Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maonyesho ya elimu kuibua changamoto chanya

KATIKA kutatua baadhi ya changamoto zinazohusu masuala ya elimu kwa vijana nchini, imebainika hali hiyo wakati mwingine inachangiwa na sekta husika kutokuwa na mawasiliano ya karibu. Hata hivyo, baadhi ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Elimu atembelea Banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania kwenye maonyesho ya Elimu mjini Dodoma

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi wa Uhamasishaji rasilimali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania, Sylvia Lupembe, alipotembelea Banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania Jumatano Tarehe 13 Mei 2015.

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

MAONYESHO YA KIMATAIFA YA ELIMU YANAANZA.

Mkurugenzi Mtendaji wa Uwakala wa Vyuo kutoka Nje Global Education Link Bw. Abdulmalik Mollel (Wa pili kutoka kulia) akiwaonyesha ramani ya maonyesho ya Kimataifa ya Elimu kwa wadau wa Elimu waliojitokeza kushiriki maonyesho yanayoanza Leo Desemba 17-21, 2014 katika viwanja Mwalimu Julius Kambarage Nyerere vilivyoko Sabasaba jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji wa Uwakala wa Vyuo kutoka Nje Global Education Link Bw. Abdulmalik Mollel akielezea maonyesho ya Kimataifa ya Elimu yanayoanza...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua maonyesho ya elimu Dodoma

PG4A2164

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Sista  Flosy Sequeire, Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Saint Francis ya Mbeya tuzo maalum ya kutambua  ufalu mzuri wa wanafunzi wa shule  hiyo  wakati alipofungua  maadhimisho ya wiki ya Elimu kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Mei 11, 2015. Wemgne kutoka kushoto ni  Waziri wa Elimu na Mafunzi ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa, Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Seriklai za Mitaa, Kassim Majaliwa, Mkuu wa mkoa wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mamia kushiriki maonyesho ya elimu Dar

ZAIDI ya washiriki 500 na watembeleaji 350,000 kutoka ndani na nje ya nchi wanatarajia kushiriki katika maonesho ya kwanza ya kimataifa ya elimu nchini (TIEE). Akizungumza jijini Dar es Salaam...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wadau kujadili changamoto za elimu

WADAU wa elimu nchini wameandaa kongamano litakalojadili changamoto katika sekta ya elimu na jinsi gani ya kukabiliana nazo. Kongamano hilo litakalofanyika leo Ubungo Plaza, Dar es Salaam, litajumuisha walimu wa...

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AFUNGUA MAONYESHO YA ELIMU MKOANI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Sista  Flosy Sequeire, Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Saint Francis ya Mbeya tuzo maalum ya kutambua  ufalu mzuri wa wanafunzi wa shule  hiyo  wakati alipofungua  maadhimisho ya wiki ya Elimu kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Mei 11, 2015. Wemgne kutoka kushoto ni  Waziri wa Elimu na Mafunzi ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa, Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Seriklai za Mitaa, Kassim Majaliwa, Mkuu wa ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani