Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LIGI KUU UINGEREZA, STEVEN GERALD ACHANGIA USHINDI WA LIVERPOOL KUIFUNGA QPR 2-1

Nahodha wa Liverpool, Steven Gerald amefunga bao kunako dakika za majeruhi na kuisaidia timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Qeens Park Rangers ( QPR ) katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza uliochezwa leo.Wakicheza nyumbani, Liverpool ndio waliokuwa wa kwanza kupata bao la kuongoza lililofungwa na Philippe Coutinho katika dakika ya 19, bao ambalo lilidumu hadi kipindi cha kwanza kinamalizika. Kipindi cha pili wageni QPR walisawazisha bao hilo katika dakika ya 73 mfungaji...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Ligi Kuu ya Uingereza, Man Utd na Liverpool zatakata.

Ligi ya kuu ya England iliendelea jana usiku katika viwanja mbali mbali. Leicester inayoburuza mkia katika ligi hiyo ikiwa na pointi 10 katika michezo 14 iliyocheza waliikaribisha Liverpool ambayo iliibuka na u

shindi wa magoli 3-1 katika mechi hiyo. Hadi kumalizikakwa kipindi cha kwanza timu hizo zilikuwa zimefungana goli 1-1.

Kwa matokeo hayo Liverpool imeshika nafasi ya 8 nyuma ya Asernal , zote zikiwa na pointi 20. Hata hivyo Asernal imecheza mchezo mmoja pungufu ya Liverpool yenye...

 

10 years ago

Africanjam.Com

STEVEN GERRARD NA FRANK LAMPARD KUIAGA LIGI YA UINGEREZA WEEKEND HII

Vitabu vya historia vya ligi kuu ya England hususan timu za Chelsea na Liverpool vinatarajia kufungwa mwishoni mwa wiki hii wakati ambapo wachezaji wawili wa zamani wa timu ya taifa ya England watakapokuwa wanazichezea klabu zao kwa mara moja ya mwisho .Frank Lampard ambaye anacheza kwa mkopo kwenye klabu ya Manchester City toka klabu ya New York City Fc iliyomsajili toka Chelsea na mwenzie Steven Gerard wa Liverpool wanatarajiwa kupunga mkono wa kwaheri kwa ligi kuu ambapo watakuwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Liverpool yakaribia ushindi wa ligi

Liverpool ndio washindi watarajiwa wa ligi ya Uingereza baada ya Kuishinda Norwich mabao matatu kwa mbili .

 

11 years ago

TZToday

MSIMAMO WA LIGI KUU YA UINGEREZA

CHANZO: Barclayspremierleague.com

 

10 years ago

BBCSwahili

Matokeo ya Ligi kuu ya Uingereza

EPL-Matokeo ya mechi zilizochezwa siku ya jumamosi.

Liverpool 1 - 1 Everton

Chelsea 3 - 0 Aston Villa

Crystal Palace2 - 0Leicester

Hull 2 - 4 Man City

Man Utd 2 - 1 West Ham

Southampton 2 - 1QPR

Sunderland 0 - 0 Swansea

Arsenal 1 - 1 Tottenham

 

10 years ago

BBCSwahili

Mechi za ligi kuu Uingereza Jumamosi

Arsenal itachuna na Manchester United huku Chelsea na Manchester City zikikabiliana na West Brom na Swansea

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

BBCSwahili

Arsenal, Liverpool hapatoshi ligi kuu

Arsenal na Liverpool zinapambana leo katika mchezo wa ligi kuu ya England

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani