MTALAKA WA KIRIA AFUNGA NDOA
![](http://api.ning.com:80/files/OyRBKp4pk3RAyhtLNPWahzVBr21pDUC0b1Wh98RChauKq-0xPFjC*DDvCh8VkptspbgnfYCrSaQXC3baGKe0Qua*Dt1rjl1H/kiria.jpg?width=650)
Na Hamida Hassan MTALAKA wa mtangazaji Joyce Kiria, Nelson Nkongo ‘DJ Nelly’ amefunga ndoa na mwanamke mwingine aliyefahamika kwa jina la Elinda ‘Aika’. Joyce Kiria. Mapema wiki hii, picha za wanandoa hao zilizagaa kwenye simu za mastaa mbalimbali huku wengi wao wakimpongeza Nelly kwa kuchukua uamuzi huo wa kuvuta jiko lingine baada ya kumwagana na Joyce mwaka 2011. “Tunampongeza Nelly kwa kuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FqkiRUfegCjeTJ6RUb5XTXtfHc-2BAJ-JcPLyv7ZB3xafdeZA34SyuRFwgW54mx93QHwnQ0MtMr7uVcqu1QRi1BOpyFsGNvg/joyce.jpg?width=650)
JOYCE KIRIA AFICHUA SIRI YA NDOA ZAKE
9 years ago
GPL18 Aug
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/a5b4X5Lcvi1wp8RDvDZg-3B5d8cu*v5KgvEw8JExj50NuRGX3VyRnBvT*AyF7TRAVTqO7XV6QxB3mBn85sN0jgqr-mbqBgit/Nasari2.jpg?width=534)
NASSARI AFUNGA NDOA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pM3ABSV3WVWfuPLmPpO769G1nApWatyd00ZK-S0TKiUCNrxuaH-MW616jkNAlRjIVbfH5QdqwLH8Sl2hYePEis*OAUdAaFur/pfunk.jpg?width=650)
P FUNK AFUNGA NDOA YA SIRI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xkVCMRT4uG-nIQLmsjQ-2hWgCeSz-QwJX70NMd7k*Nq1fg9qNJfdHsf4MilUXcy5CHbyeZLZr0V0wXsiF9mphHn65uAtPTi2/BACKAMANI.jpg?width=650)
BI HARUSI AFUNGA NDOA, ATOROKA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/WRH9ovbTZmBjiN6lZQ2DO3-STCmCaNVfb1dWveORsO4CwzpaG86JwYV4XMTbx59yvXgPQmR9aubfZEWtn2wpp9okOb-a7q7Z/IMG20140531WA0036.jpg?width=650)
MWAIKIMBA AFUNGA NDOA KIMYAKIMYA
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Frank Lampard afunga ndoa London
Frank Lampard akimbusu mke wake Christine Bleakley baada ya kufunga ndoa jana Jumapili London.
Christine Bleakley akiwapungia mkono marafiki zake (hawapo pichani) baada ya kufika kanisani.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/F6kBJElJzOZmrUboAIsGCcjsWmIKQLv6Ph5K7QKloy0LblbmItzBck0WLEZkWNnd8RI3S8Oort3rxqA1HvASdTTX238dgx54/aki.jpg?width=650)
AKI WA BONGO MUVI AFUNGA NDOA
9 years ago
Global Publishers04 Jan
Wakala wa Magazeti ya Global Afunga Ndoa
Keki ikikatwa na kuwekwa kwenye sahani.
Baadhi ya wanakamati wa sherehe hiyo (waliopo nyuma ya bwana harusi na bibi harusi) wakiwa katika picha ya pamoja.
Ndugu na jamaa wakiwa katika sherehe hiyo.
Bwana harusi, Dick Kanjale, akimlisha keki mkewe, Neema.
Bibi harusi, Neema, akionesha manjonjo yake kumlisha keki mmewe, Dick Kanjale.
Bwana na bibi harusi wakikata keki.
Maharusi na wapambe wao wakipiga ‘cheers’.
Furaha kwa kwenda mbele.
Mshereheshaji (MC) wa sherehe hiyo, Ritha Chuwalo, akizungumza...