P FUNK AFUNGA NDOA YA SIRI
![](http://api.ning.com:80/files/pM3ABSV3WVWfuPLmPpO769G1nApWatyd00ZK-S0TKiUCNrxuaH-MW616jkNAlRjIVbfH5QdqwLH8Sl2hYePEis*OAUdAaFur/pfunk.jpg?width=650)
Stori: Gladness Mallya BAADA ya kuishi maisha ya kisela kwa muda mrefu, hatimaye mtayarishaji nguli wa muziki Bongo, Paul Mathyasse ‘P Funk’ ameoa kwa siri. Mtayarishaji nguli wa muziki Bongo, Paul Mathyasse ‘P Funk’ wakati wa harusi yake. Taarifa kutoka kwa chanzo makini kilichoshuhudia tukio hilo, lilichukua nafasi jijini Arusha mwishoni mwa wiki iliyopita kwa usiri mkubwa. Imeelezwa kuwa, P Funk...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/a5b4X5Lcvi1wp8RDvDZg-3B5d8cu*v5KgvEw8JExj50NuRGX3VyRnBvT*AyF7TRAVTqO7XV6QxB3mBn85sN0jgqr-mbqBgit/Nasari2.jpg?width=534)
NASSARI AFUNGA NDOA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xkVCMRT4uG-nIQLmsjQ-2hWgCeSz-QwJX70NMd7k*Nq1fg9qNJfdHsf4MilUXcy5CHbyeZLZr0V0wXsiF9mphHn65uAtPTi2/BACKAMANI.jpg?width=650)
BI HARUSI AFUNGA NDOA, ATOROKA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OyRBKp4pk3RAyhtLNPWahzVBr21pDUC0b1Wh98RChauKq-0xPFjC*DDvCh8VkptspbgnfYCrSaQXC3baGKe0Qua*Dt1rjl1H/kiria.jpg?width=650)
MTALAKA WA KIRIA AFUNGA NDOA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/WRH9ovbTZmBjiN6lZQ2DO3-STCmCaNVfb1dWveORsO4CwzpaG86JwYV4XMTbx59yvXgPQmR9aubfZEWtn2wpp9okOb-a7q7Z/IMG20140531WA0036.jpg?width=650)
MWAIKIMBA AFUNGA NDOA KIMYAKIMYA
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Frank Lampard afunga ndoa London
Frank Lampard akimbusu mke wake Christine Bleakley baada ya kufunga ndoa jana Jumapili London.
Christine Bleakley akiwapungia mkono marafiki zake (hawapo pichani) baada ya kufika kanisani.
9 years ago
Global Publishers04 Jan
Wakala wa Magazeti ya Global Afunga Ndoa
Keki ikikatwa na kuwekwa kwenye sahani.
Baadhi ya wanakamati wa sherehe hiyo (waliopo nyuma ya bwana harusi na bibi harusi) wakiwa katika picha ya pamoja.
Ndugu na jamaa wakiwa katika sherehe hiyo.
Bwana harusi, Dick Kanjale, akimlisha keki mkewe, Neema.
Bibi harusi, Neema, akionesha manjonjo yake kumlisha keki mmewe, Dick Kanjale.
Bwana na bibi harusi wakikata keki.
Maharusi na wapambe wao wakipiga ‘cheers’.
Furaha kwa kwenda mbele.
Mshereheshaji (MC) wa sherehe hiyo, Ritha Chuwalo, akizungumza...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/F6kBJElJzOZmrUboAIsGCcjsWmIKQLv6Ph5K7QKloy0LblbmItzBck0WLEZkWNnd8RI3S8Oort3rxqA1HvASdTTX238dgx54/aki.jpg?width=650)
AKI WA BONGO MUVI AFUNGA NDOA
9 years ago
Mtanzania14 Dec
Usher afunga ndoa na meneja wake
NEW YORK, MAREKANI
MKALI wa RnB nchini Marekani, Usher Raymond, amefanikiwa kufunga ndoa na mpenzi wake, Grace Miguel.
Grace ni Meneja wa msanii huyo, ambapo walianza uhusiano wa kimapenzi tangu mwaka 2009 baada ya msanii huyu kubwagana na mpenzi wake, Tameka Foster, mwaka huo.
Tameka alifanikiwa kupata watoto wawili wa kiume na msanii huyo ambao wanajulikana kwa majina ya Usher V na Naviyd Ely.
“Alikuwa meneja wangu kwa kipindi kirefu, lakini kwa sasa naweza kusema kuwa ni mke wangu,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Whapl-f-NAYmdcTEOZprnaDBw9bheXtT5zhI-xpMfgpyW*PyYLfPryy4WrzRIn2HoB8dMvbpiu*M0jfjxHdiTf115bfoYeP2/dully.jpg)
MDOGO WA DULLY SYKES AFUNGA NDOA KINYEMELA