WOLPER, NAY KUIBUA UHUSIANO WA KIMAPENZI
![](http://api.ning.com:80/files/skuCKHlxf8Wz9Bzo3m1ZUzSTb5XEBD1QrWJpqEa6u76rIfdQ30sns3fcBHr4nZI4UwmDKoiBxkbrTggvqJx6nETLWayfEeKf/Wolper.jpg)
Na Musa Mateja BAADA ya kudaiwa kuwa wapenzi na kisha habari hizo kufifia, hatimaye penzi la mwigizaji wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper na Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, limeibuka upya ambapo safari hii Nay ameamua kufunguka hadharani. Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper. Kwa mujibu wa chanzo makini, wawili hao walianzisha uhusiano wao mwishoni mwa mwaka jana na sasa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL08 Aug
9 years ago
Bongo Movies17 Aug
Shamsa Ford Na Nay wa Mitego Wakiri Uhusiano Wao wa Kimapenzi
Msanii wa filamu nchini, Shamsa Ford amekiri kuwahi kutoka kimapenzi na Nay wa Mitego na baadaye wakaachana.
Shamsha na Nay wa Mitego walikuwa wakizungumza kwa pamoja ndani ya Global TV hivi karibuni. “Ukweli ni kwamba finally nilikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Emanuel (Nay) lakini tumeachana,” alisema Shamsa.
Kwa upande wake Nay alisema uhusiano ulikuja baada ya kuwa marafiki.
“Tulikuwa washkaji, mahusiano yetu yalianza hivyo,” alisema rapper huyo.
“Tulienda Masaki baada ya kukaa...
9 years ago
GPL24 Aug
9 years ago
Mtanzania20 Nov
MO MUSIC: Sina uhusiano wa kimapenzi na mtangazaji
NA MAULI MUYENJWA
MSANII wa Muziki wa Bongo Fleva, Moshi Katemi, maarufu kwa jina la Mo Music, amekana tetesi kwamba anatoka na mtangazaji mmoja wa redio maarufu nchini.
“Sijawahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwandishi wa habari, ingawa ninafahamiana na wengi ila kikubwa huwa tunaongea kuhusu kazi, naamini muziki wangu ndiyo unaonifanya niwe maarufu, lakini siyo skendo kama hizo,” alisema Mo.
Aliongeza kwamba kutokana na kuuamini muziki wake hawezi kukubali kuchafuka kwa kashfa kwa kuwa...
10 years ago
GPLKADJA NITO AFUNGUKIA UHUSIANO WAKE KIMAPENZI
10 years ago
Bongo522 Sep
Johari adai hajawai kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Ray
10 years ago
Bongo Movies22 Sep
ETI! Johari adai hajawai kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Ray
Msanii mkongwe wa filamu nchini, Blandina Chagula maarufu kama Johari, ambaye ni ‘business partner’ wa msanii mwenzake, Vicent Kigosi aka Ray, amefunguka na kuzungumzia mahusiano yake na Ray pamoja na mipango yake ya kuolewa.
Akizungumza na Bongo5 leo, Johari amesema anashangazwa kuwaona watu wakivumisha kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Ray.
“Mimi na Ray cha kwanza ni mtu na swahiba wake, cha pili ni kama kaka yangu kwasababu tumekaa kwa muda mrefu sana. Tumefanya kazi kama partner...
10 years ago
Bongo Movies05 Dec
MAPENZINI:Quick Rocka amekanusha kuwa na Uhusiano wa kimapenzi na Kajala
Quick Rocka amekanusha kuwa na Uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa filamu, Kajala Akizungumza na 255 ya XXL, Clouds FM, Quick amesema ana girlfriend hivyo uvumi huo unaweza ukamharibia uhusiano wake.“Nasema hapana Kajala mimi sister yangu, tunafanya naye kazi na nimeunganishwa na Lamata. Lamata ni director ninayemmfahamu zamani kidogo kipindi kile tunafanya ‘Mbwa Mwitu’ tulikuwa wote, Lamatah, Hemedy! Unajua mnavyofanya movie ni tofauti na kufanya video, kwa mfano wakati tunafanya ile...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/BY6VWIVrp23fp0mC8Di3mPRWlOnlnv6UJ9Wd6DecEXHczXUmYKWGplyv3SEPnJ8syYs3lnVl*Zboa*mJA6fGNK8ugXbzJ9am/wolperfull.jpg?width=650)
WOLPER ATIBUA UCHUMBA WA NAY