Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


STEVEN GERRARD NA FRANK LAMPARD KUIAGA LIGI YA UINGEREZA WEEKEND HII

Vitabu vya historia vya ligi kuu ya England hususan timu za Chelsea na Liverpool vinatarajia kufungwa mwishoni mwa wiki hii wakati ambapo wachezaji wawili wa zamani wa timu ya taifa ya England watakapokuwa wanazichezea klabu zao kwa mara moja ya mwisho .Frank Lampard ambaye anacheza kwa mkopo kwenye klabu ya Manchester City toka klabu ya New York City Fc iliyomsajili toka Chelsea na mwenzie Steven Gerard wa Liverpool wanatarajiwa kupunga mkono wa kwaheri kwa ligi kuu ambapo watakuwa...

africanjam.com

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

LIGI KUU UINGEREZA, STEVEN GERALD ACHANGIA USHINDI WA LIVERPOOL KUIFUNGA QPR 2-1

Nahodha wa Liverpool, Steven Gerald amefunga bao kunako dakika za majeruhi na kuisaidia timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Qeens Park Rangers ( QPR ) katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza uliochezwa leo.Wakicheza nyumbani, Liverpool ndio waliokuwa wa kwanza kupata bao la kuongoza lililofungwa na Philippe Coutinho katika dakika ya 19, bao ambalo lilidumu hadi kipindi cha kwanza kinamalizika. Kipindi cha pili wageni QPR walisawazisha bao hilo katika dakika ya 73 mfungaji...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya Ligi mbalimbali Barani Ulaya weekend hii!

hi-res-3dca8c4a2b6c04aa3fea46c6cf29dcca_crop_north

Mitanange itakayopigwa leo huko Ulaya katika ligi kuu za Soka..

EPL-Ratiba (1)

Michezo ya EPL.

Spanish-La-Liga

Bundesliga

Ungana na mchambuzi mahiri na mwanamichezo wa mtandao huu,  Rabi Hume ambaye atakuwa akikupatia matokeo na habari kemkem za michezo ya soka kutoka sehemu mbaalimbali Duniani.

Kama una taarifa za michezo ikiwemo mpira wa miguu na habari zingine waweza kuwasiliana naye kupitia email za mtandao hapo juu ama kupitia simu yake: 07692441355 au email:rabbif.hume@gmail.com

 

11 years ago

BBCSwahili

Frank Lampard kuaga Chelsea

Kiungo cha kati,Frank Lampard kuondoka Chelsea baada ya kuichezea kwa miaka 13.

 

10 years ago

BBCSwahili

Steven Gerrard akaribishwa LA

Mchezaji maarufu wa mpira wa kikapu nchini Marekani, Kobe Brayant amemtumia ujumbe nahodha wa timu ya Liverpool Steven Gerrard

 

10 years ago

BBCSwahili

Frank Lampard kusalia Manchester City

Bosi wa Manchester City Manuel Pellegrini anaamini watambakisha kiungo Frank Lampard.

 

9 years ago

Global Publishers

Frank Lampard afunga ndoa London

2F8903DD00000578-3367957-image-a-80_1450636450422Frank Lampard akimbusu mke wake Christine Bleakley baada ya kufunga ndoa jana Jumapili London.

2F888FD700000578-3367957-image-a-33_1450634348042Christine Bleakley akiwapungia mkono marafiki zake (hawapo pichani) baada ya kufika kanisani.

 

 

10 years ago

BBCSwahili

Steven Gerrard aibeba Liverpool FA

Nahodha wa Liverpool, Steven Gerrard ameibuka shujaa baada ya kufunga mabao 2-1 dhidi ya Wimbledon katika mchezo FA

 

10 years ago

BBCSwahili

Steven Gerrard kuihama Liverpool

Mchezaji kipenzi wa timu ya Liverpool ya ligi kuu ya England anatarajiwa kuachana na timu hiyo mwishoni mwa msimu huu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Steven Gerrard Kufanyiwa vipimo

Nahodha wa Liverpool Steven Gerrard kufanyiwa vipimo vya kuchunguza jeraha la nyama za paja alilolipata.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani