Meja Josephat Musira na wa mwisho ni Afisa wa Idara ya habari MAELEZO, Fatma Salum.
Mhandisi  wa miradi Jeshi la kujenga Taifa (JKT) ,Coplo Lazaro...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani