Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu 86,000 wajitokeza kuomba nafasi 600 za kuonekana kama ‘extras’ kwenye Game of Thrones

Mashabiki wa Hispania wa tamthilia ya Game of Thrones walijikuta na furaha kubwa baada ya timu ya utayarishaji kwenda kwenye mji wa Osuna na kutangaza nafasi 600 za kazi. Waigizaji wa ziada waliopata kazi wakiwa location Wengine walikuwa na furaha kubwa kiasi cha kuacha kazi zao zinazoingia fedha nyingi kuhudhuria usahili wa kuonekana kama waigizaji […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

'Game of thrones' yashinda tuzo za Emmy

Tamasha kubwa la kila mwaka Emmys Awards, la kutoa tuzo kwa vipindi vya televisheni limefanyika mjini Los Angeles Marekani.

 

5 years ago

RFI

'Game of Thrones' actor tests positive for coronavirus

'Game of Thrones' actor tests positive for coronavirus  RFI‘Game of Thrones’ Star Kristofer Hivju Tests Positive for Coronavirus  VarietyGame of Thrones Star Kristofer Hivju Says Tested Positive for Coronavirus  Sputnik InternationalTom Hanks & More Stars Spreading Hope After Coronavirus Diagnosis  E! OnlineGame of Thrones star Kristofer Hivju reveals he has tested positive for the coronavirus  Daily MailView Full coverage on Google...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kitabu kipya cha Game of Thrones kuchelewa

Mwandishi wa mwendelezo wa vitabu vinavyotumiwa katika filamu za Game of Thrones amesema kitabu kipya cha mwendelezo huo kitachelewa.

 

9 years ago

Bongo5

Tyga kuonekana kwenye reality Tv show ya Kardashians ‘KUWTK’, na atalipwa $25,000 kwa kila episode

Mapenzi ya Tyga na girlfriend wake Kylie yanazidi kushamiri, rapper huyo anatarajiwa kuonekana kwenye msimu mpya wa reality tv show ya familia ya Kardashians, ‘Keeping Up With The Kardashian’ (KUWTK). Rapper huyo ambaye amekua akionekana na Kylie sehemu nyingi atakuwa analipwa $25,000 kwa kila episode atakayoonekana kwenye kipindi hicho. Tyga aliungana na girlfriend wake Kylie […]

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA: Hakuna Mtu Anaweza Kuchukua Nafasi Yako Kama Upo Kwenye Nafasi Yako-Lulu

Hayo ni maneno ambayo mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” aliyaandika kwa lungha ya kingereza kabla ya kuzitupia picha hizo hapo juu.

“Cant Nobody Take Your Place If You're In Your Place...!”

Kiukweli, kama utaweka chuki zako pembeni, utakubaliana na mimi kuwa Lulu ni mwigizaji anaependa na kwenda na fasheni kuwashinda waigizaji wote wa hapa bongo.

Jionee picha hizo.

By Mzee wa Ubuyu

 

10 years ago

Bongo Movies

Uwiii! Eti, eti, Kajala anatumia nafasi ya kuonekana kwenye TV "kuvutia mabwana", Nora huyo karopoka

Muigizaji maarufu nchini aliyetamba mwanzoni mwa miaka ya 2000 Nora Nuru Nassoro aliyepotea kwa muda, ameibukia kwenye Runinga ya EATV na kumbutua staa mwenzake, Kajala Masanja kwamba, anatumia nafasi ya kuonekana kwenye filamu kujipatia wanaume kama si mabwana!

 

Akizungumza kupitia Kipindi cha Mkasi kinachoratibiwa na Mtangazaji Salama Jabir, Jumatatu iliyopita, Nora alisema fani ya uigizaji imevamiwa kwa sasa kwani kuna watu ambao wanaingia kwenye gemu ili wauze sura na kuonekana na...

 

10 years ago

Bongo5

Forbes 2015: Dewji amtoa Rostam Aziz kwenye nafasi ya kwanza kama mtu tajiri zaidi Tanzania!

Mohammed Dewji ndiye mtu tajiri zaidi nchini Tanzania, kwa mujibu wa orodha ya mwaka 2015 ya mtandao wa Forbes wa mabilionea 32 barani Afrika. Awali ni Rostam Aziz ndiye aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo. Kwa mujibu wa Forbes, Dewji mwenye umri wa miaka 39 ana utajiri wa dola bilioni 1.3. Utajiri huo unamfanya mfanyabiashara huyo ambaye […]

 

9 years ago

StarTV

Zaidi watu 1,000 warejea kwenye tiba mkoani Singida Kupunguza Makali Ya Vvu

ZAIDI ya watu elfu moja wanaoishi na Virusi vya ugonjwa wa UKIMWI katika Halmashauri ya Wilaya ya Iramba mkoani Singida, wamerejea kwenye tiba baada ya kuacha kabisa kuhudhuria Kliniki maalum za kuwahudumia miaka mitatu iliyopita kutokana na sababu mbalimbali.

Sababu za kuacha dawa za kufubaza Virus zinatajwa kuwa ni Kikombe cha Babu wa Loliondo, unyanyapaa na wengine kudhani kuwa wamepona hivyo kuendelea kudhofika hadi walipofikiwa na mpango wa huduma majumbani unaoendesha na Shirika la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani