Frank Lampard afunga ndoa London
Frank Lampard akimbusu mke wake Christine Bleakley baada ya kufunga ndoa jana Jumapili London.
Christine Bleakley akiwapungia mkono marafiki zake (hawapo pichani) baada ya kufika kanisani.
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania22 Dec
Lampard avunja ukimya, afunga ndoa na Christine
LONDON, ENGLAND
NYOTA wa zamani wa klabu ya Manchester City na Chelsea, Frank Lampard, amefanikiwa kufunga ndoa juzi na mke wake ambaye ni mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha BBC nchini England, Christine Bleakley.
Kiungo huyo wa zamani wa timu ya Taifa ya England mwenye umri wa miaka 37, ameamua kukamilisha ahadi yake baada ya kukaa kwenye uchumba kwa miaka minne na Christine.
Ndoa hiyo ilifungwa kwenye Kanisa la St Paul’s lililopo Knightsbridge, jijini London, ambapo wachezaji...
11 years ago
BBCSwahili03 Jun
Frank Lampard kuaga Chelsea
10 years ago
BBCSwahili24 Dec
Frank Lampard kusalia Manchester City
5 years ago
Eurosport.Com19 Feb
Paul Parker: Frank Lampard is now under real pressure
5 years ago
Bleacher Report18 Feb
Chelsea's Frank Lampard Says N'Golo Kante Adductor Injury 'Doesn't Look Great'
10 years ago
Africanjam.Com![](http://3.bp.blogspot.com/-RGeCwPlDsQE/VV9pGyRJNrI/AAAAAAAABps/FPid0WxdKzM/s72-c/maxresdefault%2B%25281%2529.jpg)
STEVEN GERRARD NA FRANK LAMPARD KUIAGA LIGI YA UINGEREZA WEEKEND HII
![](http://3.bp.blogspot.com/-RGeCwPlDsQE/VV9pGyRJNrI/AAAAAAAABps/FPid0WxdKzM/s640/maxresdefault%2B%25281%2529.jpg)
5 years ago
Mirror Online28 Mar
Rio Ferdinand explains how his Man Utd career damaged Frank Lampard relationship
5 years ago
Express19 Feb
Key Chelsea problem Frank Lampard must fix explained by Paul Merson after Man Utd loss
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/a5b4X5Lcvi1wp8RDvDZg-3B5d8cu*v5KgvEw8JExj50NuRGX3VyRnBvT*AyF7TRAVTqO7XV6QxB3mBn85sN0jgqr-mbqBgit/Nasari2.jpg?width=534)
NASSARI AFUNGA NDOA