Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASKINI TEMBO WETU, WAMEKOSA NINI JAMANI?

Ndugu zangu, Ujangili umeendelea kushika kasi nchini Tanzania, hasa wa tembo, licha ya jitihada kadhaa zinazofanywa na mamlaka husika. Tembo kama huyu pichani anauawa kinyama na wendawazimu wachache ambao wanaangalia maslahi yao ya kuuza meno yake bila kujali hatma ya baadaye ya rasilimali zetu. Zimekuwepo operesheni nyingi nchini, miongoni mwazo ni ile ya Tokomeza Ujangili iliyoendeshwa mwaka 2013, ambayo ilisitishwa baada ya kudaiwa kwamba wasimamizi wake waliendesha vitendo vya utesaji...

KwanzaJamii

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Jamani jamani, hii nini tena jamani?? Shilole na Nuh mziwanda wachafua mtandao tena

LEO kupitia kwenye kwenye mtandao ule maarufu wa picha nchini, msanii Nuhu mziwanda a.k.a mume mtarajiwa wa mwanadada Shilole ameweke picha hiyo hapo juu ambayo imezua utata mkubwa sana kwa wadau wachache walioiona picha hiyo kwenye mtandao, kabla haijafutwa. Wengi wao wamehoji,

 je kuna umuhimu gani wa kutupia mambo mazito kama hayo kwenye mitandao ya kijamii??

 

Picha hiyo ilikuwa na maandishi yanayosema

 

“I’m just hold it tight, my favorite thing on her boy”

 

Kwanza kabisa...

 

9 years ago

Global Publishers

Jamani Kaka Cheni …Ndiyo Nini Sasa?!-7

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:

“Eee…nani? Kaanguka? Nakuja…nakuja sasa hivi,” alisema Suu na nikasikia kitanda kikilia, kuashira anatoka kitandani. Nikachukia sana maana na mimi nilikuwa pazuri.

Suu alifungua mlango huku akimwambia kaka Cheni…

“Baby acha niende tu. Nitarudi baadaye…”

TAMBAA NAYO SASA…

Kaka Cheni alijitahidi kumshawishi demu wake asiondoke, lakini wapi! Akasema lazima aende. Na mimi nikawa namwombea kwa mungu wangu demu wake asiondoke ili nifaidi maana nilishakuwa moto.

“Hapana...

 

9 years ago

Global Publishers

Jamani Kaka Cheni …Ndiyo Nini Sasa?!-6

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
“Anko, Mwanamaua anasema amesahau kitambaa chake cha kichwani chumbani kwako kitandani, kasema nipe nimpelekee ataulizwa na mama yake asiporudi nacho…halafu kasema hujamwambia usiku wa leo aje au asije maana simu yake ina matatizo ya chaja.”
SHUKA NAYO MWENYEWE SASA…

Nilimwona baba akitetemeka, akamkazia macho kaka Cheni, akasimama maana alikaa…
“Cheni,” aliita mama akitoka ndani na si baba…
“Abee…” kaka Cheni alichanganyikiwa, ilibidi aitike kama mwanamke, kama...

 

10 years ago

Vijimambo

ETI JAMANI ASKARI HAWA GETNI AIRPORT WANAKAGUA NINI KWENYE MABEGI YA WANAOTOKA UWANJANI?

Askari Polisi akikagua katika begi la mmoja kati ya watu wanaotoka ndani ya uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere leo ambapo askari hao wamesimama usawa wa geti la kutokea magari na kusimamisha baadhi ya magari na kisha kukagua mabegi kama hivi, jambo ambalo limelalamikiwa na baadhi ya wananchi ambao wamekuwa wakisumbuliwa na askari hao ambao wamekuwa wakichagua baadhi ya magari ya kuyakagua kama hivi.Askari huyo akihamaki kupigwa picha.Akifurahia ukodaki baada ya kugundua amepigwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kwa hili, tunawafundisha nini watoto wetu?

Amani iwe juu yenu enyi wapendwa wasomaji wangu. Ni matumaini yangu kuwa mmekuwa mkiyafanyia kazi yale yote ninayowaletea katika safu hii.

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Kwa nini wasanii wetu wengi ni watoto?

>Mambo ya kitoto, mtoto kumfanyia mtoto mwenzake, tunasema watoto wanacheza lakini mambo ya kitoto, mtu mzima kumfanyia mtu mzima mwenzake kuna walakini hapo.

 

11 years ago

Mwananchi

Kwa nini watoto wetu waendelee kukaa chini shuleni?

Tamko la Azimio la Arusha la mwaka 1967 ndilo linalotajwa kuwa chimbuko la falsafa ya Ujamaa na Kujitegemea iliyosababisha mabadiliko makubwa katika sera za kijamii na kiuchumi nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Mashabiki wa Yanga wamekosa ustaarabu

Naingia uwanjani kwa mara nyingine katika kona hii ya hoja. Ninaamini kila mmoja yuko katika mchakamchaka kwa nafasi yake katika eneo lake, kwa raha na shida.

 

10 years ago

Mtanzania

Riyama: Watu wamekosa hofu ya Mungu

Riyama-AliNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MSANII wa filamu nchini, Riyama Ally, amewataka Watanzania kuwa na hofu ya Mungu na kuacha kuwadhulumu uhai wao walemavu wa ngozi ‘albino’.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Riyama alisema inashangaza watu ambao wamekuwa wakiendekeza imani za kishirikina, kwani wengi wao hushia pabaya na kukosa mafanikio.
Alisema imani potofu zimekuwa zikizidisha maovu hayo, huku baadhi ya watu wakijinufaisha wao bila kuangalia maisha ya wenzao.
“Watu hawana hofu ya Mungu kabisa,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani