Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ETI! Johari adai hajawai kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Ray

Msanii mkongwe wa filamu nchini, Blandina Chagula maarufu kama Johari, ambaye ni ‘business partner’ wa msanii mwenzake, Vicent Kigosi aka Ray, amefunguka na kuzungumzia mahusiano yake na Ray pamoja na mipango yake ya kuolewa.

johari2

Akizungumza na Bongo5 leo, Johari amesema anashangazwa kuwaona watu wakivumisha kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Ray.

“Mimi na Ray cha kwanza ni mtu na swahiba wake, cha pili ni kama kaka yangu kwasababu tumekaa kwa muda mrefu sana. Tumefanya kazi kama partner...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Johari adai hajawai kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Ray

Msanii mkongwe wa filamu nchini, Blandina Chagula maarufu kama Johari, ambaye ni ‘business partner’ wa msanii mwenzake, Vicent Kigosi aka Ray, amefunguka na kuzungumzia mahusiano yake na Ray pamoja na mipango yake ya kuolewa. Akizungumza na Bongo5 leo, Johari amesema anashangazwa kuwaona watu wakivumisha kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Ray. “Mimi na Ray cha […]

 

10 years ago

Bongo Movies

MAPENZINI:Quick Rocka amekanusha kuwa na Uhusiano wa kimapenzi na Kajala

Quick Rocka amekanusha kuwa na Uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa filamu, Kajala Akizungumza na 255 ya XXL, Clouds FM, Quick amesema ana girlfriend hivyo uvumi huo unaweza ukamharibia uhusiano wake.“Nasema hapana Kajala mimi sister yangu, tunafanya naye kazi na nimeunganishwa na Lamata. Lamata ni director ninayemmfahamu zamani kidogo kipindi kile tunafanya ‘Mbwa Mwitu’ tulikuwa wote, Lamatah, Hemedy! Unajua mnavyofanya movie ni tofauti na kufanya video, kwa mfano wakati tunafanya ile...

 

10 years ago

Bongo Movies

Chuchu Hans:Ninachojua mimi Johari hakuwahi kuwa mpezi wa Ray!!!

Mrembo na muigizaji wa filamu Chuchu Hans ameyameha hayo kwenye alipokuwa akiohijwa kwenye kipidi cha Take One kinachorushwa na kitucho cha televisheni cha Clouds TV.

“Ninachojua JOHARI hakuwahi kuwa na mahusiano yoyote ya kimapenzi na RAY ila ni Partners in Business tofauti na watu wanavyofahamu"

Chuchu Hans  alisisitiza kuwa bado yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na muigizaji na muongozaji wa filamu, Vicent Kigosi ‘Ray’mbali na tetesi za zilizoenea kuwa wameteman.

Ray anadaiwa  kuwa...

 

10 years ago

Bongo5

Ben Pol adai uhusiano wa miezi 9 na Latifa ni mrefu zaidi aliowahi kuwa nao tangu awe staa

Uhusiano na mshindi wa pili wa Miss Tanzania 2013, Latifa Mohamed wenye miezi tisa sasa, ndio uhusiano mrefu zaidi aliowahi kuwa nao Ben Pol tangu awe staa. Ben Pol ameiambia Bongo5 kuwa mahusiano yake yaliyopita yalishindwa kudumu kwakuwa wasichana wengi walikuwa na matarajio makubwa kutoka kwake kwakuwa yeye ni msanii. “Sasa hivi tuna miezi tisa, […]

 

10 years ago

GPL

ETI MAYA, JOHARI WANA GUNDU

Imelda Mtema
Msanii wa kitambo katika tasnia ya filamu Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’, amefunguka kuwa anahisi yeye na mwigizaji mwenzake ambaye ni mkongwe, Blandina Chagula ‘Johari’ wana gundu kwani wasanii wenzao wengi wana watoto na wengine ni wajawazito lakini wao wapowapo tu. Mwigizaji mkongwe Blandina Chagula ‘Johari’. Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, Maya alisema kuwa kuna...

 

9 years ago

Mtanzania

MO MUSIC: Sina uhusiano wa kimapenzi na mtangazaji

651520c44b9d0ee6a50bc9e2a6bfdd9eNA MAULI MUYENJWA

MSANII wa Muziki wa Bongo Fleva, Moshi Katemi, maarufu kwa jina la Mo Music, amekana tetesi kwamba anatoka na mtangazaji mmoja wa redio maarufu nchini.

“Sijawahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwandishi wa habari, ingawa ninafahamiana na wengi ila kikubwa huwa tunaongea kuhusu kazi, naamini muziki wangu ndiyo unaonifanya niwe maarufu, lakini siyo skendo kama hizo,” alisema Mo.

Aliongeza kwamba kutokana na kuuamini muziki wake hawezi kukubali kuchafuka kwa kashfa kwa kuwa...

 

10 years ago

GPL

WOLPER, NAY KUIBUA UHUSIANO WA KIMAPENZI

Na Musa Mateja
BAADA ya kudaiwa kuwa wapenzi na kisha habari hizo kufifia, hatimaye penzi la mwigizaji wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper na Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, limeibuka upya ambapo safari hii Nay ameamua kufunguka hadharani. Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper. Kwa mujibu wa chanzo makini,  wawili hao walianzisha uhusiano wao mwishoni mwa mwaka jana na sasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani