Eti Kajala, P Funk Upya!
Kwamujibu wa gazeti la Visa, limeripoti kuwa kuna fununu kuwa staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja anadaiwa kurudiana na mzazi mwenzake P Funk Majani ambaye ni mtayarishaji nguli wa muziki wa Bongo Fleva. <span 1.6em;"="">Hii ni kutokana ka bwana’ke amabe alimpora Wema Sepetu , CK kudaiwa kuishiwa mkwanja.
Licha ya kuwa Kajala bado yupo kwenye ndoa na mumewe anaesota gerezani, inadaiwa kwasasa anajipooza machungu na kushea mashuka ya hoteli na mzazi mwenzie P Funk. kwa mijibu wa gazeti...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo Movies19 Sep
Uwiii! Eti, eti, Kajala anatumia nafasi ya kuonekana kwenye TV "kuvutia mabwana", Nora huyo karopoka
Muigizaji maarufu nchini aliyetamba mwanzoni mwa miaka ya 2000 Nora Nuru Nassoro aliyepotea kwa muda, ameibukia kwenye Runinga ya EATV na kumbutua staa mwenzake, Kajala Masanja kwamba, anatumia nafasi ya kuonekana kwenye filamu kujipatia wanaume kama si mabwana!
Akizungumza kupitia Kipindi cha Mkasi kinachoratibiwa na Mtangazaji Salama Jabir, Jumatatu iliyopita, Nora alisema fani ya uigizaji imevamiwa kwa sasa kwani kuna watu ambao wanaingia kwenye gemu ili wauze sura na kuonekana na...
10 years ago
Bongo Movies03 Jan
Kajala Awatolea Uvivu Waliozikosoa Picha Zake, Eti Hazina Maadili
Mwigizaji wa filamu mwenye umbo la Kiafrika zaidi, Kajala Masanja aliamua kuwatolea uvivu baadhi ya mashabiki wachache ambao walikuwa wakimshabulia kwa –comments kuwa picha hizi alizoziweka mtandaoni akiwa ufukweni, hazina maadili kwasababu amevaa nguo ambazo zinaonyesha sehemu kubwa ya mwili wake.
Baada ya mjadala wa picha zake kupamba moto huku wengine wakiona zipo sawa na wachache wakisema kuwa hazina maadili, Kajala aliingilia kati na kufafanua kuwa picha hizo alipiga wakati akiwa...
11 years ago
GPL
WEMA, KAJALA BIFU UPYA!
10 years ago
Bongo Movies05 Mar
Bifu la Wema na Kajala Laibuka Upya!
Bifu la kati ya waigizaji marafiki wa zamani Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Kajala Masanja ‘Kay’ inadaiwa kuwa limeibuka tena upya mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya Madam kuanika ubaya aliotendewa na Kajala aliyewahi kumlipia faini ya shilingi milioni 13 na kumuepusha na kifungo cha miaka 7 jela, Machi 25, 2013, kupitia kipindi chake cha In My Shoes kinachorushwa na kituo cha televisheni cha EATV.
Wafuasi na mashabiki wa Kajala hawakufurahishwa na maneno ya Wema ambayo walidai yalikuwa...
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
Tanzania Daima27 Jul
P Funk asaka nyota wapya
STUDIO ya Bongo Record iliyo chini ya mtayarishaji mkongwe nchini, P Funk Majani, inatafuta wasanii wapya wenye vipaji ikiwa ni pamoja na wale wanaojijua kama wana bahati. Akizungumza jijini Dar...
11 years ago
GPL
P FUNK AFUNGA NDOA YA SIRI
10 years ago
GPL
CHUMBA CHA PAULA WA P- FUNK KUFURU!
11 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala
Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari ambayo ilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...