ETI MAYA, JOHARI WANA GUNDU
![](http://api.ning.com:80/files/dMNnaPiQ3VhuAiHf6SFebUdShSEw*4h3YDblS32TAui7-qDjMqNfblRUq1VcgJ5BlA7nM1-iwy6pTGf5m5ALfO-I3hvTYpTp/Johari.gif?width=650)
Imelda Mtema Msanii wa kitambo katika tasnia ya filamu Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’, amefunguka kuwa anahisi yeye na mwigizaji mwenzake ambaye ni mkongwe, Blandina Chagula ‘Johari’ wana gundu kwani wasanii wenzao wengi wana watoto na wengine ni wajawazito lakini wao wapowapo tu. Mwigizaji mkongwe Blandina Chagula ‘Johari’. Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, Maya alisema kuwa kuna...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies22 Sep
ETI! Johari adai hajawai kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Ray
Msanii mkongwe wa filamu nchini, Blandina Chagula maarufu kama Johari, ambaye ni ‘business partner’ wa msanii mwenzake, Vicent Kigosi aka Ray, amefunguka na kuzungumzia mahusiano yake na Ray pamoja na mipango yake ya kuolewa.
Akizungumza na Bongo5 leo, Johari amesema anashangazwa kuwaona watu wakivumisha kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Ray.
“Mimi na Ray cha kwanza ni mtu na swahiba wake, cha pili ni kama kaka yangu kwasababu tumekaa kwa muda mrefu sana. Tumefanya kazi kama partner...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/L5FNdOkpk1bXl8LCRQL8tYGx5Kpes8RL2nAcphrqMBvVI1CcA33nzMuXsM886p1uvglOvMnUTBwbys2DNpxdyvXwQ9m6ONnT/wema.jpg)
PENNY, WEMA ETI WANA PROJECT
9 years ago
Raia Mwema16 Dec
Kila siku wanadai eti vijana hatuna uzalendo. Wao wana uzalendo kwetu?
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke, mipango miji, machinga, kero vijijini na waishiwa,
10 years ago
Bongo Movies19 Sep
Uwiii! Eti, eti, Kajala anatumia nafasi ya kuonekana kwenye TV "kuvutia mabwana", Nora huyo karopoka
Muigizaji maarufu nchini aliyetamba mwanzoni mwa miaka ya 2000 Nora Nuru Nassoro aliyepotea kwa muda, ameibukia kwenye Runinga ya EATV na kumbutua staa mwenzake, Kajala Masanja kwamba, anatumia nafasi ya kuonekana kwenye filamu kujipatia wanaume kama si mabwana!
Akizungumza kupitia Kipindi cha Mkasi kinachoratibiwa na Mtangazaji Salama Jabir, Jumatatu iliyopita, Nora alisema fani ya uigizaji imevamiwa kwa sasa kwani kuna watu ambao wanaingia kwenye gemu ili wauze sura na kuonekana na...
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
Ndoa ya Ustazi Juma na Johari yanukia. Asema Johari atakuwa mke wake wa pili
PENZI limekolea na kinachoonekana sasa kwa Ostaz Juma Namusoma ni kukazia penzi lake kwa mwanadada Blandina Chagula ‘Johari’ anayesumbua kwenye Bongo movies.
Kwa mujibu wa mtandao wa GPL zinasema kwamba Ostaz alifunga safari kwenda nchini Afrika Kusini kwa mapumziko mafupi lakini pia kumnunulia mpenzi wake huyo zawadi mbalimbali kwa lengo la kupalilia uchumba wao.
“Jamaa alikuwa Sauzi (Afika Kusini), aliondoka hapa tarehe 17 (Machi) na amerudi tarehe 21. Kamletea zawadi kibao lakini...
9 years ago
Habarileo02 Jan
Simba yaondoa gundu
SIMBA jana ilianza mwaka mpya kwa kuondoa gundu baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 ugenini, kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona Mtwara dhidi ya Ndanda ya huko.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dnCWvahr*CrTBUAKMtliAKbBXV9AyZ78OfIHAifJ49GTbEp3owBfYOdOyB8GT6j-HlNqqRebf1dB3iDao1y-veix31920ZMW/Aunty.jpg?width=650)
AUNTY: SINA GUNDU NA WANAUME!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kdMiOwfaxvd*nFL*bGfblIp66KmvNhTrEtxU1xJEX1V0y1pkv26TbhUM2Bm3P1F8W60t1KLzLNLZoU4XzzXr0qgBB9Nx3Ols/DUDE.jpg)
DUDE: MWAKA 2014 NI GUNDU KWANGU
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qvxzmt4uuyX6b85vL9eTLoUfB45SEVZ344e2tWkfUPrcfL6Xl6yiotg6OKRnBs6Oe947Um9bloz5dGA4SwF0r-UE8kgP5WXL/sara1.jpg?width=650)
SARAH MVUNGI: NINA GUNDU NA WANAUME