MH. PINDA AFUNGUA MAONYESHO YA ELIMU MKOANI DODOMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-QxMfN9nASuM/VVDTU67CwqI/AAAAAAAHWug/itJybr_OZfQ/s72-c/PG4A2164.jpg)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Sista Flosy Sequeire, Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Saint Francis ya Mbeya tuzo maalum ya kutambua ufalu mzuri wa wanafunzi wa shule hiyo wakati alipofungua maadhimisho ya wiki ya Elimu kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Mei 11, 2015. Wemgne kutoka kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzi ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa, Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Seriklai za Mitaa, Kassim Majaliwa, Mkuu wa ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog12 May
Pinda afungua maonyesho ya elimu Dodoma
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-3JyIxXnpTj8/UwjJfZqTUHI/AAAAAAAFOtA/Pw2h2uJD4ME/s72-c/unnamed+(3).jpg)
WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AFUNGUA SEMINA YA JUMUIYA WAZAZI NGAZI YA TAIFA,MKOANI DODOMA LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-3JyIxXnpTj8/UwjJfZqTUHI/AAAAAAAFOtA/Pw2h2uJD4ME/s1600/unnamed+(3).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-00Yq2ceBxJQ/UwjJgcK41uI/AAAAAAAFOtQ/HyZ92DHFCxg/s1600/unnamed+(4).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Hq2Or6ttIbc/VVRc_qDquWI/AAAAAAAHXNA/3pqmVOfTgvc/s72-c/unnamed%2B(64).jpg)
Waziri wa Elimu atembelea Banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania kwenye maonyesho ya Elimu mjini Dodoma
![](http://4.bp.blogspot.com/-Hq2Or6ttIbc/VVRc_qDquWI/AAAAAAAHXNA/3pqmVOfTgvc/s640/unnamed%2B(64).jpg)
11 years ago
Dewji Blog03 Aug
Pinda afungua maonyesho ya Nanenane Mbeya
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kitazama mkungu wa Ndizi uliletwa katika maonyesho ya nanenane Mbeya na Bosco Luambano (kulia) wa Kijiji cha Hanga wilayani Namtumbo katika maonyesho yaliyofanyika kwenye viwanja vya John Mwakangale Augost 2, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama Mhogo kutoka kijiji cha Itunya wilayani Mpanda katika maonyesho ya nanenane aliyoyafungua jana kwenye viwanja vya John Mwakangale Mbeya.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akibeba Boga...
11 years ago
Dewji Blog20 Apr
Pinda afungua maonyesho ya taasisi za Muungano
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi ya kinyago cha umoja kutoka kwa Naibu Waziri , Ofisi ya Makau wa Rais, Umy Mwalimu baada ya kufunga monyesho ya Taasisi za Muungano kwenye viwanja vya Mnazi Moja jijini dar es salaam Aprili 19, 2014. Kulia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha, Mwiguli Nchemba na kulia kwake Ni Kati Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Florens Turuka. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)
10 years ago
Dewji Blog05 Aug
Pinda afungua maonyesho ya nanenane kitaifa Lindi
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua maonyesho ya Nanenane kitaifa kwenye uwanja wa Ngongo Lindi Agosti 4, 2015. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa lindi, Mwantumu Mahiza na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-YyUfRhmKTQU/U-JfFci3QmI/AAAAAAAF9p8/35Cv3NfO5qw/s72-c/unnamed+(58).jpg)
MH. PINDA AFUNGUA MASHINDANO YA MIFUGO DODOMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-YyUfRhmKTQU/U-JfFci3QmI/AAAAAAAF9p8/35Cv3NfO5qw/s1600/unnamed+(58).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-0BR4SVd8ZsQ/U-JfD4DAbeI/AAAAAAAF9ps/pcQ-bRBBe_c/s1600/unnamed+(59).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-AfpJR_qe5c0/U-JfD_XSKNI/AAAAAAAF9pw/TooGQB31WCA/s1600/unnamed+(60).jpg)
10 years ago
Dewji Blog08 Nov
Pinda afungua baraza kuu la vijana Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza wakati alipofungua semina ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Taifa kwenye ukumbi wa CCM White House mjini Dodoma Novemba 7, 2014. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).