ETI JAMANI ASKARI HAWA GETNI AIRPORT WANAKAGUA NINI KWENYE MABEGI YA WANAOTOKA UWANJANI?

Askari Polisi akikagua katika begi la mmoja kati ya watu wanaotoka ndani ya uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere leo ambapo askari hao wamesimama usawa wa geti la kutokea magari na kusimamisha baadhi ya magari na kisha kukagua mabegi kama hivi, jambo ambalo limelalamikiwa na baadhi ya wananchi ambao wamekuwa wakisumbuliwa na askari hao ambao wamekuwa wakichagua baadhi ya magari ya kuyakagua kama hivi.
Askari huyo akihamaki kupigwa picha.
Akifurahia ukodaki baada ya kugundua amepigwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies09 Apr
Jamani jamani, hii nini tena jamani?? Shilole na Nuh mziwanda wachafua mtandao tena
LEO kupitia kwenye kwenye mtandao ule maarufu wa picha nchini, msanii Nuhu mziwanda a.k.a mume mtarajiwa wa mwanadada Shilole ameweke picha hiyo hapo juu ambayo imezua utata mkubwa sana kwa wadau wachache walioiona picha hiyo kwenye mtandao, kabla haijafutwa. Wengi wao wamehoji,
je kuna umuhimu gani wa kutupia mambo mazito kama hayo kwenye mitandao ya kijamii??
Picha hiyo ilikuwa na maandishi yanayosema
“I’m just hold it tight, my favorite thing on her boy”
Kwanza kabisa...
5 years ago
BBCSwahili19 Apr
Virusi vya corona: Kwa nini watu hawa wanajitenga kwenye miti
11 years ago
Bongo Movies19 Sep
Uwiii! Eti, eti, Kajala anatumia nafasi ya kuonekana kwenye TV "kuvutia mabwana", Nora huyo karopoka
Muigizaji maarufu nchini aliyetamba mwanzoni mwa miaka ya 2000 Nora Nuru Nassoro aliyepotea kwa muda, ameibukia kwenye Runinga ya EATV na kumbutua staa mwenzake, Kajala Masanja kwamba, anatumia nafasi ya kuonekana kwenye filamu kujipatia wanaume kama si mabwana!
Akizungumza kupitia Kipindi cha Mkasi kinachoratibiwa na Mtangazaji Salama Jabir, Jumatatu iliyopita, Nora alisema fani ya uigizaji imevamiwa kwa sasa kwani kuna watu ambao wanaingia kwenye gemu ili wauze sura na kuonekana na...
11 years ago
KwanzaJamii04 Jun
MASKINI TEMBO WETU, WAMEKOSA NINI JAMANI?
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Jamani Kaka Cheni …Ndiyo Nini Sasa?!-6
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
“Anko, Mwanamaua anasema amesahau kitambaa chake cha kichwani chumbani kwako kitandani, kasema nipe nimpelekee ataulizwa na mama yake asiporudi nacho…halafu kasema hujamwambia usiku wa leo aje au asije maana simu yake ina matatizo ya chaja.”
SHUKA NAYO MWENYEWE SASA…
Nilimwona baba akitetemeka, akamkazia macho kaka Cheni, akasimama maana alikaa…
“Cheni,” aliita mama akitoka ndani na si baba…
“Abee…” kaka Cheni alichanganyikiwa, ilibidi aitike kama mwanamke, kama...
9 years ago
Global Publishers24 Dec
Jamani Kaka Cheni …Ndiyo Nini Sasa?!-7
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
“Eee…nani? Kaanguka? Nakuja…nakuja sasa hivi,” alisema Suu na nikasikia kitanda kikilia, kuashira anatoka kitandani. Nikachukia sana maana na mimi nilikuwa pazuri.
Suu alifungua mlango huku akimwambia kaka Cheni…
“Baby acha niende tu. Nitarudi baadaye…”
TAMBAA NAYO SASA…
Kaka Cheni alijitahidi kumshawishi demu wake asiondoke, lakini wapi! Akasema lazima aende. Na mimi nikawa namwombea kwa mungu wangu demu wake asiondoke ili nifaidi maana nilishakuwa moto.
“Hapana...
11 years ago
Tanzania Daima04 Mar
Nini mustakabali wa watoto hawa?
AJIRA kwa watoto limekuwa tatizo kubwa duniani hasa barani Afrika. Umoja wa Mataifa (UN) ulipitisha mkataba wa haki za watoto uliokuwa na haki zaidi ya ishirini ili kumlinda mtoto asinyanyaswe...
9 years ago
Raia Mwema11 Nov
Kwa nini marais hawa wa Marekani waliuawa?-3
KATIKA makala ya leo, nawaletea habari inayomhusu Rais wa 25 wa nchi ya Marekani.
Mwandishi Wetu
9 years ago
Raia Mwema20 Nov
Kwa nini marais hawa wa Marekani waliuawa? - 4:
Habarini za leo wapenzi wasomaji wa gazeti hili popote pale mlipo, hususan wale waumini wakubwa w
Mwandishi Wetu