Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uwiii! Eti, eti, Kajala anatumia nafasi ya kuonekana kwenye TV "kuvutia mabwana", Nora huyo karopoka

Muigizaji maarufu nchini aliyetamba mwanzoni mwa miaka ya 2000 Nora Nuru Nassoro aliyepotea kwa muda, ameibukia kwenye Runinga ya EATV na kumbutua staa mwenzake, Kajala Masanja kwamba, anatumia nafasi ya kuonekana kwenye filamu kujipatia wanaume kama si mabwana!

 

Akizungumza kupitia Kipindi cha Mkasi kinachoratibiwa na Mtangazaji Salama Jabir, Jumatatu iliyopita, Nora alisema fani ya uigizaji imevamiwa kwa sasa kwani kuna watu ambao wanaingia kwenye gemu ili wauze sura na kuonekana na...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Eti Kajala, P Funk Upya!

Kwamujibu wa gazeti la Visa, limeripoti kuwa kuna fununu kuwa staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja anadaiwa kurudiana na mzazi mwenzake P Funk Majani ambaye ni mtayarishaji nguli wa muziki wa Bongo Fleva. <span 1.6em;"="">Hii ni kutokana ka bwana’ke amabe alimpora Wema Sepetu , CK kudaiwa kuishiwa mkwanja.

Licha ya kuwa Kajala bado yupo kwenye ndoa na mumewe anaesota gerezani, inadaiwa kwasasa  anajipooza machungu  na kushea mashuka  ya hoteli na mzazi mwenzie P Funk.  kwa mijibu wa gazeti...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kajala Awatolea Uvivu Waliozikosoa Picha Zake, Eti Hazina Maadili

Mwigizaji wa filamu mwenye umbo la Kiafrika zaidi, Kajala Masanja aliamua kuwatolea uvivu baadhi ya mashabiki wachache ambao walikuwa wakimshabulia kwa –comments kuwa picha hizi alizoziweka mtandaoni akiwa ufukweni, hazina maadili kwasababu amevaa nguo ambazo zinaonyesha sehemu kubwa ya mwili wake.

Baada ya mjadala wa picha zake kupamba moto huku wengine wakiona zipo sawa na wachache wakisema kuwa hazina maadili, Kajala aliingilia kati na kufafanua kuwa picha hizo alipiga wakati akiwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Eti wasomi nao wamejiingiza kwenye siasa za Muungano?

EBO! Eti nasikia kuna watu wanaoitwa wasomi wameibuka kwenye siasa siku hizi? Lakini hata mimi nakosea kusema siku hizi, maana tangu kitambo tulishawaona wakikimbia profesheni zao na kwenda kula bata....

 

9 years ago

MillardAyo

Kulala kwenye jeneza eti inapunguza stress ??!! Cheki na hii ya Wakorea.. (+Video)

Moja ya nchi ambazo zinaongoza kwa watu wake kujiua Korea nayo ipo… zinatrajwa sababu mbalimnbali za watu kuamua kujiua ikiwemo ishu ya msongo wa mawazo au stress !! Umewahi kupatwa msongo wa mawazo ??!! Ilipokutokea hali hiyo uliamua nini ?? Nakusogezea hii kutoka Korea Kusini ambako unaambiwa wao wameona moja ya mbinu poa za kupunguza […]

The post Kulala kwenye jeneza eti inapunguza stress ??!! Cheki na hii ya Wakorea.. (+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Bongo Movies

Jina la Kajala Kuonekana Kwenye Soda za Kopo za Coca-Cola

Mwigizaji wa filamu mwenye sura ya upole na umbo la Kiafrika, Kajala Masanja ni moja kati ya watu ambao majina yao yataonekana kwenye makopo mapya ya kinywaji cha Coca-cola.

Leo mchana, wawakilishi wa coca-cola walimtembelea Kajala nyumbani kwake na kumpatia  zawaidi ya kinywaji hicho kikiwa kwenye chupa yenye jina lake.

Endelea kuwa nasi kujua kinanani wengine wamebahatika kwenye hili.

 

10 years ago

Vijimambo

ETI JAMANI ASKARI HAWA GETNI AIRPORT WANAKAGUA NINI KWENYE MABEGI YA WANAOTOKA UWANJANI?

Askari Polisi akikagua katika begi la mmoja kati ya watu wanaotoka ndani ya uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere leo ambapo askari hao wamesimama usawa wa geti la kutokea magari na kusimamisha baadhi ya magari na kisha kukagua mabegi kama hivi, jambo ambalo limelalamikiwa na baadhi ya wananchi ambao wamekuwa wakisumbuliwa na askari hao ambao wamekuwa wakichagua baadhi ya magari ya kuyakagua kama hivi.Askari huyo akihamaki kupigwa picha.Akifurahia ukodaki baada ya kugundua amepigwa...

 

10 years ago

Bongo5

Watu 86,000 wajitokeza kuomba nafasi 600 za kuonekana kama ‘extras’ kwenye Game of Thrones

Mashabiki wa Hispania wa tamthilia ya Game of Thrones walijikuta na furaha kubwa baada ya timu ya utayarishaji kwenda kwenye mji wa Osuna na kutangaza nafasi 600 za kazi. Waigizaji wa ziada waliopata kazi wakiwa location Wengine walikuwa na furaha kubwa kiasi cha kuacha kazi zao zinazoingia fedha nyingi kuhudhuria usahili wa kuonekana kama waigizaji […]

 

11 years ago

Bongo Movies

Huu ni ujumbe wa Kajala kwenda kwa mtoto wake leo kwenye siku ya kuzaliwa kwa binti yake huyo.

Miaka 12 iliyopita sikuwahi kujua kama itafikia siku nitajisikia hiki ninachofeel siku ya leo.. nimepitia mambo mengi sana na wewe.. nimepata shida nyingi mno lakini sikukuacha wala kukutupa.. kwenye jua ama mvua, iwe usiku ama mchana katika mitihani yote niliyopitia nilikuwa na wewe tu mwanangu.. ulikuwa kama pochi yangu.. bila kujua kesho utakuwa NANI!! nilikupenda tangu siku ya kwanza nakuona.. nilikuthamini na kuahidi nafsi yangu kuwa nitakufa na wewe katika hali yoyote ile bila kujua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani