JKT YAZIDI KUIBUA MIRADI
![](http://3.bp.blogspot.com/-rynFa_QOxz4/VTZxXPAro8I/AAAAAAAArqE/HnncoehLNIY/s72-c/1.jpg)
Kaimu Mkurugenzi wa habari na Mahusiano Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Kaptaini Javan Bwai akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika uzinduzi wa baadhi ya miradi ya Jeshi hilo. Kushoto ni Afisa Mteule daraja la kwanza, Injinia Fredrick Kaaya, Msemaji wa wizara ya ulinzi na usalama Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Meja Josephat Musira na wa mwisho ni Afisa wa Idara ya habari MAELEZO, Fatma Salum.
Mhandisi wa miradi Jeshi la kujenga Taifa (JKT) ,Coplo Lazaro...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-KByxhx8IscY/XkeiUH_FtHI/AAAAAAALdfc/PEGJiGuQyeU_NxJC6mRpg1Uc1pjEXBteACLcBGAsYHQ/s72-c/4a9a4a11-2bae-4470-9706-8348412a1d15.jpg)
CRDB YADHAMIRIA KUINUA HALI ZA KIUCHUMI KWA WANANCHI WA MIJINI NA VIJIJINI KWA KUIBUA MIRADI MBALI MBALI
Akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Vuga Mjini Zanzibar Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo ya CRDB Bwana Abdulmajid Mussa Nsekela amesema Benki hiyo iliyopata Tuzo ya Mfuko wa Kimataifa wa Mazingira itadhihirisha Utekelezaji...
9 years ago
VijimamboNHC YAZIDI KUPANUA MIRADI, PINDA AZINDUA JENGO LINGINE LA MAKAZI NHC PALACE ENEO LA VICTORIA JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
Tanzania Daima13 Jul
Barrick watakiwa kuibua vipaji
KAMPUNI ya African Barrick Gold Mine Ltd inayomiliki mgodi wa dhahabu wa Buzwagi wa mjini hapa, imetakiwa kuanzisha mashindano ya michezo kuibua vipaji kwa vijana. Wito huo ulitolewa juzi na...
11 years ago
Habarileo11 Apr
‘Serikali tatu kuibua ubaguzi’
KAMATI za Bunge Maalumu la Katiba zimeanza kuwasilisha bungeni maoni yake, kuhusu mijadala ya sura ya kwanza na ya sita ya rasimu ya Katiba mpya, huku wengi wakikataa muundo wa serikali tatu, kwa kusema utaibua hisia za ubaguzi kwa wananchi wa taifa moja.
10 years ago
Tanzania Daima25 Nov
Maonyesho ya elimu kuibua changamoto chanya
KATIKA kutatua baadhi ya changamoto zinazohusu masuala ya elimu kwa vijana nchini, imebainika hali hiyo wakati mwingine inachangiwa na sekta husika kutokuwa na mawasiliano ya karibu. Hata hivyo, baadhi ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/skuCKHlxf8Wz9Bzo3m1ZUzSTb5XEBD1QrWJpqEa6u76rIfdQ30sns3fcBHr4nZI4UwmDKoiBxkbrTggvqJx6nETLWayfEeKf/Wolper.jpg)
WOLPER, NAY KUIBUA UHUSIANO WA KIMAPENZI
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-3p3KMvhdZmY/VMCs0bPld0I/AAAAAAAG-1k/mxPAP9T0878/s72-c/3.jpg)
Wananchi wa maeneo ya miradi ya maji watakiwa kutozembea kujadili maendeleo ya miradi
![](http://1.bp.blogspot.com/-3p3KMvhdZmY/VMCs0bPld0I/AAAAAAAG-1k/mxPAP9T0878/s1600/3.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-jzdmupVD07I/VMCswcuD1RI/AAAAAAAG-0w/iflIDowcVMc/s1600/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-DiQhVYP9zj0/VMCs2uskuQI/AAAAAAAG-2U/EiFI6RtU3Is/s1600/7.jpg)
11 years ago
Mwananchi12 May
CAG aendelea kuibua madudu, sasa HESLB
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10